mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania AIBU KUBWA SANA: Hawa ndio Wakurugenzi wakubwa wa Makampuni ya mitandao ya simu Afrika Ya Mashariki. Hakuna Mtanzania hata mmoja

    Wakurugenzi Wakuu (CEOs) wa Makampuni ya Mitandao ya Simu Tanzania, Kenya na Uganda. Tanzania. 1. Vodacom - Philip Besiimire - Uganda 2. Airtel Tanzania - Charles Kamoto - Malawi 3. Yas - Pierre Canton-Bacara - France 4. Halotel - Nguyen Tien Dung - Vietnam Kenya 1. Safaricom - Peter Ndegwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mradi wa ufugaji wa nguruwe – Mtanzania mwenye maono

    1. UTANGULIZI WA MRADI Mradi huu unalenga kuanzisha ufugaji wa nguruwe kwa kiwango kidogo kwa lengo la kukuza kipato na kujenga msingi wa biashara endelevu ya mifugo. Mradi unaweza kuanzishwa kijijini au mjini, kulingana na upatikanaji wa eneo na maji. Shughuli za awali ni: Kuandaa eneo la...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima kada wa chama aliyeamua kujihatarisha kuokoa nchi yake

    GWAJIMA KADA WA CHAMA ALIYEAMUA KUJIHATARISHA KUOKOA NCHI YAKE Askofu Gwajima siku ya jana alitoa ushauri kwa mamlaka za kiserikali kutokana na sakata la utekaji lililozidi sana nchini kwa sasa. Katika hotuba yake ya lisaa limoja, Askofu Gwajima amenukuliwa akisema utekaji sio utamaduni wetu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtanzania anayeelewa msingi hasa wa hii CCM ya sasa! Ina simamia nini hasa?

    Kuna Mtanzania anaye elewa msingi hasa wa hii CCM ya sasa! Ina simamia nini hasa? CHADEMA tunajua inasimamia demokrasia, maendeleo, HAKI (Uhuru wa upigaji kura, Tume huru, mikataba ya uwazi, na haki za Watanzania) CCM ya zamani kilikuwa chama cha wakulima, ujamaa na maendeleo. Je, CCM ya sasa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani huyu ambaye kila Mtanzania anasubiri aongee...

    Nchi ya Tanzania inapitia kipindi kigumu sana wakati huu kuliko wakati mwingine wowote. Kelele, vilio, malalamiko na majonzi yametanda kila sehemu na wengi wakiwa na wasiwasi kama watakuwa salama siku zinavyoendelea kusonga. Tumefikia kipindi ambacho mtu akiondoka nyumbani kwenda kwenye...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mtanzania mbaya sana awamu hii ya Sita

    Ni yule aliye karibu na Rais wetu mpendwa na anasikilizwa na Rais na kumshauri kutochukua hatua au kuacha kutoa mwongozo wa kiutawala kwa haya yanaendelea. Ni kweli ushindi ni tayari kwa CCM mpaka sasa. Lakini majuto yake ni Mjukuu. Nina uhakika Mwenyezi Mungu atamlinda na kumweka sana Rais...
  7. JamiiForums Tanzania Huwezi kuamini kama huyu ni Mtanzania mpaka afanye kitu gani.?

    Huwezi kuamini kama huyu ni Mtanzania mpaka afanye kitu gani.?
  8. JamiiForums Tanzania HII 3BEDROOMS KILA MTANZANIA ANAYEPAMBANA VIZURI ANA UWEZO WA KUIJENGA 0624004650

    PLOT SIZE 20X20M DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES +255624004650 OFISI ZETU ZIPO SINZA DAR ES SALAAM
  9. JamiiForums Tanzania Usitume kwenye Voda kuna Songesha!Wakuu hivi kuna Mtanzania mwenye line ya simu ambaye hadaiwi?

