mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia au mtoto kwa kikwete walikuwa wana nafasi nzuri ya kushinda uraisi kwa haki sio kwa njia hii wanayoitumia

    Katika uhalisia samia alianza vizuri na alikuwa na njia zote za kujenga akubalike kama raisi ambapo hata tungeweka tume huru angeshinda lakini amefanya makosa na amechagua njia mbaya inayomchafua kwenye sura za nchi na za kimataifa njia mbaya sana. Mtoto wa raisi mstaafu kikwete pia alikuwa na...
  2. Mtoto wa marehemu John Komba amshauri mtoto wa Ndugai... CCM sikieni

    Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM. Kundi la pili ni kundi la pangu pakavu tia mchuzi, kundi la wanasiasa wajuzi ama kwa bahati wanaofanikiwa kufika ngazi za juu za...
  3. Mtoto wa Aishi Manula ni mkubwa sana yani Manula angesema ni mke wake nisinge kataa, respect sana

    Huyu BINTI inasemekana ni mtoto WA Aishi manual asee mboga safi kabisa respect to you 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏manula sipunde UNAENDA kuitwa Babu Kwishaaaaaa
  4. Njia 5 za Kujenga Kujiamini kwa Mtoto Wako

    Kujiamini ni sifa muhimu ya kumsaidia mtoto kufanikiwa katika maisha. Kama mzazi, unachukua jukumu muhimu katika kujenga msingi imara wa kujiamini kwa mtoto wako. Hizi hapa ni mbinu tano za kumsaidia mtoto wako ajiamini zaidi. 1. Msifie kwa Juhudi, Sio kwa Vipaji Badala ya kumsifia tu kwa...
  5. M

    Polepole: "Offspring" (mtoto) wa mwanamtandao ambaye ni waziri anazunguka nchi hii kugawa fedha kwa ajili ya uchaguzi wa 2030

    Leo katika mazungumzo yake na wananchi, Polepole ameeleza kuwa wahuni wameanza kuzunguuka nchi hii na kugawa fedha kwa ajili ya uchaguzi wa 2030. Akasema mmoja wa wanaofanya hivyo ni mtoto/offspring wa Mtu mzito sana ndani ya Wanamtandao. Hii ngoma ni hatari sana.
  6. Huyu mtoto yupo na IQ iliyosimama.

    https://www.facebook.com/share/r/16pq4X7Bpi/
  7. Nataka nimuoe huyu Lovely Emmy wana JF mje mshiriki sherehe napoopoa mtoto mzuri kipenzi cha dhati

    Lovely Emmy nahisi atakuwa mtoto mzuri laini laini na nyoronyoro mpya humu JF. Nataka nimuwahi kabla watu hawajamwaribu sana. Nimuoe Mimi nina wake wawili kwa sasa. Nahitaji mwingine wa 3 ila awe binti mdogo mdogo but na nyama awe nazo. Ndo maana naona lovely emmy ni chaguo sahihi mimi kumuoa...
  8. Mlee Mtoto Wako Aweze Kuishi Maisha na Siyo Kuyafahamu Tu, Maana Akiyafahamu Kabla Hayajayaishi Atashindwa Kuyafurahia

    Kuna wazazi wengi wanafikiria kuwa kazi yao kubwa ni kuhakikisha mtoto anapata akili sana. Anapata elimu nzuri, anasoma vitabu vingi, anajua mambo mengi. Hili si kosa. Lakini kuna jambo moja kubwa ambalo wengi wanasahau: Yaani, unamjaza mtoto maarifa, unamwambia maisha ni hivi na vile...
  9. Tayari huyu mpenzi wangu kaniahidi kunizalia mtoto kabla ya uchaguzi mkuu wa ndani wa CCM mwaka 2027

    Wakuu ninaandika huu uzi nikiwa na furaha isiyoelezeka. Habari inahusu huyu mpenzi wangu niliyemtolea taarifa kwenye huu uzi; Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama Baada ya majadiliano ya kina huyu bibie kaahidi Mungu akipenda kunipatia mtoto kabla ya uchaguzi mkuu wa ndani wa...
  10. M

    Huku makada wa CCM wakihonga mamilion ya Tsh mtoto akinyonga kwa kukosa Tsh 1500 ya mtihani.

