mtihani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kituo kizuri cha kujiandaa kurudia mtihani wa Kidato cha Sita

    Natumaini kila mmoja wetu hapa yupo na siku nzuri kabisa; Nimekuja kwenu asubuhi hii ili kuomba ushauri wa mambo ya kielimu; hasa kurudia mtihani wa kidato cha sita. Kitaaluma mimi ni mwalimu wa ngazi ya cheti, pia nilisoma kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM. Sikufanya vema...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta Center ya kufanyia mtihani wa form six kama private candidate kwa Mlandizi

    Habari zenu. Ndugu zangu nilikuwa na uliza kama Kuna mtu yoyo anaijua center yoyote ya kujisajilia kufanya mtihani wa form six Kwa mlandizi ani ambie
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wafadhili watubane tu mpaka ifike mahala kununua kilo ya unga iwe ni mtihani halafu tuone hawa polisi, TISS na Jeshi kama wataendelea kulinda watawala

    Mimi naomba tu nchi wafadhali na mashirika ya fedha duniani, waungane wasitishe mikopo na misaada kwa asilimia 100 kama ambavyo umoja wa ulaya teyari umeonyesha mfano. Uchumi uvurugike, tushindwe kununua hata kilo ya unga na hata mishahara iiwe shida kulipa, halafu tuone kama hivi vyombo vya...
  4. JamiiForums Tanzania Baraza la mitihani (NECTA) yatangaza mtihani wa kidato cha nne kuanza kesho

    Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne. Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kuketi hiyo kesho ni sawa na asilimia 65.63 ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini tubaguane Tanzania Bara na Zanzibar?

    Mpaka hii leo nashindwa kufanya shughuli zangu, nashindwa kula vizuri, nashindwa karibu kufanya mambo yote kwa sababu ya mambo yanayoendelea katika nchi yangu Tanzania. Nina maumivu makubwa mno moyoni mwangu kiasi kwamba upande wa kushoto wa moyo wangu haupo vizuri. Najikuta nashinda...
  6. JamiiForums Tanzania Mtihani wa taifa wa somo la mahusiano mwaka 2025

    MTIHANI WA TAIFA WA SOMO LA MAHUSIANO MWAKA 2025. JIBU MASWALI YOTE. Kulia inaruhusiwa kwenye chumba cha mtihani. 😂 1. Umekuwa kwenye mahusiano na mtu kwa miaka (5) mitano lakini ghafla amekuacha na ameenda kuoana na mtu mwingine. Piga hesabu ya muda uliopoteza. (Maksi 15) 2. Umenunua zawadi...
  7. JamiiForums Tanzania Mtihani wa taifa wa somo la mahusiano mwaka 2025

    MTIHANI WA TAIFA WASOMO LA MAHUSIANO MWAKA 2025. JIBU MASWALI YOTE. Kulia inaruhusiwa kwenye chumba cha mtihani. 😂 1. Umekuwa kwenye mahusiano na mtu kwa miaka (5) mitano lakini ghafla amekuacha na ameenda kuoana na mtu mwingine. Piga hesabu ya muda uliopoteza. (Maksi 15) 2. Umenunua zawadi...
  8. JamiiForums Tanzania Haya Maisha kuna wakati unapitia Mtihani mpaka unasema kwa Kulia

    Kuna mama, Mshahara wake ni chini ya laki tatu, anaishi na watoto wa kijana yake ambae ashafariki. Watoto bado wanasoma. Basi yeye na mme wake wamepambana weee mpaka wamesimamisha nyumba ya kuishi huko mbele ya mbagala huko. Nje ya jiji la DSM. Nyumba ni zakawaida tuu. Za kipato cha chini...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Usimamizi mitihani halmashauri ya Kwimba; Kwanini walimu wa shule za msingi ndio wanasimamia mitihani katika ngazi zote (sekondari na msingi)

    Mamlaka za usimamizi wa mtihani zifatilie hili Jambo, Kwimba walimu msingi wanasimamia mtihani ngazi zote, na walimu Sekondari wanachukuliwa wachache tu kama danganya toto. Chunguzeni mamlaka husika kuna siri ipi? Kwanini wanaacha utaratibu wa kubadilishana? Yaani walimu secondari wasimamie...
  10. M

    JamiiForums Tanzania MTIHANI; BAADHI KIPUNGUNI A HAWAJALIPWA FIDIA YA ARDHI. UCHAGUZI HUU HAPA

    Hili la Kipunguni kutolipwa fidia ya ardhi zaidi ya miaka 20 linafikirisha sana. Wananchi wanalipwa kwa awamu na kimakundi kidogo kidogo sana.Kulikoni! Uchaguzi ungekuwa wa huru na haki CCM ingepata shida sana Kipunguni. Hili serikali limalizeni.
  11. JamiiForums Tanzania Msaada majibu ya mtihani wa kiswahili

