msimamo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania John Heche amesema atatoa msimamo wake juu ya uchaguzi ndani ya chadema.

    Watu wa mara ni watu strong sana sina wasiwasi nao, heche amesema watanzania wanatakiwa kupata CHAMA mbadala kitakacho pinga Rushwa kwa vitendo. Na amesema ataoa msimamo wake hivi punde. Mungu ibariki chadema chini ya mpigania haki ya kweli ambae ni Lisu. by mwinjilist wenu Gabeji.
  2. JamiiForums Tanzania Hongera sana Mbowe kwa msimamo wa kubaki CHADEMA. Tambua kuwa mpango wa kukuondoa ulikuwa kuua Chama. Nashkuru umegundua hilo

    Hongera sana Mh Mbowe kwa msimamo wa kiume wa kubaki CHADEMA, tambua kua mpango wa kukuondoa wewe ilikuwa kuua chama nashkuru umegundua hilo. Mh Mbowe hongera sana ufahamu wako umefunguka kama nilivyokuombea. Mh Mbowe mpango wa kukuondoa CHADEMA ilikua kuua chama kwasababu Lissu ni mharibifu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Chadema itakuwa na msimamo mkali zaidi bila kujali nani atashinda

    Chadema itakuwa na msimamo mkali zaidi bila kujali nani atashinda. Hii ni kwasababu ya chaguzi na mwenendo wa nchi kwa sasa. Kama akishinda Mbowe bado itamlazimu abadilishe mbinu. Hivyo Kama Lissu akishindwa bado sera za Chama zitakuwa za misimamo mikali. Lissu akishida ndiyo kabisa. Mbowe ni...
  4. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Kundi A: Mstari gani kwenye biblia unaweza kuipeleka Yanga robo fainali?

    Msimamo upo taiti sana kwa Yanga, msimamo unamaanisha kwamba kuna timu ina point moja tu ikishika mkia. Nayo inataka kuingia robo fainali. Yaani timu zingine pale juu ziwe zinaitazama tu ikiingia robo, just imagine Sio kwamba haiwezekani. Mungu ana miujiza yake Kwa hiyo ina hitaji maombi mazito...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasiasa wenye msimamo mkali wanakaribia Kushinda, Kuongoza CHADEMA kuelekea 2025?

    Harakati ndani ya Chadema zinachangamka siku hadi siku.. CCM wamepuuza siasa za majadiliano na maridhiano ndani ya CDM na nje ya CDM.. Sio ACT wala vyama vidogo kwamba vinapatiwa ahueni... Upande wa Chadema shida inaonekana Freeman Mbowe amekuwa mpole sana kwa dola hadi kufika kipindi...
  6. JamiiForums Tanzania Je, msimamo wa Marekani utaendelea kuwa ule ule au utabadilika dhidi ya magaidi hawa?

    HTS wametwaa madaraka kwa mtutu wa bunduki. Huu ndio uliokuwa msimamo wa marekani. Je, utaendelea kuwa ule ule au utabadilika ?
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Kati ya mkutano wa Lissu, Lema na Kigaila upi ndiyo msimamo wa CHADEMA?

    Au tusubiri na press conference ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ili kuthibitisha kwamba CHADEMA imegawanyika vipande au makundi matatu yanayojitegemea? Nakumbuka niliwahi kukomenti mahali kwenye platform hii kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA taifa akifanya press conference mathalani leo, haziwezi...
  8. JamiiForums Tanzania Qatar yakanusha uvumi kuhusu kuwafukuza Hamas, yafafanua msimamo wao kuhusu usuluhishi huo

    Wanaukumbi. Qatar inakanusha rasmi ripoti zinazosambaa kuhusu kuwatimua Hamas na kufafanua msimamo wao kuhusu upatanishi huo. Msemaji Rasmi wa Wizara ya Mambo ya Nje: Juhudi za Qatar kupatanisha Hamas na Israel zimesitishwa kwa sasa. Dk. Majed bin Mohammed Al-Ansari, msemaji rasmi wa Wizara...
  9. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Upinzani tumechanganya sana Watu, tunahitaji kiongozi ambaye akisema neno anaaminika

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akihojiwa na Kituo cha NTV cha Kenya amesema “Upinzani unahitaji kuwa na Uongozi wenye maono makubwa na yasiyokuwa na mawenge tofauti na ilivyokuwa hapo Katikati.” Aidha, Lissu amezungumza kuhusu nafasi ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA baada...
  10. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Ligi Kuu baada ya mchezo wa leo

