msingi

Msingi is an administrative ward in the Mkalama District of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 6,439. According to the 2012 census, the population had increased to 7,289.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nini msingi wa sisi kupigania uhuru?

    Nini msingi wa sisi kupigania uhuru ? Kama uhuru wenyewe haupo ? Bora wale wazee wa kiislam wangeendelea kunywa tu kahawa na kuachana na yule kijana wa Butiama. Ingeelewaka moja kuwa tupo kwenye ukoloni wa mzungu mpaka leo. Ilikuwa haina haja yule kijana wa Butiama kupokelewa kwa mikono...
  2. JamiiForums Tanzania Dudu baya kauliza maswali ya msingi kuhusu Airport ya Dar es Salaam(JKNIA)

    Kwa nini Airport ya Dar es Salaam huwa hawauzi Ugali, ubwabwa kama wa mtaani, pilau, ndizi, mchicha, metembele, magimbi, mihogo, viazi vitamu, dagaa, chips mayai(zege) na vyakula vingine vya aina hiyo vya Kiswahili, Kitanzania au kiAfrika zaidi? Soma Pia: Unauonaje ushauri wa "Dudubaya" kuhusu...
  3. JamiiForums Tanzania HAKUNA SABABU ZA MSINGI ZA WATOTO KUSOMA ENGLISH MEDIUM

    Samahani kwa kusema hili, ukweli uliowazi ni hakuna sababu za msingi za watoto kusoma hizi shule za English medium. Naongea kwa sababu hili suala nalifahamu kwa asilimia kubwa. Tena kwa wazazi wanao dunduliza na kujibana samahani kwa kuwaita wapumbavu ambao ujinga, mihemko na maisha ya kuigana...
  4. JamiiForums Tanzania INAUZWA Kibamba: Shule ya Msingi Inauzwa - Dar

    • Ipo Kibamba Mwisho • Ukubwa wa eneo ni ekari 4 • Ina hati miliki • Imesajiliwa • Inauzwa TZS bilioni 1.2 . ✓ darasa 1-7 ✓ inatoa huduma ✓ ni ya kutwa ✓ ina maabara na jengo la ofisi ✓ ina kiwanja cha michezo ✓ eneo kubwa limebaki linaweza kutumika kwa maendeleo mengine . • In Real...
  5. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Mpiji karibu na shule ya msingi Muheza

    Miguu 20*20 bei million tano Vipo eneo zuri barabara kubwa ya mtaa Piga: 0789 149 581
  6. JamiiForums Tanzania Lazima una mtu fulani ambaye huwa unampigia simu bila sababu ya msingi

    Kama sasa hivi ngoma livyo ngumu mifumo ya kihasibuhuko hazina imefungwa unajikuta hata buku ya boda huna au hela ya bundle. Sasa kama ya boda huna si inabidi uprint na miguu safari yako. Sasa katika kutembea huwa hakosekani best yako au mpenzi mmoja ambaye kama una madakika ya kumwaga lazima...
  7. JamiiForums Tanzania Dini ndio zitakazo tupeleka motoni. Msingi wa Mungu ulikuwa fresh tu hadi hapo Siasa za dini zilipoingilia kati

    Nimekuja kuelewa kuwa tunamuabudu Mungu kwa misingi ilioandaliwa na wanadamu wenzetu. Tunamuenzi Mungu kwa nguzo zilizotengenezwa na wadamu wenzetu. Tunamtukuza Mungu kwa masharti ya wanadamu wenzetu. Yaani ni kama kabla ya kumfikia Mungu inabidi kwanza tutukuze misingi na nguzo za hawa...
  8. JamiiForums Tanzania Kulikuwa na sababu ya msingi kumtimua Nape?

    Kama hali ya kuzuia shughuli za kisiasa ndiyo hii na kukamata viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani ndiyo huu, kosa la Nape ni nini? Nape alitamka kuwa mshindi katika uchaguzi hatokani na sanduku la kura, na huo ndio ukweli kwa nini Samia akamtimua kwa kusema ukweli?
  9. JamiiForums Tanzania Biashara ya Makeup inahitaji vitu gani vya Msingi?

