mtaa

MTAA Super (Motor Trades Association of Australia Superannuation Fund) is an industry superannuation fund established to serve the motor trades and allied industries.
Created in 1989, it has become one of Australia’s largest super funds. As at 2019, MTAA Super has more than $12 billion funds under management and represents more than 200,000 members and more than 50,000 active employers.MTAA Super is a public offer fund and allows membership to all Australians.
MTAA Super was named SuperRatings 7 year platinum performer for 2003-2010. In 2020, the fund was again awarded Platinum Rating by SuperRatings, who named MTAA Super a “best value for money” super fund.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) yaondoa changamoto ya maji Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) imefanikiwa kuondoa changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa huduma ya majisafi kwa wakazi wa Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki, Manispaa ya Singida, baada ya kukamilisha mradi wa usambazaji wa maji katika eneo hilo. Mradi huo...
  2. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) yaondoa changamoto ya maji Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) imefanikiwa kuondoa changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa huduma ya majisafi kwa wakazi wa Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki, Manispaa ya Singida, baada ya kukamilisha mradi wa usambazaji wa maji katika eneo hilo. Mradi huo...
  3. JamiiForums Tanzania Taratibu wanaume kapuku mtaa za kujitambua

    ,👇👇👇 kama tajiri tu anafanya hivi wewe kapuku maskini ni nani hapa duniani?!?
  4. JamiiForums Tanzania Barabara ya mtaa wa swahili karibia soko la Kariakoo inamwagwa lami kwa kasi sababu kuna msafara unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko

    Nimeshtushwa na huu utendaji wa haraka wa kuziba viraka kwenye ichi kipande cha barabara kinachoanzia kwenye mataa ya fire mpaka kwenye mataa ya msimbazi kupitia mtaa wa swahili. Nilichokuja kugundua kumbe kuna msafara wa rais unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko la Kariakoo
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Geita: Mkandarasi wa REA mtaa wa Nyantororo A juu (Msikitini) ameweka nguzo kwa watu waliotoa hongo na kuacha mamia

    Mkandarasi wa huduma ya umeme REA mtaa wa Nyantorotoro A Geita Msikitini kwa juu ametufanyia hujuma sana wananchi. Nguzo za mradi wa umeme zimewekwa kwa kujuana sana kinyume na ramani ya mradi ilivyokuwa kabla ya yeye hajaanza kazi Nguzo zilikuwa zinauzwa kwa watu bila kutoa hongo (rushwa)...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba msaada: Nahitaji frame Kariakoo, mtaa wa kuuza pochi za kike

    Wakuu, nawasalimu kwa jina la JMT. Nimeingia Dar, takribani miezi 3 iliopita nikitokea Mtwara baada ya kufunga biashara yangu Mtwara MC Uchumi umeshuka kwa kasi na ninaelekea kupoteza mtaji, hadi natamani kujinyonga. Nimejaribu biashara mtandaoni nimeishia kuchata na watu, eg mtu anauliza bei...
  7. JamiiForums Tanzania SUWASA: Yasogeza huduma ya maji kwa Wananchi wa Mtaa wa Mungu Maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) kupitia mradi wa Uboreshaji wa huduma imefanikiwa kuwasogezea maji safi na salama wananchi wa mtaa wa Mungu Maji uliopo Manispaa ya Singida, hatua inayolenga kumtua mama ndoo kichwani. Mradi huo uliofadhiliwa na SUWASA na kusimamiwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Usiingie kwenye mahusiano na mwanamke wa mtaa unaoishi

    Mwenye sikio na asikie 😁😁😁😁😁😁
  9. K

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza: Hali ya Barabara Mtaa wa Chenga ni mbaya, Wananchi wakitaka kuiboresha wanazuiwa

    Huku kwetu Mtaa wa Chenga pamoja na maeneo ya jirani ya Kata Nyegezi tumekuwa tukilalamikia changamoto ya barabara ambayo imekuwepo kwa muda mrefu ambayo inasababisha usumbufu mkubwa kwetu ambao tunaitumia. Barabara hiyo ni muhimu na inatumiwa na Wanafunzi kwa asilimia kubwa kwa kuwa ipo karibu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa Maji Baadhi ya Wananchi Mtaa wa Luguruni Wilaya ya Ubungo

    Ukosefu wa Maji Baadhi ya Wananchi Mtaa wa Luguruni Wilaya ya Ubungo Tangu Februari 2024, baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Luguruni tumekutana na tatizo la ukosefu wa huduma ya maji. Tumeshajaribu kuwasiliana na DAWASA ili kutafuta ufumbuzi, lakini hadi sasa hatujapata hatua za vitendo wala...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la Maji Machafu Dodoma - Area D, Mtaa wa Mganga/Mtawa

