mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sakata la Mtoto aliyelawitiwa Nyakato - Mwanza, RC Mtanda asema kesi imefikishwa Mahakamani na Mtuhumiwa kapelekwa Gerezani

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda leo jumatatu Agosti 18, 2025 amelitolea ufafanuzi suala la Mtoto Mkazi wa Nyakato Wilayani Ilemela aliyesemekana kulawitiwa na Mtuhumiwa Steven Ibasa (Baba Claudia) tarehe 14 Agosti 2025. Mtanda akiwa ofisini kwake ametoa mwenendo wa kesi hiyo ambapo kwa sasa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Umri miaka 29 Sina mke Wala mtoto

    Kama mnavyoona kichwa Cha habar hapo Sina mke Wala mtoto na hapa bado sielew nawaza juu hili
  3. JamiiForums Tanzania Ni kweli mama yako mzazi ukimkosea, kwa hasira akavua nguo(kumwaga radhi) mtoto unakuwa kichaa?

    Kila mara huwa nagombana na mama kwa sababu hatuendani kitabia. Ana maudhi sana. Hajui kuongoza familia. Anapenda taarabu tu, matokeo yake amekuwa mtu wa vijembe. Sasa kuna washkaji wameniomya, kuwa mama yangu akivua nguo mimi nakuwa kichaa hapo hapo. Eti kweli? Nijibuni swali tu, umri wangu...
  4. JamiiForums Tanzania Miaka nane bila mtoto kujaribu kwa jirani imo namtaka mwanangu hataki

    Nina ndoa ya miaka 8 hatujapata Mtoto tumezunguka hospitali nyingi tunaambiwa hatuna Shida tukashauriwa tujaribu dawa za kienyeji. Kuna jirani yangu rafiki wa mke wangu akamweelekeza Kwa mkunga kijijin kwao ni hatari gusa unate tulienda kule nimetumia hela nyingi mke wangu ametumia dawa mwaka...
  5. JamiiForums Tanzania RC Mtanda atoa maelekezo kwa Mdau aliyedai kuna Kiongozi anamlinda mtuhumiwa wa Ulawiti kwa Mtoto

    Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuwasilisha dokezo akihoji Kiongozi gani wa juu ambaye anamlinda mtuhumiwa wa Ulawiti kwa Mtoto kutoka katika Kituo cha Polisi Kirumba, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ametoa maelekezo kwa Mwananchi huyo kuhusu kipi anachotakiwa kukifanya. Kusoma...
  6. JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume ,chukua hii

    Hivi wewe mtoto wa kiume straight unakuaje Inspired wa mafanikio kutoka kwa Mwanamke au Shoga. Yani unakuta mwanaume kabisa anasema anatamani kuwa pesa na magari kama Jenifa yule muuza nguo Sinza .. mimi sikuelewi Au unatamani kuwa kama yule lile lichoko li Uncle T.. of course wana mafanikio...
  7. JamiiForums Tanzania Mtoto Kuzaliwa Na Korodani Moja

    Mtoto kuzaliwa na korodani moja ni hali ambapo mtoto ana korodani moja tu iliyoshuka kwenye mfuko wa korodani (scrotum), wakati korodani nyingine inaweza kuwa haijashuka (undescended), haipo, au imeondolewa. Hali hii inajulikana pia kama monorchism. Athari Za Kuzaliwa Na Korodani Moja: Athari...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri mnaojua shule inayosaidia watoto wenye Uelewa wa taratibu (slow learners) nimpeleke mtoto wangu.

    Habari wanajamvi, Kwa masikitiko makubwa nawaomba mnisaidie kunielekeza ni shule gani hapa Dar es salaam inauwezo mkubwa kuwasaidia watoto wenye Uelewa mdogo yaani slow learners?? Kijana wangu wakiume ambaye Yuko timamu kabisaa anachangamoto darasani tuu, Yaani Yuko darasa la tatu kusoma kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Samia au mtoto kwa kikwete walikuwa wana nafasi nzuri ya kushinda uraisi kwa haki sio kwa njia hii wanayoitumia

    Katika uhalisia samia alianza vizuri na alikuwa na njia zote za kujenga akubalike kama raisi ambapo hata tungeweka tume huru angeshinda lakini amefanya makosa na amechagua njia mbaya inayomchafua kwenye sura za nchi na za kimataifa njia mbaya sana. Mtoto wa raisi mstaafu kikwete pia alikuwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Mtoto wa marehemu John Komba amshauri mtoto wa Ndugai... CCM sikieni

    Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM. Kundi la pili ni kundi la pangu pakavu tia mchuzi, kundi la wanasiasa wajuzi ama kwa bahati wanaofanikiwa kufika ngazi za juu za...
  11. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Aishi Manula ni mkubwa sana yani Manula angesema ni mke wake nisinge kataa, respect sana

    Huyu BINTI inasemekana ni mtoto WA Aishi manual asee mboga safi kabisa respect to you 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏manula sipunde UNAENDA kuitwa Babu Kwishaaaaaa
  12. JamiiForums Tanzania Njia 5 za Kujenga Kujiamini kwa Mtoto Wako

    Kujiamini ni sifa muhimu ya kumsaidia mtoto kufanikiwa katika maisha. Kama mzazi, unachukua jukumu muhimu katika kujenga msingi imara wa kujiamini kwa mtoto wako. Hizi hapa ni mbinu tano za kumsaidia mtoto wako ajiamini zaidi. 1. Msifie kwa Juhudi, Sio kwa Vipaji Badala ya kumsifia tu kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Polepole: "Offspring" (mtoto) wa mwanamtandao ambaye ni waziri anazunguka nchi hii kugawa fedha kwa ajili ya uchaguzi wa 2030

    Leo katika mazungumzo yake na wananchi, Polepole ameeleza kuwa wahuni wameanza kuzunguuka nchi hii na kugawa fedha kwa ajili ya uchaguzi wa 2030. Akasema mmoja wa wanaofanya hivyo ni mtoto/offspring wa Mtu mzito sana ndani ya Wanamtandao. Hii ngoma ni hatari sana.
  14. JamiiForums Tanzania Huyu mtoto yupo na IQ iliyosimama.

    https://www.facebook.com/share/r/16pq4X7Bpi/
  15. JamiiForums Tanzania Nataka nimuoe huyu Lovely Emmy wana JF mje mshiriki sherehe napoopoa mtoto mzuri kipenzi cha dhati

    Lovely Emmy nahisi atakuwa mtoto mzuri laini laini na nyoronyoro mpya humu JF. Nataka nimuwahi kabla watu hawajamwaribu sana. Nimuoe Mimi nina wake wawili kwa sasa. Nahitaji mwingine wa 3 ila awe binti mdogo mdogo but na nyama awe nazo. Ndo maana naona lovely emmy ni chaguo sahihi mimi kumuoa...
  16. JamiiForums Tanzania Mlee Mtoto Wako Aweze Kuishi Maisha na Siyo Kuyafahamu Tu, Maana Akiyafahamu Kabla Hayajayaishi Atashindwa Kuyafurahia

    Kuna wazazi wengi wanafikiria kuwa kazi yao kubwa ni kuhakikisha mtoto anapata akili sana. Anapata elimu nzuri, anasoma vitabu vingi, anajua mambo mengi. Hili si kosa. Lakini kuna jambo moja kubwa ambalo wengi wanasahau: Yaani, unamjaza mtoto maarifa, unamwambia maisha ni hivi na vile...
  17. JamiiForums Tanzania Tayari huyu mpenzi wangu kaniahidi kunizalia mtoto kabla ya uchaguzi mkuu wa ndani wa CCM mwaka 2027

    Wakuu ninaandika huu uzi nikiwa na furaha isiyoelezeka. Habari inahusu huyu mpenzi wangu niliyemtolea taarifa kwenye huu uzi; Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama Baada ya majadiliano ya kina huyu bibie kaahidi Mungu akipenda kunipatia mtoto kabla ya uchaguzi mkuu wa ndani wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Huku makada wa CCM wakihonga mamilion ya Tsh mtoto akinyonga kwa kukosa Tsh 1500 ya mtihani.

    Hii inasikitisha
  19. JamiiForums Tanzania Hivi mtoto wa dada kawe kapita ama kichujiooo kimempitiaaa

    Sijaangalia list ya kawe Kwa anaejua jamani mtoto wa dadaa kapita ama msibaa umemuangukiaaa?? Kama kachinjwaaaa naagiza keki kwa ajili ya wajumbee Oyeeee
  20. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani cha kijinga na cha ajabu ulikua unakiamini kabisa ukiwa mtoto ?

    Uliwahi kuamini ujinga gani ulipokuwa mtoto? Tukiwa watoto, tunakuwa tunajaribu kuelewa dunia hii kubwa na yenye mambo mengi lakini tukiwa na taarifa chache sana. Hapo ndipo tunaanza kuamini vitu vya ajabu ambavyo ukivikumbuka saivi vinachekesha, lakini vina maana pia. Labda uliwahi kufikiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…