mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ruvuma: Spika Mussa Zungu anataka mtoto wa Jenista Mhagama kupendekezwa Ubunge jimbo la Peramiho?

    "Mkuu wa Mkoa uko hapa, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi upo hapa na Nyota Mtoto wetu yupo hapa. Nafikiri nikisema hivyo mmenielewa. Mmenielewa? Nyota ya mtoto wetu yupo hapa, nawashukuru sana Familia. Dodoma niliwaambia mshikamane, mpendane. Hiki ni kipindi kigumu kwenu." Spila wa Bunge la...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msiba Usio wa Kawaida: Mbwa Kuruhusiwa Kuunusa Mwili wa Marehemu kabla hajazikwa, ni sawa ?

    Nimeshuhudia mambo mengi katika misiba tofauti, lakini tukio hili nililoliona limevunja kabisa rekodi. Mbwa aliruhusiwa kuisogelea maiti na akaanza kuinusa, kulikuwa na watu wachache na ni kabla maiti haijatolewa nje kwa watu wengi kwa ajili ya kuagwa na kisha kuanza safari ya mazishi...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mbinu bora za Elite home tuition kumfundisha mtoto anayeanza lugha za kigeni

    Katika Elite Home Tuition, tunatumia mbinu maalum zinazomuwezesha mtoto kuanza kuielewa na kuitumia lugha ya kigeni kwa ufanisi, kwa furaha na bila hofu. Hizi ndizo mbinu zetu bora: 1. Mazoezi ya Kusikiliza (Listening First): Tunaanza na kusikiliza nyimbo, hadithi, na mazungumzo mafupi...
  4. H

    JamiiForums Tanzania 📚✨ *ELITE HOME TUITION SERVICES* ✨📚 *Tuition Bora Majumbani kwa Mtoto Wako!*

    Unahitaji mwalimu wa kumfundisha mwanao nyumbani? Elite Home Tuition tunakuletea huduma bora ya walimu waliobobea kwa: ✅ Masomo yote – Sayansi, Hisabati, Lugha n.k. ✅ Mitaala yote – NECTA, CAMBRIDGE, IB ✅ Ngazi zote – Nursery hadi A-Level ✅ Lugha za kigeni – Kiingereza, Kifaransa, Kichina...
  5. JamiiForums Tanzania Mbeya: Marry Timotheo ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Mtoto wake, alikuwa anamuadhibu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Marry Timotheo, Mkazi wa Garijembe Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Mtoto wake aitwaye Scola Athanas Mwaba [10] aliyekuwa Mwanafunzi wa Darasa la Nne katika Shule ya Msingi Ngonde. Tukio hilo limetokea Disemba 09, 2025 saa 6:30 mchana katika Kijiji cha...
  6. JamiiForums Tanzania Wenye Nyumba: “Nataka Mpangaji Asie na Mtoto Tu!” Huu ni Uchawi au Roho Mbaya tu?

    Kuna matangazo kibao ya nyumba ambapo dalali anasema kabisa mwenye nyumba anataka mpangaji asie na mtoto/watoto. Issue ni nini? Wivu au Roho mbaya?
  7. JamiiForums Tanzania 13. “Mtoto, njoo hapa nisikie vizuri, Nitakuambia hadithi ya JKT ambayo iliuawa kabla hujazaliwa

    Unajua JKT ilikuwa nini kabla haijageuzwa kuwa kambi ya kukimbiza vijana kama kuku? JKT ilikuwa shule kubwa kuliko zote, hospitali kubwa kuliko zote, shamba kubwa kuliko yote, chuo kikuu kikubwa kuliko vyote- lakini si kwa majina. Kwa DAMU na KAZI. Mtoto, fikiria hivi: Kijana aliyesoma Ualimu...
  8. JamiiForums Tanzania Johann Carl Friedrich Gauss - Mtoto wa miaka 7 aliyetengeneza equation baada ya mwalimu kutoa Kazi ya kuwa-keep Busy Wanafunzi

    Wanasema wengi waliona Tofaa linaanguka ila mmoja (wachache ndio waliuliza kwanini) - Ingawa hizi story huwa zina chumvi nyingi na uongo wa hapa na pale lakini hii ya Gauss inafurahisha Katika miaka ya 1780 mwalimu wa shule huko Ujerumani ili wanafunzi wake wakae kimya kwa muda wa kama nusu saa...
  9. JamiiForums Tanzania Mrithi wa Lewis Hamilton, Kimi Antonelli, anawapelekea moto wakongwe kwenye F1 Championship. Dogo atafika mbali!