    Yahusu: Tatizo la Maji Machafu Dodoma - Area D, Mtaa wa Mganga/Mtawa Habari, Tunapenda kuwasilisha malalamiko kuhusu hali mbaya ya maji machafu yaliyotapakaa barabarani katika eneo la Dodoma - Area D, hasa mtaa wa Mganga/Mtawa karibu na zilipokuwa ofisi za Pembejeo. Kwa sasa, kinyesi kimeenea...
  12. JamiiForums Tanzania KERO Responded Tujengewe kivuko imara, hili daraja Mtaa wa Kanga, Kinyerezi Mwisho mvua ikinyesha inakuwa hatari kwa wavukaji

    Jamii Forums imekuwa nguzo muhimu katika jamii, hiyo ni kutokana na kuwezesha Serikali na mamlaka nyingine mbalimbali kutatua changamoto zinazowasilishwa na sisi Wananchi. Kuna daraja liko Kinyerezi Mwisho ukiwa unaelekea kwa Komba ambalo hasa linatumiwa na Watembea kwa miguu, tunapata shida...
  13. JamiiForums Tanzania Jamaa aliyeniibia kuku mwaka jana leo amefariki, mtaa unahisi nimemroga

    Wakuu habari zenu, Mwaka jana mwezi March kuna jamaa mtaani hapa aliniibia kuku mchana kweupe kabisa watu wanaona, nilipopata taarifa nikamtafuta mtaani nikamkosa, nikaamua kwenda nyumbani kwako nikamkuta dada zake nikawaeleza jamani fulani kaniibia kuku wangu naomba akija mwambieni arudishe...
  14. JamiiForums Tanzania MNAOGEUZA MABANGO YANAYOONESHA LOCATION ZA MTAA MNATUPOTEZA WAGENI

    Kuna baadhi ya watu wasiojielewa wamekuwa na desturi ya kuchezea vile vibango vinavyoonesha location za mitaa mwisho wa siku wanavigeuza Yaani kama mtaa upo mashariki basi kile kibango kinageuziwa magharibi. MNATUPOTEZA wageni
  15. JamiiForums Tanzania Ntobi: Heche hawezi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa

    Ntobi, mwenyekiti wa Chadema mkoa wa shinyanga na Kijana mtiifu wa Mbowe ameendelea kushambulia wasiomuunga mkono Mbowe. Safari hii anasema kuwa John Heche hawezi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa. Heche ambaye amewai kuwa mwenyekiti wa bavicha taifa, diwani na mbunge. Kwa sasa vijana wa Mbowe...
  16. JamiiForums Tanzania KERO Mtaa wa Kisonge na Mtaa wa Bin Abeid (Zanzibar) maji taka yanasambaa mitaani na barabara ni mbovu

    Sisi Wakazi wa Mtaa wa Kisonge na Mtaa wa Bin Abeid hapa Mkoa wa Mjini Magharibi tuna changamoto ya mifumo ya Maji taka kutowekwa katika mazingira mazuri na kwa ufupi ni kuwa Miundombinu imeharibika lakini Viongozi wetu hawachukui hatua. Kuna mabomba na chemba za majitaka zinavujisha maji...
  17. R

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ni furaha mtaa ninaoishi kuongozwa na chama Cha upinzani

    Hellow!! Leo mtaani kulikuwa na shamrashamra za kutosha wakati Mwenyekiti wa mtaa Mteule katika mtaa ninaoishi alipoitisha kikao kuwashukuru wananchi Kwa kumchagua. Sasa umati uliojitokeza ndio Hasa umenipa kufurahi maana wananchi wameitika Kweli Kweli Kwa kuacha KAZI zao kumpokea kiongozi...
  18. JamiiForums Tanzania Ndugu kwa hapa dar es salaam GOMS ndo wapi? Iko maeneo gan? Ni wilaya au mtaa au Kijiji? Au ni behewa la TREN ?

    Leo nikiwa zangu nimesimama sanamu ya askari pale posta mtaa wa samora Kuna kijana mmoja alikuja akaniuliuza jina ambalo mimi sijawahi kulisikia kabisa Niko zangu nimesimama sijui hili wala hili mara nikasikia bro Mambo vip nami nikasema fresh ndugu yangu Mshikaji akaniuliuza bro magari ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kurujuan ya mzee MAGOMA inaendelea kufanya kazi ndani ya mtaa wa Jangwani. Lini hii slow pacha itazibwa?

    Eng Hersi na boss wake GSM wakae chini wayamalize na mwanachama kindakindaki wa Yanga,maarufu kama mzee Magoma. Mzee huyu alisikika katika vyombo vya habari akitoa kauli ya kuwa yanga ina slow pacha na haya ni matokeo ya Kurujuan yake aliyoisoma kwa kila ambaye ana mpango wa kuidhulumu Yanga...
  20. JamiiForums Tanzania Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

    Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii. Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…