    Nataka kumtumia jamaa yangu hela anakuwa mkali anasema "usitume usitume huko kwenyo line nadaiwa"😂😂😂 Karibu kila Mtanzania mwenye line ya simu ana deni kwenye line hiyo. Hii kauli ya "usitume, nadaiwa!" imekuwa kama nembo ya taifa. Kila mtu ana “Songesha” kwenye Voda, Tigo, Airtel n.k...
  10. JamiiForums Tanzania Video : Mtanzania alie mfundisha Tupac kiswahili

    Ni kutoka kwa Yule mwamba mwandishi wa kitabu " SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP: Spiritual Meaning Of Each and Every word that comes from the mouth and voice of Tupac Shakur in the song Hit Em Up". Mwandishi huyu ni Expert wa " The Sacred Art of Spiritual Languages" Na " The Art of...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtanzania aliopo Angola

    Kama kuna mtanzania alipo angola naomba kujua kama kuna fulsa kwa wajasiliamali nchini Angola hali ipoje na fulsa zake naomba msaada kwa yoyote aliopo huko
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtanzania aliyepo Angola

    Kama kuna mtanzania aliyepo Angola naomba kujua kama kuna fulsa kwa wajasiliamali nchini Angola hali ipoje na fulsa zake naomba msaada kwa yoyote aliopo huko
  13. JamiiForums Tanzania Mtanzania Faith Hewitt Kapilima achaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya NNC Uingereza

    Katika tukio la kipekee linaloangazia nguvu ya uongozi wa wanawake na wahamiaji katika siasa za kimataifa, Faith Hewitt Kapilima, Mtanzania mwenye asili ya kabila la Wangoni kutoka Songea, amechaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya NNC nchini Uingereza kupitia chama cha kihafidhina cha Conservatives...
  14. JamiiForums Tanzania Kuwa Mtanzania ni kazi kama kazi nyingine

    Nawasilisha. Kuna mambo ndani ya nchi yanakera hadi kumtoa mtu kwenye uwepo. Umeme haujatulia sjui wanataka watuunguzie vitu?. Unakuwepo dk 10 unakatka kwa dk 1 na gafla unarud afu unakata tena Ingia tik tok had kuna watu washaufanyiq igizo au content ( mara wanakata eee mara wanawasha heee...
  15. JamiiForums Tanzania Akacheeka! akawaambia 'mimi nitabaki kuwa Mtanzania bakini na ujinga wenu

    Haya ni maneno ya Bwashee anawaambia watu wa UHAMIAJI,,,,Huyu Bwashee yupo mamtoni anatafuta maisha na mambo kadha wa kadha kwa ajili ya kusaidia familia yake,jamii inayomzunguka(OFCOZ) anapojenga wana wanapata dili za hapa na pale katika kupunguza ukali wa maisha yaani kimsingi bwashee kaleta...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa anavyo pendwa' na kila mtanzania, Rais Samia angekuwa mkristo hali ingekuwaje?

    Huwa nachukia udini japo siwezi kujitenga na uwepo wa ushabiki wa kidini nchini na humu JF. Tangu apate madaraka kwa mkono wa Mungu, rais Samia anaonekana kuwaridhisha mashehe hadi wengine kama shehe mmoja kusema kuwa ni mtu bora baada ya Yesu na Muhamad. Akiwa mwanamke, ambaye kisheria hapaswi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni furaha isiyo kifani kuona kila mtanzania anamudu mahitaji yake ya kila siku

    Nitoe wito au ushauri wa viongozi waliopa madarakani, serikali inayoongozwa na Rais Samia Hassan Suluhu. Tanzania kuna kila aina ya resources ambazo zinamudu kumfanya kila MTANZANIA awe na uwezo wa kumudu MAHITAJI yake ya kila siku maishani mwake. Tutangulize uzalendo, mtanzania mwenzako ni...
  18. JamiiForums Tanzania Ndoto ya CCM ni kuona kila Mtanzania anakuwa Mjinga

  19. S

    JamiiForums Tanzania TUSEME UKWELI >Kauli ya Tundu>> Kama Mtanzania au wewe ni Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Tuachane na siasa , watoto wadogo wanahitaji kauli ya WaTanzania kwa kile alichokitamka Mheshimiwa Tundu Lisu. Watoto wetu wanasoma mashule na wengine husikia na kusoma habari ,wanaposikia kuna mtu ameshitakiwa au kutuhumiwa kwa kosa la Uhaini ,wanahitajia jibu lako kwanza waelewe hilo kosa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mtanzania, lakini kwa huu msimamo wa Bashe kwa Malawi huu sio uungwana wala ujirani mwema

    Tanzania inaonekana hatuna sera ya mambo ya nje, tupo tupo tu. Lakini hata hivyo, kauli za Bashe kwa Malawi juu ya Malawi kuzuia uingizaji wa bidhaa za kilimo sio ya kiungwana, na haiakisi -Utanzania tulio nao. Tukio liko hivi, katika kudhibiti matumizi ya fedha za kigeni na kukuza kilimo ndani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…