mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

    wapendwa mwenye kujua haki za watoto wa nje ya ndoa tupeane madodosoo hapa kwa dini zotee maana watoto wa nje ya ndoa wanaongezeka kila iitwapo leo vyema nao wakajua wazazi wakifa nn maslahi yao kufwatana na dini za wazazi wao kazi kwenu wapendwa... Operation okoa mtoto wa nje ya ndoa
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama: Maambukizi ya VVU Kutoka kwa Mama Kwenda kwa Mtoto yamepungua Nchini

    Na WAF - Ruvuma Waziri wa Afya Mhe. Jesnista Mhagama amesema kiwango cha maambukizi ya Virusi vya UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kutoka asilimia 18 mwaka 2010 hadi asilimia 8.1 mwaka 2023. Waziri Mhagama amesema hayo Novemba 29, 2024 wakati wa ufunguzi wa kongamano la...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Sio vizuri kwenda guest house na mtoto mdogo! Kiroho ni mbaya sana.

    Wakuu habari. Kwa wale wapenda mambo ya kikubwa! Kwenda na mtoto wako guest house Kuna mfanya kiroho kuchukua vitu vilivyowahi kifanyika kwenye hicho chumba. Usije shangaa mtoto wako mbona nikahaba au shoga kumbe chanzo ni wewe kwenda naye kwenye nyumba za kulala wageni. Haijarishi unaenda...
  4. JamiiForums Tanzania Tukio gani mtoto wako aliwahi kukufanyia ukashindwa hata kumpiga?

    Watoto wana vituko sana mda mwingine unaweza piga uue mfano huyu wangu aliondoka na rimoti mpaka shuleni tafuta limot tafuta haionekani kaja toka shule kakuta watu wanatafuta rimot ndio anasema nilibeba mimi hii hapa nikamwangalia huna jinsi unamuacha Nyingine Nikiwa mtoto kuna siku niligoma...
  5. JamiiForums Tanzania Mbeya: Wanandoa Mbaroni Baada ya Kumshushia Kipigo Hadi Kifo Mtoto Wao wa Miaka Minne

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Ramadhan Tembo Mwakilasa [28] maarufu kama Rama Love ambaye pia ni Mwandishi na Mtangazaji pamoja na Mariamu Charles Mwashambwa [28] wote wakazi wa TEKU Viwandani Jijini Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya mtoto Chloy Ramadhan...
  6. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwashambwa na Mwakilasa washikiliwa na Jeshi la polisi kwa kumpiga hadi kumuua mtoto wa miaka minne

    Jeshi La Polisi Mkoa Wa Mbeya Linawashikilia Watuhumiwa Wawili Ambao Ni Ramadhan Tembo Mwakilasa (28) Na Mariamu Charles Mwashambwa (28) Wote Wakazi Wa TEKU Viwandani Jijini Mbeya Kwa Tuhuma Za Mauaji Ya Mtoto Wao Chloy Ramadhan (04). Kwa Mujibu Wa Kamanda Wa Polisi Mkoani Mbeya Benjamini...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Dalili za Mtoto Anayepitia Unyanyasaji Mtandaoni Cyberbullying

    Unyanyasaji wa Mtandaoni, unazidi kuwa tishio kubwa kwa watoto kila mahali duniani. Dalili zake mara nyingi hazionekani moja kwa moja, lakini zinaweza kufahamika iwapo kirahisi kama tu mzazi au mlezi utaweka umakini kwa mwanao. Mtoto aliyeathirika anaweza kuonekana mnyonge au mwenye huzuni kila...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kukutana na soulmate wako wakati tayari una mtu na mshazaa mtoto. Je, ni sahihi kuendelea na anayekupa furaha?

    Wadau, Kuna jamaa yangu anaomba ushaur. Ni hiv..miaka miwil iliyopita alikutana na mdada single mama,(divorced) wakaanzisha mahusiano huyu single mama baada ya mwaka akapata ujauzito wa mwana. Huyu single mama ana vitabia flan ambavyo mwana havikubal.. Anasema demu ni controling sana.hasira...
  9. JamiiForums Tanzania Huyu ndio mtoto mwenye akili nyingi kuliko wote Tanzania 2024

    Huyu mtoto ukimsikiliza ana uwezo mkubwa sana wa kujieleza na kufanya hesabu. Anajibu maswali ambayo hata wewe huwezi kuyajibu hapo ulipo saivi Ee Mungu tunakuomba huyu mtoto asiharibiwe na mfumo wa elimu yetu. Mtumie huyu mtoto kuonyesha ukuu wako. Amen na Jumapili njema WE PROTECT THIS...
  10. JamiiForums Tanzania Ukatili:Mtoto wa Kimasai Achapwa Viboko Hadi Kurukwa na AKili.

