mtaa

MTAA Super (Motor Trades Association of Australia Superannuation Fund) is an industry superannuation fund established to serve the motor trades and allied industries.
Created in 1989, it has become one of Australia’s largest super funds. As at 2019, MTAA Super has more than $12 billion funds under management and represents more than 200,000 members and more than 50,000 active employers.MTAA Super is a public offer fund and allows membership to all Australians.
MTAA Super was named SuperRatings 7 year platinum performer for 2003-2010. In 2020, the fund was again awarded Platinum Rating by SuperRatings, who named MTAA Super a “best value for money” super fund.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Changamoto ya Maji - Mtaa wa Kanisa la Hija, Pugu

    Mamlaka husika ishughulikie maana bili ya maji inakuja tunalipa lakini huduma ya maji ni ya kuvizia. Maji yanatoka dakika kumi mpaka tano yanakata. Na mamlaka husika zinalijua hili, tunaomba DAWASA walifanyie kazi tumechoka.
  2. A

    KERO Tatizo la Ukosefu wa Maji Kibaha kwa Mfipa; Mtaa wa Simbani

    Tatizo la maji kwa sisi wakazi wa Kibaha – Mfipa, mtaa wa Simbani limekuwa kubwa sana. Maji yanatoka mara moja au mbili tu kwa wiki tena usiku wa manane wakati tumelala , na wakati mwingine hayatoki kabisa. Hii inaleta usumbufu mkubwa kwa wananchi. Maji ni hitaji la msingi kwa maisha ya kila...
  3. Kifurukutu

    KERO Maajabu! Goba Mageti hadi mtaa wa Muhimbili, Dar es Salaam eneo hili halina mtandao

    Igweeeeeee Hii nchi ukiifikiria kiundani utaishia kulaani wazazi wako kukuzaa bongo Nimepata kwenda kumtembelea rafiki yangu ana site yake huko goba, mji umepangika vizuri na watu wanaishi maisha standard ikiwa na ujenzi wa kisasa kabisa Ajabu ya eneo hili goba mageti hususani upande huu wa...
  4. A

    Responded Mrejesho: Barabara ya Mtaa wa Isevya – Muhimbili imerekebishwa, sasa hatulii na vumbi tena. Tunawashukuru JamiiForums

    Mwezi Januari niliandika kuhusu changamoto ya Barabara kwa sisi Wakazi wa Mtaa wa Isevya, Muhimbili – Ilala, Dar es Salaam, nilieleza kuwa kipande cha barabara kimefukuliwa kwa zaidi ya miezi miwili na kutelekezwa baada ya kumwaga kokoto mara moja tu, tangu hapo hakuna kilichofanyika. Tulikuwa...
  5. ELI COHEN

    Ni muda muafaka nguri hawa waenziwe, tusisubiri wakiwa wamekufa ndio tuchonge sana zao

    These mem shaped Tanzanian music at the highest level. Hawa ndio foundation na mashina
  6. A

    KERO Daraja la Kibaha Mji - Mtaa wa Lumumba litengenezwe tunapata shida wakazi wa huku

    Kuna daraja lipo Kibaha Mji, Kata ya Pangani, Mtaa wa Lumumba (liko karibu na Daraja la Jeshi) liliharibika wakati wa mvua ya Mwaka juzi (2024) ile kubwa lakini mpaka leo halijatengenezwa tunapata shida sana tunazunguka mbali tunaomba msaada mamlaka zinazohusika zifanya jambo.
  7. K

    Hii Script ya Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Yombo Dovya Kata ya Makangarawe Wilayani Temeke Ifike Mahali Ifike Mwisho

    Chondechonde hizi Scripts za Hawa Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Dovya, Kata ya Makangarawe ifike mahali hata Wakuu wa Nchi waon Aibu inabidi Wachutame kuweza Kufika hili Jambo. Sisi Wakatoliki wa CCM na ambao siyo wa CCM hatupendezwi na hizi Scripts Kila Uchwao zinakuja kwa namna tofauti tofauti...
  8. A

    KERO Makaburi ya Mtaa wa 'Msamaria' Mkoani Dodoma yamegeuzwa Dampo

    Video hii nimeirekodi Dodoma katika Makaburi ya Mtaa wa Msamalia, Kata ya Chang'ombe. Kumekuwa na hii kero ya muda mrefu sana katika maeneo ya Makaburi haya. Pamegeuzwa kuwa dampo. Makaburi yamekuwa sehemu ya kutupia taka tena zinajaa kiasi cha kufunika baadhi ya Makaburi. Tumejaribu kufikisha...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Wenyeji na viongozi wa Morogoro what goes on here Kila mtaa na uchochoro kuna frame za kutoa mikopo kidunchu?