    Baada ya Lewis Hamilton kuhama Mercedes Benz na kwenda Ferrari wengi tulitegemea maajabu mengi ila hamna kitu. Ata podiums tu huu msimu za kuhesabika. Move ya MB kumtoa Kimi Antonelli kutoka Mercedes Benz Junior Racing kuja F1 kumreplace Hamilton wengi walijua wamebugi. Ila dogo ni wa moto...
  10. JamiiForums Tanzania SAFARI YA UZAZI: Mwongozo wa Afya ya Mama na Mtoto Katika Hatua Zote za Mimba na Baada ya Kujifungua.”*

    HIKI SI TU KITABU, NI ZAWADI YA AFYA KWA KIZAZI CHAKO Katika dunia inayokumbwa na changamoto za kiafya kila uchao, maarifa sahihi si hiyari tena ni hitaji la lazima. Tunapozungumzia uzazi, hatuzungumzii tu tukio la maisha, bali tunazungumzia mwanzo wa kizazi kipya mwanzo wa matumaini...
  11. JamiiForums Tanzania Kamteua Mtoto wake ELIMU ili Shule za Kiislam zifaulishwe , Shule za Wakatoliki zikandamizwe kwenye matokeo !!Dec 9 Wakatoliki msibaki ndani!!.

    For Our Common Good , our Enemy ni Mmoja. Msituachie tu sisi Waumini wa Ufufuo na Uzima , nawaomba Tarehe 9 Kila Mmoja ajitokeze, Anguko la Watesi wenu ndio Uhai wetu sisi !!. Dec 9 asibakie MTU nyumban.
  12. JamiiForums Tanzania Ndugu yako anafiwa Mtoto Oct 29, Unatoa pole Novemba 14?

    Ndugu yako wa karibu anapata msiba Oct 29 kafiwa Mtoto. Unamuona siku zote na unapita karibu na kwake. Nov. 3 unafanya sherehe kwako na unamsimanga kwamba kazidi kufiwa. Ghafla Nov. 14 baada ya kusemwa na majirani Unatoa pole!! Huu ni unafiki Grade 1.
  13. JamiiForums Tanzania Mwandambo: Diamond, huwezi kuwaita wasanii wenzio "kenge", haka ka kijana ni laana!

  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Baba asimulia mtoto wake alivyouliwa 'Mwanangu alipigwa risasi akafariki akielekea dukani'

    Familia za watu waliowapoteza wapendwa wao kwenye maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania, wanaendelea shughuli za kuandaa mazishi ya wapendwa wao huku wengine nao wakiendelea kuomboleza baada ya shughuli hiyo kukamilika. ripoti zinasema kuwa watu wengi walipoteza maisha...
  15. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mu7 anaomba friendly match

    General Muhozi (yule mtoto wa Rais Museven ) anamwambia Rais Samia Suluhu Hassani kwamba kama atakuwa anahitaji msaada wowote kutoka kwake kutokana na hii hali unayoipitia kwenye Taifa lake , asiwaze , yeye amgongee tu kwenye No zake atafika kwa haraka. Lengo hapo nikuja kuongeza nguvu ya...
  16. JamiiForums Tanzania Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three. Tushikamane kwenye hili

    Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three. Ni kweli Polisi Tanzania mpo je ya. Sheria. Kwenye hili mumejua kutuumiza. Polisi unapiga Marungu mtoto mdogo wa kike kama unapiga kibaka? Hivi kweli hili jeshi la Polisi la Tanzania ndo lile tunajua au kuna kitu kipo nyuma...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Paul Biya alalamikia unyanyasaji na kufuatiliwa tangu kumalizika kwa uchaguzi Cameroon

    Brenda Biya, binti wa Rais Paul Biya, amejitokeza kwenye mitandao ya kijamii akieleza kuchoshwa na kile anachokiita unyanyasaji na ufuatiliaji unaoendelea dhidi yake tangu kumalizika kwa uchaguzi wa urais. Kupitia video inayosambaa mtandaoni, Brenda alisema: “Imetangazwa kwamba Tchiroma ndiye...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kanye North: nitapenda kumchagua baba kuliko Mama

    Mtoto wa Kanye West na Kim Kardashian aitwaye North amesema kama akiulizwa aishi na nani basi ni bora aishi na baba yake kuliko mama yake, tena atachagua hivyo hata akiulizwa mara elfu moja. Anasema: “Nitamchagua baba yangu siku yoyote ile nikiulizwa. Baba yangu ndiye shujaa wangu. Baba yangu...
  19. JamiiForums Tanzania Mtoto mdogo miezi 8 ana shida ya vinyama puani na kooni

    Wakuu, dogo wangu anachangamoto ya vinyama puani na kooni hali inayopelekea kupumua kwa Shida sana.. Ipi ni tiba sahihi ya hii Shida..? 🙏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…