mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mtanzania, umevuka miaka 35 na huna Passport upo kwenye list ya watu maskini

    Nimegundua watu wenye passport hapa Tanzania ndio wenye nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kuliko wasio na passport nimeshuhudia mimi mwenyewe na watu wangu wa karibu wakitoboa kirahisi sana wakiwa na passport kuliko wale wasio na passport kwasababu ya exposure wanayokuwa nayo kwenye sekta...
  2. O

    JamiiForums Kenya Charlene Ruto Afanya Sherehe ya Koito na Mchumba Wake Mtanzania Isaya Yunge

    Binti wa Rais William Ruto, Charlene Ruto, amefanya sherehe ya jadi ya Koito na mchumba wake, Isaya Yunge, mjasiriamali wa teknolojia kutoka Tanzania. Sherehe hiyo ilifanyika Jumamosi, Agosti 8, 2026, katika Intonna Heritage Farm, Kilgoris, Narok County, huku familia za Charlene na Yunge...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mtanzania yeyote mwenye akili na uwezo wa kufikiri ataacha kunywa pombe zilizowekewa zuio kuuzwa Rwanda na serikali ya Kagame: kuna shaka ya madhara

    Nakumbuka miezi kadhaa huko nyumba kuna watu waliiandikia serikali kuhusu madhara ya juice fulani za Azam kwa watumiaji, wakitoa ushahidi na hata kutumia nyaraka za Umoja wa Mataifa kuonyesha kwamba juice hizo hazikufaa kwa matumizi ya binadamu. Jibu la serikali na TBS lilikuwa kwamba hizo...
  4. JamiiForums Tanzania Katibu mpya wa Fedha wa CCM ni Mtanzania halisi? Mbona anaonekana kuzungumza kiswahili kwa tabu

    Nimemsikiliza akiwa katika mkutano wa hadhara wakipokelewa viongozi hao wapya na wanachama wao jijini Dodoma, baada ya kuteuliwa hivi karibuni. Katika mkutano huo alipata nafasi ya kuongea na kuwashambuli viongozi wa vyama vya Upinzani. Hapo ndipo nilipogundua anazungumza kiswahili kama vile...
  5. JamiiForums Tanzania Nani Mtanzania mwenye karma nyingi huko Reddit?

    habari, kama heading inavyosema nataka kujua mtamzania anayeutumia huo mtandao kisawasawa 💯, watumia wa reddit kama mpo humu uwanja ni wako.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Lipo jitu lenye miguvu na mapembe makali linaloamua mustakabali wa nchi yetu linauwa linajeruhi ni hatari kwa kila mtanzania

    Assalam alaykum Jitu hili sio la kufanyia mchezo litangamiza roho za watu wengi mno Jitu hili ni hatari hata kwa viongozi wakuu wa nchi, hizi lawama anazopewa mama yetu ni bure hili jitu ndilo linalofanya hiki mnachokiona hata mama mwenyewe hana cha kuliambia Rais aliyepita...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tazama majeraha ya risasi kwa Lissu; Mtanzania yeyote mwenye akili timamu anawezaje kuwakumbatia wanaofanya ukatili huu dhidi ya mwanadamu mwenzao?

    Moderators naomba sana msifute huu uzi. Lazima watu waone ukweli wa mambo wanayofanyiwa Watanzania wenzetu wa vyama vya upinzani kwa sababu tu wanatofautiana maoni na wengine. Wanaofanya haya ni sawa na wanyama. Kisa nini hasa, uchu wa madaraka na kulinda ufisadi? Na unakuwaje na moyo - kama...
  8. JamiiForums Tanzania Mimi kama mtanzania Mzalendo nawaasa wa Tz 🇹🇿 tukubali tu

    Mimi naona sasa ifike wakati wa Tanzania tukubali ya kuwa hii inchi hatuwezi kuikomboa. Nchi haiwezi kukombolewa kwa sasa, maana hakuna opposition nje ya chama kilichopo madarakani chenye nguvu ya kuwatoa... They've built mifumo ambayo no amount of inate opposition wanaweza kuivunja. Sio kwa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Combo ya Tundu Lissu na John Heche kila Mtanzania sasa anaielewa na kuiishi kwa mustakabali na ustawi jumuishi wa nchi yetu pendwa Tanganyika

    Hawa magwiji wawili wa siasa na jopo lao la viongozi ndani ya CDM wamefanya CCM wote kuchanganyikiwa na kupoteza legitimacy mbele ya wananchi kwa zaidi ya asilimia 80. Ni ukweli usiopingika kwamba Chadema kwa sasa ndio chama kikuu cha siasa Tanzania na raia wanashauku na matumaini makubwa kwa...
  10. JamiiForums Tanzania VIDEO: Tazama jinsi Mtanzania alivyofanyiwa vurugu na wasauzi

  11. E

    JamiiForums Tanzania Muungano Huu Shaghalabaghala: Mzanzibari ni Mtanzania, ila si kila Mtanzania ni Mzanzibari