    Wakuu naombeni ushauri mzuri wa kufanya hii Biashara nataka kufungua sasa. 1. Wapi ntapata makeup set nzuri kwa gharama nafuu. 2. Vitu gani niweke ili kunogesha Biashara yangu? Mimi ndo kwanza naingia sokoni kuanza hiyo Biashara.
  10. JamiiForums Tanzania Darasa kwenye Shule ya Msingi Tella limeporomoka kutokana na uchakavu, masomo yanaende, viongozi wameitelekeza

    Moja ya darasa la Shule ya Msingi Tella iliyopo katika Wilaya ya Hai hapa Mkoani kwetu Kilimanjaro limeporomoka kutokana na uchakavu wa majengo hayo ya shule lakini hakuna msaada tunaoupata kutoka kwa Viongozi wetu. Wanafunzi wapo Shuleni wanaendelea na masomo kama kawaida huku tukiwa hatuna...
  11. JamiiForums Tanzania Safisha ubongo, ingiza jambo hili la msingi

    ...
  12. JamiiForums Tanzania Njia za Kuimarisha Ujuzi wa Programming kwa Watoto wa Kitanzania: Kuanzia Shule za Msingi Hadi Vyuo Vikuu (Tupate Fluent Programmers)

    Utangulizi: Habari wana JF! Leo ningependa kushiriki nanyi mawazo juu ya jinsi Tanzania inaweza kuzalisha programmers wenye ujuzi wa hali ya juu kwa kuanzisha elimu ya programming kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu. Kwa sasa, wanafunzi wengi wanakutana na programming mara ya kwanza wakiwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania CPC na CCM vyaboresha uhusiano wao kutoka wa kirafiki na kindugu hadi kuwa msingi imara wa kukuza fursa za kiuchumi na uwekezaji

    Tangu ufanyike mkutano wa 18 wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti ikiongozwa na Xi Jinping, imekuwa ikitoa mawazo mapya, mitazamo mipya na hatua mpya za kuongoza kazi ya kimataifa ya Chama. Chama cha CPC pia kimefanya ujenzi wa Pendekezo la ‘Ukanda Mmoja...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzie hapa, kupunguza matumizi yasiyo ya msingi ili kubana matumizi. Ili kutompa mtanzania mzigo mkubwa

    Serikali tunawashauri mapema. Msije kusema hamkushauriwa kwenye upande wa matumizi ya fedha za wananchi bila mpango mzuri. Kwanza futa post za wakuu wa wilaya na majukumu ya uenyekiti wa ulinzi na usalama atachukua DSO, Futa post za wakuu wa mikoa na majukumu ya uenyekiti wa ulinzi na usalama...
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko yenye tija katika shule za msingi na sekondari

    Tanzania ni moja kati ya nchi zinazopiga hatua katika maendeleo kwenye nyanja mbalimbali barani Afrika. Ni nchi iliyojaliwa raslimali nyingi kama madini, maji, misitu, mbuga za Wanyama na watu kama kiungo katika kuleta maendeleo. Licha ya hayo, bado kasi yake hairidhishi ikilinganishwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Waandaaji wa mitaala shule za msingi na sekondari mlikosea

    Shule za msingi enzi zetu kuna topic moja kwenye hesabu ilikuwa inaitwa hesabu za vizio au binary notation kwa kizungu. Kuna kizio cha pili na hata cha tano lakini nataka leo niongelee kizito cha pili Kizio cha pili ni mfumo wa namba ambao ni namba zinazo anzia sifuri (0) hadi moja (1) Topic...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Wenye elimu ya msingi wasigombee nafasi za Ubunge

    Dibaji. Maisha ya Tanzania kwa miaka 30 nyuma hayalingani hata kidogo na maisha ya sasa katika kila eneo, iwe kimazingira, kiuchumi, kielimu, kiteknolojia, mitindo ya maisha na kilakitu.Na hii ni kwa dunia nzima, ndio maana kuna kitu kinaitwa historia, tafsiri yake ni kwamba maisha hubadilika...
  18. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya elimu fuatilieni shule binafsi za msingi zinazokiuka maagizo ya Serikali

    Tunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na darasa la 7 kusoma na kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Lakini imekuwa ni kawaida kwa shule za binafsi kukiuka utaratibu wa mapumziko(likizo)pindi shule zinapofungwa kwa kulazimisha wanafunzi kupumzika Kwa wiki moja...
  19. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ya JMT inatakiwa kuchukuwa hatua madhubuti katka kusimamia rasilimali za taifa hasa kwa kuwekeza kwenye rasilimali watu ambao ndio msingi

    Serikali ya JMT ili kufikia mabadiliko yatakayoleta maendeleo wananchi waliyo na kiu nayo serikali inatakiwa kuwekeza sana kwenye rasilimali watu kuendana na mabadiliko yenye mapinduzi ya tekinolojia katika kutelekeza miradi mbalimbali na kuchagiza ubunifu wa ndani uliosambamba na matakwa ya...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania mbona hamtaki Kujibu Swali la Msingi lililopo katika Ukurasa wa Mbele kabisa wa Gazeti pendwa la Werevu Tanzania la MWANANCHI?

    Tafadhalini hebu lijibuni bhana kwani Watanzania wengi tusiosoma ( kama GENTAMYCINE ) tunahitaji Majibu yenu Ok?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…