    Siku ya Tarehe kumi na tano ya wiki iliyopita, katika eneo la Engaruka wilaya Monduli mkoani Arusha,palitokea tukio la Kinyama la mtoto wa Miaka kumi na Tano ajulikanae kwa JIna la Namasi kufungwa katika Mti na kuadhibiwa kwa fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake na kusababisha kupata majeraha...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi zama hizi mtoto wa kike anaanza kuingia hedhi (kuvunja ungo) kuanzia miaka mingapi?

    Naomba kufahamu mwenye uzoefu na jambo hili maana kuna mtoto wa sister wangu mtoto wake wa kike ana miaka 8 ameanza kutoka damu ukeni mama yake ananiambia sijamuelewa tunahisi ni hedhi hapa nadrive kumpeleka hospitali
  12. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kubadili majina ya mtoto shuleni ukoje??

    WKuu Nina kijana yuko form 3 anaingia form four. Sasa majina anayotumia jina la katikat siyo sahii nataka nibadili.Shuleni walidai haiwezekani. Je utaratibu wa kisheria ukoje
  13. JamiiForums Tanzania Ukifumaniwa unategua (sex) mtoto wa mtu haya ndo malipo yako, unafungishwa ndoa ya mkeka, faini kubwa au wakura

    Wanajamvi Kila jamii Ina utaratibu wake wa ku deal ama ku-solve maswala yake. Katika pitapita zangu za hapa na pale nikafika Kijiji kimoja Kipo mkoa wa Tanga mpakani na Gairo morogoro. Wenyeji wa hapo waliniambia sisi binti akimaliza darasa la Saba nakuchezwa (yaani anafundishwa mapenzi)kama...
  14. JamiiForums Tanzania Buguruni, Dar: Mtoto wa miaka 10 akutwa amejinyonga chumbani kwake

    Habari za usiku wakuu! Kuna mtoto wa miaka 10 amekutwa amejinyonga chumbani kwake hapa Buguruni. Maelezo ya kina hayajapatikana ila kwa maelezo ya awali ni kwamba mtoto katoka shule mida ya saa tisa jioni na baada ya kufika nyumbani amefanya shughuli ndogo ndogo na baada ya muda umeingia...
  15. JamiiForums Tanzania Ulipokuwa mtoto ulitamani ukiwa Mkubwa uwe nani?

    Wakuu, Leo ni Siku ya Watoto Duniani! Ulipokuwa mtoto, ulitamani kuwa nani? Je, umefikia ndoto zako, au bado unazifanyia kazi? Kumbuka, ndoto za watoto ni halali na zinaweza kutimia! Tuendelee kujenga mazingira yanayowawezesha watoto wetu kufanikisha ndoto zao
  16. JamiiForums Tanzania Maulid ambaka mtoto wa miaka 6 hadi kufa akiwa njiani akienda Shuleni

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kusini Unguja linamshikilia Maulid Hassan Maulid (18) kwa kosa la mauaji ya mtoto wa miaka 6, ambaye alibakwa hadi kufa akiwa njiani akienda shuleni.
  17. JamiiForums Tanzania Siku ya Watoto Duniani (Novemba 20): Unajivunia kitu gani kuhusu Mtoto wako?

    Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1954 ili kukuza ustawi wa watoto duniani kote na kuongeza uelewa kuhusu haki zao. Pia ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Mkataba wa Haki za Mtoto (Convention on the Rights of the Child) mnamo 1989. Ni fursa nzuri ya: Kujifunza kuhusu haki za watoto...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna wadada wanazaa na watu ili wapate kuhudumiwa kwa mgongo wa mtoto na wakiombwa mtoto wanamng'ang'ania hawataki because huduma itakata.

    ANDIKA hii, kuna wadada wanazaa na watu ili wapate kuhudumiwa kwa mgongo wa mtoto na wakiombwa mtoto wanamng'ang'ania hawataki kwasababu huduma itakata😀 na watapauka wanatafuta mwanaume mwenye pesa wanazaa naye ili wapate maisha kupitia yule mtoto wake Andika na hii ya mwisho, wapo wadada...
  19. JamiiForums Tanzania Swali kwa single Mothers: Siku ya harusi ya mtoto wako nani utakaa naye High Table? Baba mtoto au mume wako?

    Mkiyapata majibu ya swali hili mtajua umuhimu wa kulinda ndoa zenu. Maandiko yanasema mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. Umeolewa unakuta sms moja tu kwenye simu ya mumeo unaondoka na watoto.unaenda kuolewana lizee au unageuka nyumbandogo ya mume wa mtu. Hao watoto...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mtoto Njiti Duniani

    Kila Novemba 17, Siku ya Mtoto Njiti huadhimishwa Duniani ili kuongeza uelewa na kupaza sauti kuhusu changamoto zinazohusiana na suala hilo Mtoto njiti huzaliwa kabla ya wiki 37 za Ujauzito kukamilika Mtoto mmoja kati ya kila Watoto 10 huzaliwa Njiti na kila mtoto anayezaliwa chini ya uzito wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…