    Kumekuwa na kauli tata kutoka kwa viongozi wa Zanzibar kuhusu Muungano, wakionyesha ubaguzi wa wananchi kutoka Bara kupata huduma au kushiriki fursa za kiuchumi, hali inayozua maswali. Kauli hizo zimekuja wakati kukiwa na mjadala wa kwa nini raia wa upande mmoja (Tanzania Bara/Tanganyika)...
  12. JamiiForums Tanzania Mtanzania Barka Seif ajiunga na Academy ya Barcelona (La Masia)

    Kinda wa Kitanzania Barka Seif Mpanda amejiunga rasmi na academy ya klabu ya Fc Barcelona ya nchini Hispania akitokea Fc Damm ya nchini humo Kiwango bora alchokionesha akiwa fc Damm ambapo kwa msimu uliopita aliibuka mfungaji bora kwa kufunga magoli 41 katika michezo 28 ya ligi za vijana...
  13. JamiiForums Tanzania The Elite Betrayal: Jinsi Viongozi Wanavyocheza Kamari na Maisha ya Mtanzania

    Kiintelojia, nchi inapitia mdororo mkubwa wa kiuchumi, lakini hawa viongozi wamebaki kuleta mzaha na sarakasi za kisiasa. These f*cking niggas are out here clowning while the trenches are burning. Hata kama mliingia madarakani kwa mchongo wa kujiteua wenyewe, basic decency ingewasukuma kudeal...
  14. JamiiForums Tanzania Bongo Zozo amshtaki Mtanzania aliyemtishia kifo na matusi

    Raia mzungu Muingereza alielowea Tanzania na wakati flani alikuwa balozi wetu wa kujitolea anayezungumza kiiswahili Fasaha Bongo Zozo amshtaki Mtanzania polisi uingereza kwa kumtukana na kumtishia kumuua. Soma hapo chini. adriz de mbusii
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inatoa tamko gani juu ya kupanda kwa gharama za gesi na mafuta ya petrol na dizeli? Maisha ya Mtanzania yanazidi kuwa magumu kila kukicha

    Hii post naielekeza moja kwa moja kwa Mheshimiwa Rais, Dr Mama Samia Suluhu Hassan na waziri wa Nishati na Madini. Jamani wakuu maisha yetu watanzania wa hali ya chini yanazidi kuwa magumu. Bei hizi za gesi tunazotangaziwa kuwa zimepanda kufikia 62000 kwa mtungi wa kg 15 na 27000 kwa mtungi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kama Tundu Lisu atakufa na Msimamo wake. Atakuwa ndiye mtanzania shujaa wa muda wote Akifuatiwa na Magufuli. Hao watu hakuna anayesogea Kwa ukaribu

    Habari za Sabato! 1. Bado tunafuatilia mambo yanavyoendelea. 2. Shujaa na Legendary ni Yule mwenye msimamo wa Haki, mwenye uwezo wa kujitoa maisha yake kwaajili ya msimamo wake na kupigania Haki na Ukweli. 3. Si hivyo tuu. Shujaa na legendary katika level ya kitaifa ni Yule ambaye alionyesha...
  17. JamiiForums Tanzania Mtanzania akijipata ni kuringishia kwa kula

    Nyie mliojipata acheni sifa za kijinga za kujiposti na misosi kwenye mitandao ya kijamii. Hali ya maisha sasa hivi kwa wengi ni ngumu chakula ni shida halafu kwa maksudi mnaturingishia hiyo misosi. Unakuta ni kuposti tu unafakamia minyama. Kuna mantiki gani kuwadharau wenye njaa? Kuna haja...
  18. JamiiForums Tanzania Yupo Mungu aliyembariki mtanzania aliyeua 518 ila yupo Mungu atakae muhukumu mtumishi atakae kataa kuudumia wanzania,pasipo kuwaua?;

    Leo nimkusikia ukimwapisha yule waziri uliyemtoa upinzanzani wale wanao kwenda kukaimu tamesa, Umenena vyema yakuwa walio pewa nyadhifa hizo watambue ni dhamana tu. Wasipowatumikia wanzania wajiandae kulaaniwa na Mungu, SWALI chokonozi aliyetoa amri watu mia 518 kuuwa mbona tunae na tunatambae...
  19. JamiiForums Tanzania TANZIA Baharia Mtanzania apoteza maisha wakati meli inavuka mfereji wa Hormuz

    Waajemi msiwasogelee jamani.. Chanzo cha picha,Getty Images Baharia wa Kitanzania amepoteza maisha wakati akihudumu katika meli ya kuvuta iitwayo VOLANS, Shirika la uwakala wa Meli Tanzania, TASAC limeeleza. Kifo cha baharia huyo kwa jina Mchama Maregesi Mongu, kilitokea tarehe 3 mwezi Mei...
  20. JamiiForums Tanzania 'Mila na Desturi' za Mtanzania ni zipi?

    Mila na desturi za Mtanzania ni zipi? Mataifa yenye makabila mengi na dini nyingi nayo huwa na mila na desturi zake ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…