Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri.
Anatakiwa achague moja,
1. kumwachia Lissu au
2. kuendelea kumshikilia.
Samia akiamua kumwachia ataonekana dhaifu, muoga kitu ambacho wapambe na chawa wake hata yeye hataki...