    Habari wana JF? nahitaji msaada wa majibu katika mtihani huu kwa kiswahili. kiukweli mimi umenishinda kabisa ni mtihani wa online 1. Ipi kati ya chaguo lifuatalo inawakilisha njia sahihi ya kuandika tarehe? a. 29 Novemba, 2020 b. 29,11,2020 c. 29/11/20 2. Ikiwa msemaji anafanya kosa la...
  12. JamiiForums Tanzania Nikiwa kama 'Mtanzania Mganda' naomba Dua zenu leo Watanzania ili Uganda Cranes nayo ifuzu, kwani leo ina Mtihani mkubwa sana Mandela Stadium

    Yaani Timu zote Tatu zina nafasi ya kupita ila iIiyo tu Mtegoni hasa Kimahesabu ni Uganda (Uganda Cranes) mtuombee.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Huku makada wa CCM wakihonga mamilion ya Tsh mtoto akinyonga kwa kukosa Tsh 1500 ya mtihani.

    Hii inasikitisha
  14. JamiiForums Tanzania Mtihani Bure kwa wanafunzi Wanaorudia Kidato cha Nne, Sita na QT

    Mwalimu Makoba Open School inawakaribisha kufanya mitihani ya kujipima na mtihani wenu wa mwisho wa kidato cha nne, Sita na QT Hakuna gharama yoyote katika mitihani hii. Mambo Yaliyopo: Utafanya mtihani Utasahihishwa Utafanyiwa masahihisho na kuelekezwa namna bora ya kujibu mtihani wako...
  15. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea sasa hivi ndani ya CCM, kisitushangaze kabisa kwa sababu tulishaonyeshwa dalili zake mapema

    Kiongozi yeyote anayedogosha msahafu wa kazi yake ya uongozi, anaibua maswali mazito sana. Kinachoendelea sasa hivi ndani ya CCM, kisitushangaze kabisa kwa sababu tulishaonyeshwa dalili zake mapema. Rais Samia alipoiita katiba kuwa ni kijitabu tu, alikuwa anatuambia ni jinsi gani kwake, sheria...
  16. JamiiForums Tanzania Maswali mtihani ya baadhi ya Wananchi

    Swali la baadhi ya wananchi; Mhe. Waziri GwajimaD, hivi hawa wasaidizi wako hawana msaada hadi useme sisi tukuletee matatizo ya nchi nzima wewe? JIBU: wasaidizi wangu wana msaada mkubwa na wanafanya kazi kubwa sana na kilichotakiwa ni iwapo hamjapata huduma kwao basi, mje rufaa ya malalamiko...
  17. JamiiForums Tanzania Mtume bora angekubali kuomba sala 3 tu kwa siku, kusimamisha swala 5 kwa siku ni mtihani mzito kwa waumini.

    Katika hadithi ya jinsi waumuni walivyopatiwa kuswali sala 5 kwa siku inasemwa kwamba mtume akiwa katika safari yake mbinguni alipokutana na Allah alianza kwa kupewa sala 50 kwa siku, mtume aliposhuka mbingu inayofuata akakutana na mtume Musa akamwambia kwa jinsi anavyowafahamu binadamu hizo...
  18. JamiiForums Tanzania Mwaka 1999 kuna gazeti liliandika “Ally Mayay apata yai mtihani kidato cha sita”

    Nimekumbuka mbali sana leo My classmate Ally mayay alivyoandikwa na lile gazeti Japo ilikuwa kweli hawakumtendea haki Habari ile ilimtia simanzi,alishinda ndani analia tu,rafiki zake, John Mwansansu na Renatus Njohole wakamfanyia mchongo kwenda nje, kufika ubalozini akanyimwa ViSA Mwamba...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake wa maofisini ni mtihani

    Baadhi sio wote, wanapokuwa ofisini wanajifanya hawana wapenzi au wapo kwenye mapenzi yanayopumulia machine, kana kwamba wanahitaji faraja. Ofisini hapa Kuna dada nilimkuta, najua ana mpenzi wake na kutwa wana postiana status, nika test kumtania/kimasihara ili ku prove anachosema Xi Jinping...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiwa Mtu Mzima Utagundua Kwamba Salamu Ya Shikamoo Ni Mtihani

    Hiyo namba ndio mwaka wangu wa kuzaliwa,ulivyokuwa na hamu ya kujua Etugrul Bey ana miaka mingapi utapiga hesabu bila aibu ujue nina miaka mingapi,usijichoshe hii may nimetimiza miaka 46,je kuna mwenye shida na hilo? Nakumbuka nikiwa Chuoni kuna mtu wa Library kipindi hicho alikuwa kwenye 40's...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…