    Msimamo Wa Ligi Kuu Baada Ya Mchezo Wa Leo Jitambulishe Kwa Emoji Moja Hapa Ya Nafasi Ya Timu Unayoishabikia ⤵️
  11. U

    JamiiForums Tanzania Trend Analysis: Utabiri msimamo mechi ya 30 Ligi Kuu

    Kwanza msiogope washabiki wa Mpira, Kuna mahesabu ya Utabiri wa Bingwa wa ligi pamoja na msimamo wa ligi kuu pale itakapofikisha mechi ya 30, mahesabu haya yanafanyika Kwa ligi mbalimbali ikiwemo premier league ya UK. Kulingana na teknolojia ya Artificial intelligence Kwa kutumia trend...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka Sharia katika nchi za Uingereza na Ujerumani ni wakati sasa kutilia maanani onyo analotoa Mosab Youssef?

    Nawakaribsha wana JF msikilize wenyewe hotuba aliyotoa mtoto wa mmoja wa founders of Hamas, aliyoitoa kwenye Bunge la Ulaya. Kwa kifupi jamaa huyu anauonya umoja wa ulaya kuwa dhana nzima ya utaifa wa Palestine ni njama ambazo Yasser Arafat akisaidiwa na KGB ya Soviet Union walibuni kwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wazikana Kauli za Baraza la Wazee kwa kusema siyo Msimamo wa chama

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA kwa sasa ni kama wanajenga mnara wa Babeli.chama ni kama hakina uongozi wala hakifanyi vikao wala kuwa na mipango na mikakati ya pamoja . Ndio maana kila mtu hujitokeza hadharani kwa kukurupuka na mihemuko na kujiropokea chochote kile kinachomjia Mdomoni mwake...
  14. JamiiForums Tanzania Msimamo wangu kwa wasaliti wa nchi na mafisadi, dawa ni lisasi tu, hakuna cha Bwana Yesu asifiwe au mswalie mtume, hii iwe kikatiba

    Unaposaliti nchi yako, madhumuni yako ni mabaya sana moyoni mwako Maana yake upo tayari hata Rais wa nchi atekwe kwa sababu ya tamaa yako? Mtu wa namna hii, ni kivipi aiishi? 2025, kataa ccm, okoa uhai wa rasilimali za nchi na watu wake.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Breaking News: Maelfu ya Vijana Wakutana Kuunga Mkono Rais Samia na Kuonya Dhidi ya Vurugu Nchini

    Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa! Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha. Pia...
  16. JamiiForums Tanzania Huu ndiyo msimamo wa CAF 5 Year ranking mpaka sasa

    Endapo Simba itashinda usiku wa leo, itajihakikishia alama 2.5, hivyo ukijumlisha na alama ilizo nazo kwa sasa, 28 + 2.5 = 30.5 hivyo itamrudisha juu ya Yanga kwa alama 1.5
  17. JamiiForums Tanzania Msimamo wa goli la Mama, 2024-2025

    Young Africans- goals 17- million 85Tsh Azam fc- goals 1- million 5Tsh Coastal Union- goals 0- 0Tsh Simba -goals 0 - 0Tsh Pesa ya mama haijaenda kwenye kombe la akina mama Simba atatolewa Leo kwenye kombe la akina mama bila kupata pesa ya mh Rais Yanga team kubwa sana
  18. JamiiForums Tanzania Kukosoa Taarifa za Mange Kimambi na Msimamo wa Serikali ya Tanzania

    Kukosoa Taarifa za Mange Kimambi na Msimamo wa Serikali ya Tanzania Katika miaka ya karibuni, Mange Kimambi ameibuka kuwa mmoja wa watu maarufu kwenye mitandao ya kijamii akijipambanua kama mwanaharakati wa kisiasa na kijamii, hasa akilenga kupinga sera na uongozi wa Serikali ya Tanzania. Hata...
  19. JamiiForums Tanzania Kuweka Msimamo Dhidi ya Utekaji Ndani ya Vyama vya Siasa

    Kuweka Msimamo Dhidi ya Utekaji Ndani ya Vyama vya Siasa Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko mazito kuhusu vitendo vya utekaji vinavyohusishwa na baadhi ya viongozi ndani ya chama cha CHADEMA. Matukio haya yanapokuwa ni sehemu ya majadiliano ya kisiasa na kijamii, tunapaswa...
  20. JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vinapaswa kuwa na msimamo kwa kurudi kuhamasisha tume huru kwani raisi hajatoa tume huru bali jina

    ."
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…