msongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wauguzi MOI wapatiwa mafunzo ya kudhibiti msongo wa mawazo

    Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wamepatiwa mafunzo maalum yanayolenga kuwajengea uwezo wa kutambua, kuepukana na kudhibiti msongo wa mawazo unaotokana na mazingira yao ya kazi pamoja na changamoto za kijamii wanazokutana nazo majumbani. Mafunzo hayo yamenyika leo...
  2. Je kuna tukio lilishawahi kukupa depression

    Habar wana JF natumaini wote wazima poleni pia na majukumu yanayo wakeep busy . Nilisha wahi kupewa nisimamie mradi wa misitu ya serikali mwaka fulani, lakin kwa bahati mbaya zilidaka moto kwenye heka 150, zilipona heka 40 ambazo ndo zilikua kwenye matazamio ya uzalishaji , na ndo ilikua kama...
  3. Kiufupi ni kuwa watu kama IPM na kapola wame master sanaa ya kufanya zogo na watu wanaopitia msongo kutokana msoto wa maisha na inawalipa sana aisee.

    Waliona namna watu walivyokuwa confused toka utotoni na mambo ya kufikirika na pia wakaangalia ni namna gani mtu mwenye msongo na confusion anapenda maneno ya faraja Waka combine hivo vyote lakini ili kuongeza kuaminiwa zaidi inabidi wajipatie title, sasa ndo maana kila mmoja wao either ajiite...
  4. Gen Z amkeni mkafanye kazi. Serikali ya Samia hamtaweza kuipindua, mtachanganyikiwa kwa msongo uzeeni

    Duniani kila miaka inavyokwenda fursa zinapotea zaidi kwasababu ya kukua kwa teknolojia na ongezeko la watu. miaka ya 70-80 fresh form 4 leaver alikuwa anaajiriwa kama muhasibu. Vipi sasa hivi? Miaka ya 2000 Niliona Darasa la saba wenye angalau leseni ya udereva hata bila cheti au wenye cheti...
  5. Msiompenda Samia aidha muamue kumpenda au msongo wa mawazo uwashughulikie

    Walianza oohh katiba ya chama na nchi vimepuuzwa. Ukiwaambia tuwekee hapa vipengele vya katiba ya chama na nchi vilivyopuuzwa hawana jibu. Waliposhindwa kushinikiza wajumbe wa CCM wafanye matakwa yao wakaamua kuungana na wapinzani kutaka kumpindua wakiwahamasisha wananchi kuwa polisi wako...
  6. M

    Kujilinganisha kunamaliza sana ndoto za watu,chanzo kingine cha msongo mpaka kujiua na magonjwa ya moyo

    Wimbi la kujiua likiwa limepamba kasi na sababu nyingi zikiwa mahusiano ila kuna hii pia ya kujilinganisha nayo ni sababu kubwa katika kumaliza ndoto za vijana mpaka kupatwa na magonjwa ya moyo ingali ni wadogo tu Unaingia mtandaoni unaona rafiki yako mliyeachana miaka kadhaa nyuma kaweka...
  7. Nilianza kujitambua kuwa ni mgonjwa wa akili tangu mwaka 2021(msongo)

    Habari wanajamiiforum. Muda huu ninaona ni vyema nitoe dukuduku langu ili nipate msaada na ushauri nasaha Nilianza kujitambua kuwa ni mgonjwa wa akili tangu mwaka 2021(msongo).kipindi hicho nilikuwa mdogo kiasi lakini nilikuwa naona vitendo vya hali ya kunyenyekewa sana Pale...
  8. Msongo wa Mawazo: Janga Lisilopewa Kipaumbele

    Msongo Wa Mawazo ni tatizo kubwa barani Afrika, lakini bado haupewi uzito unaostahili. Watu wengi wanateseka kimya kimya kwa hofu ya kuhukumiwa, wakibeba maumivu ya kiakili yanayoharibu afya zao, familia zao, na maisha yao kwa ujumla. Jamii zetu zimezoea kuficha mateso ya ndani kwa maneno kama...
  9. Nimetoswa hadi na Marry! Nina msongo wa mawazo jamani mkiona nacomment ujinga kwenye nyuzi zenu nisameheni tu ni POMBE.

