mtihani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanaume huko Senegal avalia kama msichana kumfanyia mpenzi wake mtihani

    Mwanafunzi wa chuo kikuu huko Senegal yuko amejipata mashakani baada ya kuvalia kama mwanamke ili kumfanyia mpenzi wake mtihani wa somo la Kiingereza. Picha za Khadim Mboup akiwa amevalia nguo za wanawake zimesambazwakatika mitandao ya kijamii na katika vyombo vya habari nchiniSenegal...
  2. SoC01 Kifo cha mtu uliyemzoea mtihani mgumu sana kufaulu

    KIFO NI KIBAYA SANA..NI BORA UFE WEWE KULIKO ATANGULIE YULE ULIMPENDA NA KUMZOEA. Habari wakuu,poleni na majukumu Najua kila mtu ameshawahi kusikia neno KIFO..ndio ni neno fupi lenye herufi chache tu,Herufi nne yaani K I F O. Nadhani tukiongelea katika maneno ambayo yanaogopwa na hayapendwi...
  3. Utaratibu kwa mtu kufanya mtihani wa kidato cha sita kama Private Candidate

    Naombeni ufafanuzi kwa mtu kufanya mtihani wa kidato cha sita kama Mtahiniwa binafsi. Swali linajengwa na hoja hii: Kuna kijana alitakiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita 2021,lakini akapata matatizo shuleni na kuzuiliwa mtihani licha ya kuwa alikwishakamilisha usajili wa NECTA. Waliondolewa...
  4. Claudio-Kijana wa Kitanzania aliyepasua 99% mtihani wa Hesabu Havard

    Kijana huyu mwenye amri mdogo ana akili iliyotulia kinoma, miaka ya hivi karibuni alifanya kazi katika Shirika la Twaweza akiwa kama Assistant data analyst alibahatika mwaka jana Mwanzoni kupata ajira nyingine huko ughaibuni - barani ulaya katika shirika kubwa la masuala ya utafiti ambapo...
  5. Tatizo la kushindwa kufaulu mtihani wa kuajiri linatokana na nini

    Habari za Leo wapendwa, Heri ya siku ya wafanyakazi duniani. Wapendwa kwanza kabisa nikiri kwamba taifa letu bado ni changa na ili liweze kuendelea linahitaji kuajiri wataalam mbalimbali katika sekta mbalimbali. Inashangaza sana taifa hili eti linashindwa kuajiri huu ni mkwamo mkubwa katika...
  6. I

    BAWACHA: Rais Samia asiwatambue Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama CHADEMA

    Katika mkutano huo, Catherine Ruge amesema: Tumeona kwenye vyombo vingi vya habari kuwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani anaenda kulihutubia Bunge tarehe 22 -04-2021 kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kwa rais wa JMT kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Dkt. John Magufuli. Kuelekea tukio...
  7. Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Shinyanga kuzuiwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita 2021

    Kuna taarifa kuwa Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga maarufu kama Shybush, wamefukuzwa shule na kuzuiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza mapema mwezi wa tano. Taarifa zaidi zinadai kuwa sababu kubwa ni fujo iliyotokea shuleni hapo mwezi...
  8. Rais Samia Suluhu kuhutubia Bunge Alhamisi Aprili 22, 2021

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu. === Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
  9. J

    Mtihani: CAG mstaafu azitaka kamati za bunge PAC na LAAC zitembelee taasisi zenye hati chafu badala ya kukimbilia kwenye hati Safi!

    CAG mstaafu mh Uttoh amezitaka kamati za bunge za PAC na LAAC kuwa strategic zinapoenda kukagua taasisi za serikali badala ya kujiendea tu kimazoea. Uttoh amesema ni vema bunge likatembelea taasisi zenye hati chafu na zile ambazo CAG ameshindwa kutoa hati ( disclaimer) au zile ambazo CAG...
  10. Geita: Kaka amuua mdogo wake baada ya kufanya vibaya kwenye mtihani wa majaribio

    Mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Shibutwa wilayani Mbogwe mkoani Geita, Ziada Masumbuko (15) ameuawa kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali kichwani na kaka yake kwa kile kinachodaiwa ni baada ya kufanya vibaya katika mtihani wa majaribio. Kamanda wa polisi mkoani Geita, Hendry...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…