mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unapopata mtoto katika umri wa miaka 70 uhakika wa kusheherekea siku yake ya kuzaliwa ya miaka 20 au 30 ni mdogo

    Unapopata mtoto ukiwa na umri mkubwa, kikubwa unachoweza kumpa ni busara ulizozikusanya kwa miaka mingi. Uwezekano wa kusherehekea mahafali yake ya elimu ya juu ni mdogo sana. David Foster mwenye umri wa miaka 73 akiwa na mke wake wa ndoa ya tatu na mtoto wao. Watoto wa uzeeni wana muda...
  2. JamiiForums Tanzania Mtoto wangu amemeza shilingi 200

    Kama ilivyo kwa title mtoto huyo ni miaka Saba ameimeza shilingi 200 tangia saa 12 jioni. Naomba msaada wa mawazo yenu Wana JF
  3. JamiiForums Tanzania Kosa la kulawiti mtoto chini ya miaka 18: Adhabu ni kifungo cha maisha gerezani

    Ukimlawiti (kumwingilia kinyume na maumbile) mtoto (wa kike au wa kiume) wa chini ya miaka 18, adhabu ni kifungo cha maisha jela (life imprisonment). Adhabu hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 154(2) cha sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code) Sura ya 16 (Cap. 16), kama ilivyofanyiwa marejeo...
  4. JamiiForums Tanzania Mtoto Antoni yupo na kipaji kikubwa Cha uimbaji wa muziki wa Injili.

    Huyu kijana Yohana Antony is blessing kid Katika uimbaji wa Injili Let's we support Good music from our Mother Land , praise and worship
  5. L

    JamiiForums Tanzania ELIMU BURE: Gharama ya kumsomesha mtoto mmoja wa primary kwa Mwaka ni Milioni 4, na serikali inalipa! Tunapigwa hapa

    ELIMU BURE: Gharama ya kumsomesha mtoto mmoja wa primary kwa Mwaka ni 4MIL, na serikali inalipa kila mwaka Hili limesemwa na Mwenyekiti wa Shule Binafsi Tanzania. Na amemshauri Rais akae na wataalam wake wamwambie ukweli. Anapoteza pesa nyingi sana, wakati Elimu itolewayo duni Bado mtoto...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kumuita mtoto jina ambalo halina maana?

    Leo Nimemtembelea Dada yangu amejifungua mtoto wa kiume. Hila Jambo la kushangaza kampatia mtoto wake jina la Buluga, baada ya ku-google hili jina sijafanikiwa kujua maana yake then na Mama yake anadai hafahamu maana ya jina hilo. Je, ni sahihi kumptia mtoto wako jina Ambalo halina Maana...
  7. JamiiForums Tanzania Ashikiliwa kwa tuhuma za kumbaka na kumtishia kumuua mtoto wake wa kuzaa mwenyewe

    Na Walter Mguluchuma -Katavi Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Agustino Mikese Mkazi wa Kijiji cha Isinde Kata ya Mtapenda Halmashauri ya Nsimbo Wilaya ya Mpanda anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa tuhuma za kumbaka na kumtishia kumuua mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 16...
  8. JamiiForums Tanzania Nikichakata mbususu mtoto analia anatumia, mkuki ulikataa kulala.

    Nisimchoshe MTU yoyote. Katoto kazuri nilikachakata utamu. Nilipata kadada kadogodogo juzi. Nikakaalika lodge Moja mafichoni. Kalikuwa na hamu ingawa hakakuonesha waziwazi. Katika hangaika hangaika kunako sita Kwa sita. Nilipiga mashine mizunguko mitatu, wa nne kakaanza kulia kanaunia...
  9. JamiiForums Tanzania Kama una ugonjwa unaokupa tabu maishani na unarithishwa fikiria kuhusu kuasili

    Nimetoka kucheki documentary ya magonjwa yanayorithika nimeona nije kuweka maoni, Magonjwa ya kuruthi: kifafa cha kurithi. sickle cell. CCHS ; tunavyopumua huwa hatufikirii kupumua, wenye ygonjwa huu inabidi wafikirie ili wapumue, wanapolala inabidi watumie mashine kuwasaidia. Kansa ya mifupa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka sita ampiga risasi mwalim wake

    Tukio hili limetokea huko USA ambako mtoto na mwalimu walishindwa kuelewana na ndipo dogo akamshona teacher risasi. Bwana mdogo ni mwanafunzi wa darasa la kwanza na hali ya teacher ambaye ana umri wa miaka 30 siyo nzuri yuko chini ya uangalizi wa madaktari. Shule husika imefungwa kwa muda...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Njia salama zaidi kwenye kushughulikia kitovu cha mtoto