    Ninamzigo wa mawazo ambao haupimiki kama mnavoniona. Mimi na pombe pombe na mimi. Nimekuwa mtu wa kudance popote ninapokuta sebene. Suti zangu hazinipendezi tena kama zamani Nikiona watu na wapenzi wao roho inaniuma hata kama hayanihusu. Hali yangu imefikia huku sasa. Nisiwasumbue...
  10. Vijana Tuzitunze Afya Zetu Maana Ndiyo Mtaji Wetu , Nimejawa Na Msongo Wa Mawazo Mwenzenu

    Poleni na majukumu ndugu zanguni . Ni siku nyingine tena tunakaribia kuifunga Mwenyezi Mungu ametujalia kwa tuliobahatika kuiona na tunapoelekea kuifunga . Mimi ni kijana umri wangu miaka 30 , mpaka sasa nina watoto 02 kila mtoto na mama yake , mtoto kwanza ilikuwa enzi za ujana wangu...
  11. Usisome Master's kabla ya kupata experience ya kazi . Utakufa na msongo wa mawazo

    .
  12. Jinsi ya kuishinda hali ya msongo wa mawazo

    Msongo wa mawazo ni nini? Ni shinikizo au mfadhaiko wa kiakili, unaomkumba mwanadamu, pale anapokutana na matatizo, au taabu, au dhiki au shida Fulani. Hivyo inapotokea mtu huyu anashindwa kuzitatua changamoto hizo, ndipo msongo huo huja. Kwamfano labda mtu amegundulika, ana ugonjwa...
  13. M

    Kutaka kila mtu akuongelee vizuri ni kutafuta msongo wa mawazo kuwa mwema ila usijali watakavyokuongelea

    KUTAKA KILA MTU AKUONGELEE VIZURI NI KUTAFUTA MSONGO WA MAWAZO KUWA MWEMA ILA USIJALI WATAVYOKUONGELEA Zama zinaenda kasi na vifo vitokanavyo na matokeo ya msongo wa mawazo vikiongezeka ikiwemo kujiua au shinikizo la juu la damu hata magonjwa ya moyo. Msongo wa mawazo hautoki mbinguni bali ni...
  14. Nahitaji msaada please kama kuna Dawa nisaidieni napata Msongo

    Mimi tatizo langu kubwa ambalo linaloninyima raha ni kuwa korodani zangu naona si kubwa kiasi kile ambacho ngependa ziwe. Napenda kawe kafurushi flani hivi hata nikiwa sina nguo zinaning'inia (pumbuh mzigo) napenda sana. Hizi nlizo nazo of course demu wengine husema wanazipenda nikiwa nyuma yao...
  15. Viboko ni ishara ya Umasikini na Msongo wa mawazo.

    Nionyeshe wapi mtoto wa tajiri akipigwa viboko kufeli kwa wazazi hasira zao na umasikini wao unapelekea kumaliza au kupunguza stress kwa watoto akikosea kidogo kupiga atakacho pata cha kuacha maumivu au ukilema kwa watoto. Wazazi jitaidi kuandaa kesho bora ya mwanao kuepuka kumfanya punda ...
  16. Ajiua kusa mume, madeni na msongo wa mawazo

    Nchini Kenya, Mwanamke aliyetambulika kama Mercy Nyasaka amejiua baada ya kuacha ujumbe mzito kwa ndugu wa karibu kupitia Whatsapp akimuaga na kueleza anayoyapitia, Mercy alifiwa na bintiye miaka miwili iliyopita mnamo Machi 1, 2023, kifo ambacho kilimsababishia huzuni kwa kiasi kikubwa...
  17. Hata kama una gheto kama hili! Lakini msongo wa mawazo lazima ukuue!

    Mfumo wa maisha ulitengenezwa husiishi peke yako! Ukiona unaishi peke yako ama umelaaniwa, mchawi, au kichaa/chizi. Kama una akili timamu basi jua fika unapigwa matukio na upweke na msongo wa mawazo! Haijalishi utajitahidi kivipi kuwa na gadgets za electronics kukuliwaza! Ebu angalia huyu mdada...
  18. Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

    Mimi nafanya hivi 1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda 2. Natoka kwenda kutembea 3. Nalala 4. Nalia sanaaaaaaa 5. Naenda kununua nguo mpya 6. Nafanya usafi Na mengine mengi Wewe je? Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu Uzi tayari Pia soma...
  19. Naombeni msaada niko kwenye msongo wa mawazo

    Salaaam ndugu zangu wa JF. Nitaelezea kwa ufupi sababu ambayo, inanifanya hadi sasa niwe kwenye msongo wa mawazo. Ilikua mwisho wa mwaka 2024 tarehe, 31..baada ya mishe mishe za kila siku ndipo nilipopata natasi ya kukutana na binti mmoja ambaye sio muda nimeanza kuwa nae kwenye mahusiano...
  20. Watoto wa 90 na Watoto wa 2000 naomba mpite hapa kuna kitu cha kujifunza

    Wakuu! Leo tena nimeona isipite hivi hivi bila kutia neno lolote la maana na mimi kwenye tafakuri zangu. Hili nitakalolieleza ni moja kati ya yale mengi ambayo nimekaa nikayawaza sana kuhusu watoto waliozaliwa 90 na watoto waliozaliwa 2000. Kwanza kabisa inabidi uelewe watoto wa 90 ni wale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…