    Hajambo wote! 1. Bado Niko Morogoro hapa kama nilivyowaambia. 2. Mwezi wa kumi na moja na kumi na mbili nilibahatika kutembelea Mkoa wa Arusha, Moshi Mjini, Babati mjini, Korogwe Mjini, Dodoma Mjini, Kahama Mjini, na Sasa nipo zangu hapa Morogoro. 3. Aiseeh! What goes on here? 4. Dec 31...
  10. Traxtion

    Mbeya: Mtaa wa Uzunguni ni mzuri sana

    Mbeya licha ya kuwa na mitaa mingi iliyojengwa hovyo bila mpangilio, lakini mtaa wa Uzunguni ni mzuri sana Uzunguni kumepangiliwa vizuri, kuna miti mingi, hata hali ya hewa ya utofauti, na majengo yameachiana space, kati ya jengo moja na lingine. Uzunguni ni mtaa ambao upo kimya sana, kiasi...
  11. Joh MANGI Kim

    House4Sale House for sale, Nyumba inauzwa 10m bagamoyo zinga mtaa wa masaki

    NYUMBA INAUZWA 10M – BAGAMOYO ZINGA, MTAA WA KISHUA BAGAMOYO ROAD UPANDE WA BAHARINI Nyumba 2 bedrooms, (no doors, windows, flooring), plot 21×19 (≈400 sqm) Bagamoyo – Zinga. Karibu na barabara umbali wa kutembea mtaa una MAJI, UMEME NA NEIGHBORHOOD NZURI, plot 21×19, hati tayari Bei: 10M cash...
  12. Masalu Jacob

    Kila Mtaa/ Kijiji kiwe na Database ya wananchi wake hasa Vijana na Mikopo itolewe kwa njia hizo

    Habari Tanzania ! Nawaomba wenye Mamlaka kwa kuwa mmewaza kuanzisha Wizara rasmi inayohusu Vijana. Napendekeza mfumo mzuri wa kusaidia vijana hasa kuanzia ngazi ya chini wanakoishi. 1. Kila Kijiji/ Mtaa pawepo na Ofisi ya Vijana (Vijana Village/ Street Department). (Kata = Vijana Ward...
  13. baz kaiza

    GE2025 Wenyeviti wa Mtaa wa CCM wanawasindikiza kakikundi kadogo kwenye Utajiri

    Ni kweli CCM ina wenyewe ila sio hao wenyeviti wa Mtaa ambao maisha yao nao ni duni na Balozi wa Mtaa.
  14. ELI COHEN

    Kosa uwe na kauwezo kidogo alafu umpite mbongo wa hali ya chini bila kumsalimia, aisee lazima utungiwe diss track na mtaa mzima watasikiliza

    🗣️"JAMAA ANAJIKUUUTA MWAMBA, WAKATI TUMEMUONA HAPA TANGU ANATAABIKA TUNASHINDIA NAE VISHETI KIJIWENI"
  15. KING MIDAS

    Mtaa unataka Nini?

    MTAA UNATAKA NINI.... Kila kijana ana ndoto za kupata pesa aijalishi atafanya kazi gani ila lengo ni pesa..watoto wameacha shule wakidai wanapoteza tu mda wao kusaka elimu ikiwa lengo la elimu ukimaliza ni kutafuta pesa.. Leo kila mtoto yupo mbio kukimbilia ndoto zake za kupata pesa ya...
  16. Pfizer

    NEMC yakomesha uendeshaji holela wa kiwanda mtaa wa regent estate

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limekichukulia hatua za kisheria kiwanda bubu cha SUMING kilichopo Mtaa wa Regent Estate katika Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni kinachofanya shughuli za urejelezaji wa taka hatarishi aina ya simu za kiganjani chakavu katika...
  17. J

    Kumbukumbu alizoacha hayati Ndugai ni lile Soko la Ndugai na Mtaa wa Salasala kwa Ndugai

    Kwa haraka hizi ndio alama za kumkumbuka hayati Job Ndugai Pale Salasala Ndugai na Mbowe mwanajeshi ndio walikuwa Watu maarufu zaidi Na Dodoma Jiji kuna Soko ambalo Shujaa Magufuli alilibatiza kuwa Solo la Ndugai Rip Job Ndugai
  18. Dalali_wa_kimataifa

    NYUMBA INAUZWA,IPO IYUMBU DOODOMA,BEI NI MILLION 350,NYUMBA NI NZURI SANA NA IPO MTAA MZURI KABISA, 0758844717

    A House to Call Home – For Sale! 📍 Location: Iyumbu , Dodoma 📐 Plot Size: 1,500 SQM 🏠 Structure: 5 Spacious Bedrooms Servant Quarters (Self-contained) Large Living Room Dining Area Kitchen + Store Study Room Garden & Ample Parking 💰 Goes Cheap! A rare opportunity for a serene home or...
  19. Dkt. Gwajima D

    Tamba na Jicho 👁 la Ustawi wa Jamii Mtaa kwa Mtaa 🇹🇿

    Wasalaam Leo 24 Julai, 2025 asubuhi, nakiri kupokea taarifa kadhaa kutoka kwa Wananchi wa Kata ya Baraa, Mtaa wa Kibao cha Njano kwa Mrefu, Arusha. Kwamba, mtu mmoja mzima analea binti wa umri kati ya miaka 8 hadi 10 hivi ambapo yaani ni anampa vipigo tu apendavyo yeye hivyo, mtoto amejaa...
  20. The redemeer

    🔥 FAIDA ZA KUHAMA MTAA BAADA YA KUANZA KUPATA MAFANIKIO 🔥

    🩸 "Sio dharau, ni self-protection!" 1. 👉 Unajiokoa na wivu wa mtaa Mtaa una macho lakini hauna moyo. Watu waliocheka na wewe jana, wakiona unainuka, ghafla wanakuona kama adui. Kuhama ni kukwepa sumu ya midomo, wivu, na roho za kwanini. 2. 👉 Unajilinda na marafiki wanaotaka kula mafanikio yako...
Back
Top Bottom