WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wanaosimamia sekta ya elimu kuanzia sasa waanze kujenga shule zitakazokidhi mahitaji ya mtaala mpya wa elimu ifikapo mwaka 2028.
“Tulikuwa na vikao hivi karibuni, niliagiza ujenzi wa shule za sekondari nchini kuanzia sasa hivi uzingatie kuna...
Mtoto wangu anasoma shule ya sekondari MGULASI, iliyopo kata ya CHAMWINO, MANISPAA YA MOROGORO. (Anaingia kidato cha pili) Wakitumia mtaala mpya, ukianza rasmi mwaka 2025.
Mtoto wangu alichagua mkondo WA biashara, baada ya kupewa elimu ya kuchagua Masomo na wanataka nini wakiwa wakubwa.
Mwaka...
Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu inataka maadili gani ambayo hayatokani na dini?"
"Lakini kupitia uongozi wako (Rais Samia Suluhu) hapa...
Tutume nasi tunakuletea kwa haraka...
Kazi ya uhakika, weka order ufurahie huduma zetu...
Maisha yanakuwa rahisi unapokuwa na Trumark Stationery & Books
Just call us 0765 76 76 96
Changamoto za utekelezaji wa mtaala mpya wa elimu ni suala lenye uzito mkubwa, hasa linapogusa mustakabali wa wanafunzi wachanga walioko katika hatua za mwanzo za elimu ya sekondari. Ingawa mtaala huu una nia njema ya kuimarisha mfumo wa elimu na kutoa mwelekeo wa mapema kwa wanafunzi, bado kuna...
Kwa elimu yetu ya kibongo na shule zetu za st kayumba ambazo mara nyingi ukute shule Haina mabechi ya kutosha,mara madarasa hayatoshi,mara wazazi wachangie Hera za mitihani na kuanda report sijui km mtoto wa darasa la kwanza anaweza kujibu swali Hilo hapo.
Habari Wana JamiiForum, naomba msaada wa topics zinazopatukana kwenye mtaala mpya wa A level katika masomo ya Biology, Chemistry na Physics, watakao anza nao form five wa mwaka 2025.
Lakini pia kama Kuna mwenye pdf anisaidie kupata nitashukuru sana.
Naomba kuwasilisha wakuu
Habari wakubwa, natumai mko vizuri,
Niende Moja Kwa Moja kwenye maada, nilikuwa naomba Kwa wale wadau wa elimu wanisaidie nifahamu topics za Biology, Chemistry na Physics hasa Kwa Form five, lakini pia kama naweza kupata Pdf ya hivyo vitabu nitashukuru sana.
Naomba kuwasilisha
TAASISI ya Elimu Tanzania (TET)imetoa rai kwa wazazi na walezi wenye watoto wanaosoma madarasa ya awali, msingi, sekondari ,vyuo pamoja na watu wenye mahitaji maalum kununua vitabu vya mitaala mipya vinavyopatikana katika taasisi hiyo na kuuzwa maeneo mbalimbali nchini
Rai hiyo imetolewa Jijini...
Karibu taasisi zote za dini ya kikristo zilizojikita kwenye sekta ta elimu zimekuwa busy mnoo kuusoma, kuuelewa, kujiandaa na kuwaandaa watumishi wake namna ya kwenda sambamba na ujio wa mtaala (sera) mpya wa elimu. Jambo hilo limekuwa likifanyika vivyo hivyo kwa jamii za waumini wa kikristo. Ni...
kwa sisi wakatoliki tunaitaka serikali ya dr. Samia, aingize kilatini katika mitaala yetu.
Japo najua kiarabu kitafutwa siku raisi mwingine akiapishwa.
Nimefanikiwa kuupitia muongozo wa mtaala mpya wa elimu hapa Tanzania ambao umezinduliwa hivi karibuni, na hichi ndicho nilichoweza kukiona kwa jicho la upeo.
1. Kwa mfumo wa elimu yetu kwa shule za serikali hauwezi kutekelezeka.
2. Hauna kipimo chochote MADHUBUTI cha kumpima mwanafunzi kila...
Serikali imebadili mtaala na kuanzia mwaka huu, wanafunzi wa kidato cha kwanza wataanza kusoma mtaala mpya. Hivyo Serikali imeamua kuwapa semina walimu ili kuendana na kasi ya mtaala mpya.
Pia soma:
~ DOKEZO - Walimu Mkoani Mwanza wafanya Mafunzo ya Mtaala Mpya bila Posho
~ Taasisi ya Elimu...
Serikali ina haja ya kutazama mpya juu ya suala la mtaala ulioboreshwa wa kidato cha kwanza 2025, kwa hakika mtaala huo haukidhi vigezo kwa mtoto wa kidato husika kwa sababu baadhi ya mada mfano Baiolojia alikuwa anajifunza kidato cha pili hadi cha nne lakini zimerudishwa form one.
Masomo mengi...
Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs .
Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu.
Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya...
MABADILIKO MAPYA YA MITAALA YA ELIMU SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI NA VYUO 2025
MABORESHO YA MITAALA AMBAYO YANAENDA KUBADILISHA MFUMO WETU WA ELIMU:
1.Mtihani wa darasa la Saba utafutwa.
2.Mwanafunzi akianza darasa la kwanza lazima amalize Kidato cha nne.
3.Kutakuwa Mtihani wa Upimaji wa...
Zilipita wiki 2 Hadi 3 ndipo yakatangazwa mafunzo ya walimu kwa ajili ya kuuanza mtaala mpya!
Walimu wengi hawakuhudhuria sababu walikuwa likizo (waliyoipata kisheria kabisa kwenye ess). Waliohudhuria, walilazimika kugharamika kidogo kinauli pamoja na muda wao wa kupumzika.
Mafunzo yalikuwa...
Wajumbe nimepitia mtaala mpya nikakuta masomo 6 ya lazima moja wapo ni somo business studies ikielezwa kwamba ni mbadala wa commerce. Somo hili linaambatana na hesabu, historia ya Tanzania 🇹🇿 , Kiswahili, Kiingereza na Jiografia. Masomo 6 ya lazima, kama business studies(commerce) zamani ni...
Kuna msemo unasema "Umeruka Vumbi Ukakanyaga Matope". Hakuna ubishi elimu yetu inahitaji over-hall, ni kweli kabisa kama tunataka kusonga mbele kielimu kuendana na ulimwengu wa sasa wa sayansi na tekinologia lazima tufanye mabadiliko kwenye mfumo wetu wa elimu.
Tumeupitia mtaala mpya wa...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema Wizara wakati Mamlaka zikijiandaa kwa ajili ya utekelezaji wa Mtaala mpya ngazi ya Kidato cha Kwanza kuna tatizo la kiufundi limetokea na hivyo Mtaala huo unatarajiwa kuanza 2025.
Licha ya kutofafanua ttizo hilo, Waziri amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.