mtaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Ushauri wa biashara kwa mtaji wa million moja na nusu

    Kuna mtu anaomba ushauri nikaona niwashirikishe wanafamilia wa jf, Ana million moja na nusu anataka kununua bodaboda used namba d ampe mtu ampe elfu nane kwa siku au afungue saluni za mtaani kinyozi ampe elfu saba kwa siku Wazoefu wa biashara izo toeni ushauri
  2. JamiiForums Ushauri wa biashara

    Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
  3. JamiiForums Jinsi ya Kuanza na Kufanya Online Business Bila Mtaji wa Pesa (Uzoefu wangu)

    Nimeanza kufanya biashara mtandaoni (online business) tangu mwaka 2021 na hii ni njia bora ya kujiongezea kipato bila ya kuwa na mtaji mkubwa wa pesa. Nitakueleza hatua kwa hatua jinsi unavyoweza kuanza biashara ya mtandaoni ukiwa huna mtaji wowote wa pesa. Hapa ni mambo ya msingi unayohitaji...
  4. JamiiForums Nawezaje kuanza biashara ya real estate Kwa mtaji wa viwanja nilivyo achiwa na Mzee ?

    Wakuu habari Kuna viwanja vitatu Mzee kanipa, Kimoja kipo Mlandizi ndani ndani huko porini, kama unaenda bagamoyo Kingine kipo ubungo external Cha mwisho kipo kimara mwisho Na Sina mpango wa kuuza hata kimoja , ila mpango mkubwa ni kuanza biashara ya Real Estate Sasa, swali la msingi...
  5. M

    JamiiForums Mtaji wa milioni 45 napata faida ya 500,000 baada ya siku14 ni sawa?

    Habari wakuu Kuna biashara nafanya ambayo mtaji waki ni milioni 45 lakini faida Yake napata laki tano ndani siku 14 Hadi mzingo unakua umeisha. Je hii nisahihi kuendelea kuifanya kwa faid la ya laki tano kwa mtani huo au napoteza muda? Ushauri wenu mtupe namchongo wabiashara za faida kubwa zaidi
  6. JamiiForums Je mtaji wa ml.8 unatosha kufuga layers 600 mpaka waanze kutaga?

    Habari wakuu, naombeni uzoefu wenu hasa kwenye sekta hii ya kuku wa mayai. Binafsi nimewahi kufuga kuku wa kienyeji, chotara, na broilers kwa uchache, ila kwa sasa nahitaji kufuga kuku wa mayai 600 hivyo ningependa kujua gharama zao hasa kwenye upande wa chakula, vifaranga na madawa tuu ukiacha...
  7. JamiiForums Natafta mtaji wa kuanzisha kilimo dar es salaam, kisiju (Iam seeking for a capital to start farming business in dar es salaam, kisiju)

    Habari Naitwa Aisha. Mimi ni mkazi wa dar es salaam, natafta sana mtaji wa kuanzisha biashara ya kilimo hapa dar kisiju, eneo la kufanyia kilimo ninalo, ila sina mtaji wa kuanzisha kilimo kwa ujumla, nimeazimwa heka 11 za kulimia tu, na eneo lina asili ya maji chini kama nikichimba kisima...
  8. JamiiForums Natafta mtaji wa kuanzisha kilimo Dar es salaam kisiju( seekin for a capital to start farming here in Dar es salaam kisiju)

    Habari. Mimi ni mkazi wa dar es salaam, natafta sana mtaji wa kuanzisha biashara ya kilimo hapa dar kisiju, eneo la kufanyia kilimo ninalo, ila sina mtaji wa kuanzisha kilimo kwa ujumla, nimeazimwa shamba la kulikia na jamaa wa karibu heka 11, na eneo lina asili ya maji chini kama nikichimba...
  9. JamiiForums Naomba Msaada: Ushauri, Kazi, Mtaji, au Vifaa vya Kusikilizia

    Habari wanajamii, Naitwa Allen, Samahani Kwa usumbufu, natambua mna mambo mengi ya kufanya ila kwa MDA wako umeamua kupitia Uzi huu🙏🏿, Napitia changamoto ya Usikivu hafifu Kwa takribani miaka mitano (5) hali ambayo imeathiri sana maisha yangu ya kila siku. Nimezunguka HOSPITALI tatu (3)...
  10. JamiiForums Nimekula mtaji wa watu

    Mssada wadau kuna duka nimekabidhiwa lakini mwenendo wa mauzo siyo wa kuridhisha pia inasemekana hili eneo halina biashara na uswahili ni mwingi,lakini mbaya zaidi kwa milango tuliokodi sisi upande wetu kwa miezi kadhaa nashuhudia watu wanahama mimi bado nimekomaa. Tatizo linakuja duka biashara...
  11. B

