mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wizara ya Nje: Hakuna Mtanzania aliyeshambuliwa Afrika Kusini katika ghasia dhidi ya Wageni

    HAKUNA RAIA WA TANZANIA ALIYESHAMBULIWA NCHINI AFRIKA KUSINI Wizara inapenda kuufahamisha umma wa Watanzania kuwa hakuna raia wa Tanzania anayeishi Afrika Kusini aliyeshambuliwa kutokana na ghasia dhidi ya wageni nchini humo (xenophobia). Aidha, Wizara inauhakikishia umma wa Watanzania kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Elfu 5 ni hela kubwa sana kwa maisha ya Mtanzania. Kwanini Bank zinaidharau, na kima cha chini kutoa ATM kiwe Elfu 10?

    Kuna kazi viwandani malipo ni Elfu 5 kwa siku. Na hiyo Elfu 5 mtu anaweza fanya shopping kubwa na kula ata siku 2. Sasa mtu unaenda ATM una balance ya 48,000/= unatakiwa utoe Elfu 40 na kuicha Elfu 8 waibutue butue ndani ya week. Sio fair kabisa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Paulo Saburi Kilonzo (c. 1890–1979) mtanzania wa Pare (Vu-Asu) kutoka Kilimanjaro Tanzania mwana wa 'Mrungu wa Gu' (Mungu wa vita)

    April 2 2021 Kilonzo, Paulo Saburi (c. 1890–1979) Na Gadi Kilonzo Ilichapishwa kwa Mara ya Kwanza: Machi 29, 2021 Mhubiri painia, mchungaji, na mmishonari katika Afrika Mashariki, Paulo Saburi Kilonzo alitoka katika watu wa Pare (Vu-Asu) wa Milima ya Pare ya safu za milima ya pwani ya...
  4. JamiiForums Tanzania Miaka 2 na miezi kadhaa imepita sasa tangu Mtanzania Joshua Mollel alivyouawa na kikundi cha kigaidi cha Hamas

    October 7th, 2023 mwanafunzi wa miaka 21 Joshua Mollel kutoka Tanzania aliuliwa kikatili na kikundi cha kigaidi cha Hamas Joshua alikuwa ni mwanafunzi wa Agriculture nchini Israel, hakuwa sehemu ya vita vya Israel vs Palestine, hakuwa tishio, hakuwa adui, lakini Hamas walipomkamata walimuua...
  5. JamiiForums Tanzania Mauaji ya mtanzania Wisconsin US miaka ya 90

    Ni miaka mingi imepita tangu hili tukio limetokea kwa kaka kumuua dada yake na kufungwa maisha jela hata baada ya rufaa adhabu haikupungua na hadi sasa anatumikia kifungo. Kwa ufupi mauaji yanahusu kisa cha kusikitisha cha mwaka 1999 ambapo Mwivano Mwambashi Kupaza, mwanafunzi wa Kitanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Machawa wa CCM na uhalisia wa maisha ya mtanzania

    Nauliza kwa dhati kabisa Nauliza swali ambalo wengi wanaogopa kuliuliza waziwazi… Hivi hawa machawa wa CCM wanaishi nchi hii hii tunayoiishi sisi, au wanaishi kwenye dunia yao? Kwa sababu ukweli hauhitaji kupakwa rangi, Maisha yamekuwa magumu kupindukia Vijana hawana ajira Wananchi wanalia...
  7. JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Ahmed Khalfan Ghailani mtanzania wa kwanza kufungwa gereza la guantanamo kwa kesi ya ugaidi

    Mwamba aliazaliwa Machi 14 mwaka 1974 ni Mtanzania aliyekuwa na kesi ya kushiriki kwenye tukio la kigaidi la al-Qaeda aliyehukumiwa kwa jukumu lake kubwa katika ulipuaji wa balozi nchini Kenya na Tanzania. Alishtakiwa nchini Merika kama mshiriki katika milipuko ya mabomu ya ubalozi wa marekani...
  8. JamiiForums Tanzania Mtanzania Gabriel Geay ajizolea zaidi ya shilingi Milioni 500 kwa kutwaa medali ya dhahabu Daegu Marathon, South Korea

    Ikiwa ni mara ya pili mfululizo, mwanariadha wa Tanzania Gabriel Geay, leo tena kashika nafasi ya kwanza kwenye mbio za Marathon (42km) za Daegu, Korea kusini. Katumia muda wa masaa 2:08:08. Huu ni ushindi mkubwa kwa kijana huyu na Tanzania kwa ujumla. Cha kufurahisha ni kuwa kijana atawekewa...
  9. JamiiForums Tanzania Mtanzania Joseph Jr Michael asajiliwa na timu ya Vijana ya Celta Vigo ya Hispania

    Kijana wa Kitanzania, Joseph Jr Michael (JJ), amepiga hatua kubwa baada ya kusajiliwa na klabu ya Celta Vigo nchini Hispania kwenye timu ya vijana (Juvenil B) kupitia dirisha dogo la usajili la Januari 2026. JJ mwenye umri wa miaka 18 anayecheza nafasi ya mlinzi wa kati, amejiunga akitokea...
  10. JamiiForums Tanzania Mtanzania akamatwa na dawa za kulevya Zambia

    Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya Zambia (DEC) imemkamata Ahmed Muharram (40), raia wa Tanzania anayetajwa kuwa mlanguzi mkubwa wa dawa za kulevya, katika oparesheni maalum jijini Lusaka. Katika msako huo, DEC ilikamata jumla ya kilo 1,380.8 za bangi, zikiwemo kilo 221.2 zilizofichwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania IGP Camillus Wambura: Udhibiti na usiamaizi wa silaha ni jukumu la kila mtanzania, sote tunawajibika kuilinda nchi yetu

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, amewataka Watanzania wote kushiriki katika jukumu la udhibiti na usimamizi wa silaha, ili kulinda nchi yetu ikiwa ni utekelezaji wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. IGP Wambura ameyasema hayo Februari 3, 2026 jijini Dar es Salaam...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtanzania mwenzetu anatufuta ndugu zake. Anayemfahamu asaidie.

    Alipata ajali akapoteza kumbukumbu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Justine Kalikawe: Mwanamziki wa Reggae Mtanzania, Ndio kwa mara ya kwanza nasikia wimbo wake kwenye Daladala leo

    Hapa niko nasikiliza Mziki wa Justin Kalikawe Mwanamziki wa Rege asili ya Kitanzania, Mhaya kutoka Kagera Kibao kinachopigwa muda huu kwenye hii daladala ni " AMANI" AIdha ktk kuelimisha jamii, wanasiasa, kuhimiza utaifa na maendeleo mnamo miaka ya 1996 hadi 2000s alitoa kazi zake kama...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi askari Mtanzania unampigaje risasi Mtanzania mwenzako anayetii amri zako ikiwa kulala kifudi fudi

    Jana nimeangalia report ya DW kuhusu mauaji Serikali wanasema waliuwa waandamanaji, wezi na vibaka lakini cha kushangaza polisi walifika mtaani na majumbani kuuwa kila Mtanganyika aliyeonekana machoni pao 1. Hivi askari Mtanzania unakuta vijana Kisesa Mwanza wapo kibarazani wanakula chips...
  15. JamiiForums Tanzania Taharuki: Mtanzania diaspora atekwa nyara Kilimanjaro

    Anaandika Liberatus Mwang'ombe Mpaka uzi huu unapanda hewani, jeshi la utekaji la polisi hawajatoa kauli yeyote UPDATE Mdogo wake Thadei Kweka aitwaye JB Kweka, kupitia Club House amethibitisha kutekwa kwake. Ameeleza zaidi kuwa polisi wamekiri kumkamata. Tukio la kukamatwa kwake limejiri...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sidhani kama kuna Mtanzania ambae aliumizwa atawasamehe askari Polisi. Ipo siku hata misiba yao watajizika wao peke yao

    Hakuna mtu anayepinga kuwa kulitokea uhalifu kipindi watu wanaukataa utawala wa Rais Samia ile oktoba 29. Lakini swali la msingi je hawa wahalifu walikuwa na siraha za kivita? Shoot to kill ikatokea na watu wengi wakapoteza maisha. Polisi wamechukiwa na wameonekana hawana mioyo ya kibinadamu...
  17. JamiiForums Tanzania Maisha bora kwa kila Mtanzania inawezekana

    Habari Tanzania ! Leo hii maisha bora kwa kila Mtanzania imekuwa ndoto na wakati mwingine inaonekana kama ni jambo lisilowezekana na hii ni chanzo cha aina ya watu na uwezo wao wa kufikiria. 1. Ujenzi wa Nyumba na Makazi ya kupanga yamekuwa aghali sana. Njia: Punguzeni tozo na kodi kubwa...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kila Mtanzania anajua wazi kuwa hakuna chama kilichokimbia uchaguzi kwa sababu ya wafadhili wa nje

    Sidhani kama Chadema walikimbia uchaguzi kwa shinikizo la watu wa nje. Hii sio kweli kabisa. Takwa kubwa lilikuwa ni kupata katiba mpya ambayo ingeweza kuleta mazingira ya kutokuwa na udanganyifu kwenye uchaguzi. Hili la kueneza maneno kuwa wanalipiwa hela kwenye mahotel huko nje sio hoja...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kila mtanzania aliyechukizwa wakiamua kutumia njia za mungu,uchawi na laana utapona kweli.

    Huyu kasema ana muachia mungu,mwengine kasema ana muchia shetani,mwengine kaenda kukuvunjia tikiti maji,Tuje kwa walokole sasa hapa lazima kombolero liingie. Tukija TEC naona NOVENA itakwenda na wine kabisa. Haya wale wanaojua kwenda kwa waganga au ndugu zao ni waganga utasalimika kweli.
  20. JamiiForums Tanzania Mimi kama Mtanzania napinga na kupiga marufuku polisi kushiriki siasa

    Kichwa cha habari kiko wazi. Kama kweli dola ni mali ya wananchi, sisi wenye jeshi letu tupinge na kulipiga marufuku kushiriki au kushirikishwa kwenye siasa hi,I za majitaka. Katiba yetu inapiga marufuku vyombo na taasisi, a umma na watumishi wake kutumika au kupeendelea katika kutimiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…