    Hii inasikitisha
  11. Hivi mtoto wa dada kawe kapita ama kichujiooo kimempitiaaa

    Sijaangalia list ya kawe Kwa anaejua jamani mtoto wa dadaa kapita ama msibaa umemuangukiaaa?? Kama kachinjwaaaa naagiza keki kwa ajili ya wajumbee Oyeeee
  12. Ni kitu gani cha kijinga na cha ajabu ulikua unakiamini kabisa ukiwa mtoto ?

    Uliwahi kuamini ujinga gani ulipokuwa mtoto? Tukiwa watoto, tunakuwa tunajaribu kuelewa dunia hii kubwa na yenye mambo mengi lakini tukiwa na taarifa chache sana. Hapo ndipo tunaanza kuamini vitu vya ajabu ambavyo ukivikumbuka saivi vinachekesha, lakini vina maana pia. Labda uliwahi kufikiri...
  13. Kamfukuza beki 3 kisa mumewe anamla, akajichanganya akaliwa na mtoto wake

    Mwanamke alihisi mmewe anatoka na house garl akamtorosha kimyakimya akalala kwa chumbani kwa hoise garl na kuchomoa taa usiku jamaa akaingia akamvua nguo akamla bao mbili wakalala hadi asubhi kulivyokucha akawasha taa ili amseme mmewe kwamba nimekufuma anacheki ni mwanae wa kiume🙄🙄🙄 KESI IKAWA...
  14. Huu ukakasi umenikumbusha huu msemo: "Nilipokuwa mtoto nilikuwa masikini ila baada ya muda mrefu wa kufanya kazi kwa bidii mimi sio mtoto tena"

    Maisha yamekuwa corrupted, njia zimekuwa reshaped, yani kila hatua ya uthubutu na ueledi unachoambulia kufuga ndevu na mzunguko wa kifedha ambao ukipata tsh 10,000 muda sio mrefu unarudi kuwa tsh 0 ulio kuwa nayo Ofcourse maisha hayajawai kuwa marahisi, ila maisha ya bongo haya faidishi tena...
  15. Mwanamke wa Miaka 76 ajifungua Mtoto wa Kiume, Ethiopia

    Tukio la kushangaza limeripotiwa mjini Mekelle, makao makuu ya Jimbo la Tigray, Ethiopia, ambapo mwanamke mwenye umri wa miaka 76, Woizero Medhin, amejifungua mtoto wa kiume. Tukio hilo limetajwa na wengi kuwa la kimiujiza, likifananishwa na simulizi la kibiblia la Sara aliyejifungua akiwa na...
  16. Naombeni majina mawili pacha ya kikristo la mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" Liishie na "N"

    Habari ndugu zangu Wakuu naombeni majina ya kikristo mawili ya mapacha, mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" na mwisho liishie na herufi sound " N" "Likianza na "Jo" lika sound mwisho "N" itakua unyama zaidi maana mbegu na mayai tumeunga j & n mwanzoni ningependa na watoto wa anze na...
  17. Je, hili jina linafaa kwa mtoto wa kiume ?

    Ndugu zangu . Je, ni sahihi kumuita mtoto wa kiume "JOHAN" naombeni pia faida na hasara zake katika jamii?
  18. Mzazi unapaswa kujali usalama wa mtoto wako

    Sikuhizi wazazi wamekuwa wavivu sana katika uangalizi wa watoto wao. Wazazi wanawaacha watoto wao wadogo wanavuka barabara kuu (high way) pekee yao wakati wa kwenda shule. Right Marker Dar es salaam
  19. Naomba sababu ya Kiufundi na ya Kiutaalam kabisa kwanini huyu Nyoka HATARI hapa hakumuuma huyu Mtoto

    Na mkishaipata hiyo sababu Kubwa ndiyo mtajua na kuamini kuwa kwanini ukitaka Kubarikiwa haraka na Mwenyezi Mungu basi uwe unapenda mno kutoa Sadaka kwa Watoto kwani ile Asante yao / Shukran zao ni Baraka na Ulinzi tosha Kwako na Mimi kwa 90% ndiyo huwa nafanya kila Maulana / Mola akinijaalia...
  20. N

    Kwa tabia za mapolisi wetu, ukimkuta mtoto aliepotea na anatafutwa upo tayari kutoa ushirikiano ?

    Umekuta mtaani mtoto aliepotea anatangazwa kutafutwa, unapiga simu kwa wazazi wake waje kumchukua. Mapolisi wanaenda kwa wazazi wanafatilia nani aliemrejesha, hata kama walifuta namba wanaweza kufuatilia kwenye mitandao. Shida inaanza wakianza upelelezi japo sio mapolisi wote
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…