    Kinadharia Jamii yetu unaamini uwepo wa nguvu za giza na jinsi zinavyoathiri maisha yetu. Kitovu ni muunganiko wa kiroho na kimwili ili kupitisha virutubisho na uwepo wa mawasiliano ya kiroho pia Kati ya mama na mtoto. Ipo inayotumika kupitisha nguvu za giza Ili kudhuru au kukamata maisha ya...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya kukamatwa mtoto was El Chapo, Zimepigwa Kinoma Mexico

    Ngoja tuone kama watamuachia kama mara ya kwanza. Mpska sasa watu 29 wamekufa na vinu vinaendelea kulia huko Culiacana.
  13. JamiiForums Tanzania Afungwa jela maisha kwa kubaka Mtoto wa miaka mitatu

    Mahakama ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, imemhukumu John Sanare (23), Mkazi wa Kimnyaki wilayani hapo kutumikia kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya kubaka kichanga cha miaka mitatu na miezi miwili. Hukumu hiyo ilitolewa jana mahakamani hapo na Hakimu Mkazi Mkuu Gwantwa...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi kuna gharama za uhamisho kwa mtoto wa Shule ya Msingi?

    Nimekwenda shule fulani hapa Dar kutaka kumuhamisha kijana wangu anayeingia STD 7 nikaambiwa gharama ni sh 10000/=, Is this real? Cha ajabu risiti hatoi nilipo muhoji maelezo yake hayakunitosha. Kwa vile nilikuwa na assignment ya haraka sikuwa na MUDA wa kubishana nae. Lakini Kama itakuwa sio...
  15. JamiiForums Tanzania Kupungua kwa vichezo vya mtoto katika tumbo la mama mjamzito

    Kiwango cha kawaida cha mtoto kucheza tumboni (quickening) hutakiwa kucheza mapigo 90 katika masaa 12 katika wiki 32 au walau mtoto apate mienendo 50 inayotambulika kwa muda maalum. Kupungua kwa harakati za mtoto huhusishwa katika kesi nyingi za kifo cha mtoto kutokana na viwango vya chini vya...
  16. JamiiForums Tanzania Japan: Familia itakayohama Tokyo kulipwa Tsh. Milioni 21.3 kwa kila mtoto

    Uamuzi huo umechukuliwa na Serikali ikiwa ni katika harakati za kushawishi kupunguza idadi ya watu katika Mji huo Mkuu. Tokyo na maeneo ya jirani ya Kanagawa, Sai-tama na Chiba yanatajwa kuwa na idadi ya watu Milioni 35 ikiwa ni 28% ya watu wote wa #Japan, ambapo Serikali ina hofu ongezeko la...
  17. JamiiForums Tanzania Arusha: Afungwa jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa miaka 10

    Mahakama ya Wilaya ya Arusha, imemhukumu kifungo cha maisha gerezani, Godlisten Kibwana (22), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa kiume wa miaka 10. Kibwana ambaye ni mkazi wa eneo la Mianzini, jijini Arusha amehukumiwa adhabu hiyo leo Alhamisi, Desemba 29, 2022 na Hakimu Mkazi...
  18. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka mitatu aliwa na fisi Mwanza wakati akienda kuoga kwenye dimbwi

    Mtoto Emanuel Marco Nyagela mwenye umri wa miaka mitatu mkazi wa Kijiji cha Mwangika kata ya Mwabomba wilayani Kwimba mkoani Mwanza amefariki dunia baada ya kuliwa na fisi wakati akienda kuoga kwenye dimbwi akiwa na wenzake. Tukio hilo jana Desemba 27 saa 12 jioni kijijini hapo baada ya mtoto...
  19. JamiiForums Tanzania Arusha: Ahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kumbaka mtoto

    Mkazi wa kijiji cha Geilailumbwa kilichopo wilayani Longido mkoani Arusha, Lemindia Lesiria amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka binti mwenye umri wa miaka 16. Mbali na kosa hilo mtuhumiwa huyo na rafiki yake, Kulasa Mandeu wamekutwa na hatia katika makosa...
  20. JamiiForums Tanzania Angola: Mahakama yaagiza kukamatwa Mali za Tsh. Trilioni 2.3 za Mtoto wa Rais Eduardo dos Santos

    Mahakama ya Juu (ASC) imetoa agizo la kuzuiwa kwa Mali za Isabel dos Santos kama ilivyoombwa na Wizara ya Umma baada ya kudaiwa kuwa zimetokana na #Ubadhirifu na #Ufisadi wa Mali za Umma. Taarifa hiyo imeagiza kuzuiwa kwa Fedha katika Benki zote, Akaunti za Amana za Muda, Maombi yote ya Fedha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…