    JamiiForums Biashara ya Barbershop kwa mtaji wa milion 20 inalipa sana

    Huu ndo mchanganuo kwa wanaotaka kufanya barbershop kwa mtaji wa miti 20(2M) 👉Utengenezaji wa frame ndani na nje (unakuta labda furniture tu mule ndani kama miti 5 hivi (5M), tuseme labda (decoration ya jengo Mti NNE(4M) hujanunua madryer labda (2M na vifaa vingine Miti 2(2M),hujaweka bhango...
  12. JamiiForums Mfuko upi wa UTT AMIS ni bora kukuzia mtaji wakuu?

    Samahani wakuu naomba kujua ni mfuko upi naweza kutumia kukuzia mtaji ambazo kianzio chake ni kidogo zaidi?
  13. JamiiForums Jinsi Richard Branson alivyoanzisha kampuni ya ndege bila kuwa na mtaji wowote ule

    Na... Jinsi Wewe Unavyoweza Kuanzisha Biashara yako pia! Moja ya Changamoto ambayo Wajasiriamali wengi wamekuwa Wakipitia ni Jinsi ya Kuanzisha Biashara bila ya kuwa Mtaji. Yaani… Je kuna Njia yoyote RAHISI ya Kuanzisha Biashara bila kuwa na Mtaji? Ukweli ni Kwamba… HIYO NJIA IPO NA...
  14. JamiiForums Nimeamua kuanzisha biashara na 10% ya mtaji wangu

    Aslaam, Baada ya kujikusanya kwenye mtaji na kujiuliza nifanye biashara gani, nimeamua kuchukua 10% ya mtaji WANGU kwenda kuanza biashara. Kiukweli hakuna kitu kigum kwenye biashara kama kuamua ni biashara gani yakufanya ambayo itakidhi mahitaji yako na kukuletea faida itakayokuwezesha kukuza...
  15. JamiiForums LGE2024 Tuna mtaji wa imani ya Watanzania: Dkt. Nchimbi

    TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo Ahamasisha kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu, isiachwe kura hata moja, wakiwemo wapinzani Awataka...
  16. JamiiForums LGE2024 Emmanuel Nchimbi: Tuna Mtaji wa Imani ya Watanzania

    TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo Ahamasisha kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu, isiachwe kura hata moja, wakiwemo wapinzani Awataka...
  17. JamiiForums Tatizo Sio business idea, tatizo ni mtaji mdogo, biashara zipo NYINGI Ila limit ni mtaji mdogo.

    Biashara zipo kila Kona biashara yoyote ukiinvest Hela hata biashara ya makopo inaweza kukutajirisha. Ila tatizo linakuja kwenye mtaji how to get capital malegend AU tips Gani hutumika kukuza small Business mpaka iwe huge
  18. L

    JamiiForums Biashara ya kufanya mtaji 30 milioni

    Juzi nimeomba ushauri kuhusu biashara ya kufungua pharmacy kwa mtaji wa 30m nitafute mwanamke mwenye diploma ya pharmacy nimuoe aje akae kwenye hio biashara. Ila comment na ushauri mwingi kutoka kwa waja walishauri nisije karibu kufungua biashara na kumuweka mke. Kwakweli Mimi kwaupande wangu...
  19. JamiiForums Kama una ndoto za kuanzisha biashara anza kwanza kutafuta wazo la biashara kabla ya mtaji au tafuta vyote kwa wakati mmoja

    Aslaam, Kutokana na changamoto za Maisha ambazo hutufanya kawaza kutafuta ridhiki kila kukicha, wengi tumejikuta kujikita Mawazo yetu kwenye kufanya biashara ili tuweze kujikwamua katika mambo mbalimbali ya kimaisha hasa kwenye Nyanja za maendeleo. Imekuwa kawaida yetu mtu anapowaza kujiajiri...
  20. JamiiForums Najiuliza huu ujumbe nimeletewa na nani; kuna sauti imeniambia ndotoni ulime, ukizingatia mimi ni fresh graduate sina mtaji wala shamba

    Kwema ndugu zangu. Kama mada inavojieleza, leo nikiwa nimelala kunasauti inanijia kwenye njozi ulime. Kusema kweli ni saut ambayo inaukweli ndani yake but kinacho niumiza kihisia ni kwamba sina mtaji wa kwenda nao farm kwa sasa, Nawasilishaa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…