msimamo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa CHADEMA kuhusu maridhiano

    Mtangazaji:"Kuhusu maridhiano, hapa nimesikia mwanzoni umezungumza unasema kwamba hakuna maridhiano mpaka wapatikane watu kutoka nje. Unaamini kwamba Tanzania haiwezi kufanya mambo yake bila kushirikisha watu wengine?" John Heche: "Hivi vitu Farhia si vitu vinavyotokea kwa mara ya kwanza...
  2. JamiiForums Tanzania Heche akemea wimbi la utekaji nchini, atoa msimamo wa CHADEMA kwa maridhiano

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amekemea vikali wimbi la utekaji na kupotea kwa watu nchini wakati akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa mpakani wa Sirari, wilayani Tarime mkoani Mara. Akihutubia mamia ya wananchi waliofika...
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania haawana msimamo mmoja, ila CCM ina msimamo mmoja,kwanini CCM wote wana mtizamo mmoja? na kwa nini Watanzania hawana msimamo mmoja?

    Watanzania wote hawana msimamo mmoja, ila CCM ina msimamo mmoja. Lazima tujitizame, kwanini CCM wote wana mtizamo mmoja? na kwa nini Watanzania wote hawana mtizamo mmoja?.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukikosa msimamo utaona kama watu wanakupenda kumbe wanakutumikisha kwa sababu hujui kusema ' hapana "😔

    Tukome kupima upendo kwa idadi ya mambo tunayofanya kwa watu na tupime upendo kwa idadi ya watu wanaotuheshimu tunaposema "hapana". Ukikosa msimamo, utatumika mpaka uchoke ila ukiujenga msimamo utaheshimiwa hata na wale waliokuwa wanakutumia jana Kumbuka: Mlango usioweza kufungwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nimeonesha msimamo wa ajabu wa kutisha. Hajaamini kabisa mpaka sasa

    Yeye akiwa na shida anaomba nimsaidie pesa. Namsaidia. Mimi nikiwa na shida. Anataka anipe kipapiro/papuchi. Ambacho hicho anacho yeye all the time so haingii gharama. Eti ndo mapenzi ndo sadaka. Sadaka ni kutoa kitu kinachokuuma ambacho unapoteza. Siyo kuoffer kitu ambacho unacho tu kinabaki...
  6. JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Kutoka Symbion hadi Sheria ya Fedha 2026 na Ufisadi katika Uagizaji Mafuta. je, Luhaga Mpina amebadili msimamo?

    Dar es Salaam. Taarifa waqliyoitoa Chama cha ACT-Wazalendo walipokuwa wanaongea na Waandishi wa habari. kuwa litafungua mashauri mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vya Sheria ya Fedha ya Mwaka 2026 limefungua mjadala mpya kuhusu nafasi ya siasa za upinzani katika usimamizi wa fedha za Umma...
  7. JamiiForums Tanzania Vatican yawatenga na kuwaondoa kundini Wakatoliki wa SSPX wenye msimamo mkali.

    Papa Leo XIV amewandoa kundini na kuwanyang'anya Sacramenti zote Wakatoliki wa SSPX wenye makao makuu Switzerland baada ya kuwasimika Maaskofu wanne wapya wa order yao kinyume na katazo la papa Leo. SSPX ni Wakatoliki wanaoshikilia msimamo mkali na WA kale zaidi wa dini wakiendesha misa zao...
  8. JamiiForums Tanzania Mahita: Jeshi la Polisi halihitaji Waziri, linajiendesha lenyewe

    Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP Mstaafu), Omar Mahita, ameshikilia msimamo wake wa kimfumo akisisitiza kuwa chombo hicho kina uwezo kamili wa kujiendesha chenyewe kiutendaji bila kuhitaji uwepo wa msimamizi wa kisiasa (Waziri). Msimamo huo mzito wa Mahita umeibuka tena hivi...
  9. JamiiForums Tanzania Kurejea kwa Msigwa CHADEMA: Mchezo Mpya?

    👉Ndani ya siasa za kimkakati, kuna wachezaji ambao huonekana kupambana hadharani lakini nyuma ya pazia wakawa sehemu ya operesheni kubwa zaidi isiyoonekana kwa macho ya kawaida. 👉Safari ya Peter Msigwa ndani ya CHADEMA haikuwa ya kawaida, bali ilikuwa operesheni ya muda mrefu iliyojengwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kama Tundu Lisu atakufa na Msimamo wake. Atakuwa ndiye mtanzania shujaa wa muda wote Akifuatiwa na Magufuli. Hao watu hakuna anayesogea Kwa ukaribu

    Habari za Sabato! 1. Bado tunafuatilia mambo yanavyoendelea. 2. Shujaa na Legendary ni Yule mwenye msimamo wa Haki, mwenye uwezo wa kujitoa maisha yake kwaajili ya msimamo wake na kupigania Haki na Ukweli. 3. Si hivyo tuu. Shujaa na legendary katika level ya kitaifa ni Yule ambaye alionyesha...
  11. JamiiForums Tanzania POTOSHI Eti Nchimbi amemwambia Rais Samia "Kama Mnataka Kunitimua, nitimueni leoleo

  12. JamiiForums Tanzania Napata mashaka mno na CHADEMA, wamelegeza msimamo wao?

    Kwa ufahamu wangu japo mdogo naona chadema wameregeza kamba kwenye hoja na misimamo Yao Kwadababu 1. Kushangilia ushindi fake wa kuruhusuwa kufanya siasa. Naona mtandao viongozi wa Chadema wakifurahi mno. Hivi hawa akina Heche wanaona ati mahakama imewatendea haki?😂 2. Media tour ya Heche...
  13. JamiiForums Tanzania Ujiji Kigoma kukoje? Kwa nini Bar imepingwa vikali? Wakazi wake ni Waislamu wa msimamo mkali?

    Kuna tayari nimeiona ya wiki kadhaa zilizopita kuhusu ufunguzi wa Bar/Pub Kigoma Ujiji ulioleta mtafuruku mkubwa sana mpaka ikabidi aliyefungua Bar aende kukaa na vizee vya hapo kupata ridhaa zao! Wahojiwa wengi wa hapo wakizungumzia jambo hili la Bar kufunguliwa Ujiji ni kama vile wale raia wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mojtaba Khamenei atoa msimamo mkali kuhusu vita kwa njia ya maandishi

    Hotuba yake imesomwa kwenye vyombo vya habari na haya ndiyo yaliyojiri:- Kiongozi Mkuu mpya wa Iran amezungumza sasa hivi, na ni mbaya zaidi kuliko nilivyotarajia. Kauli kuu: 1.“Vituo vyote vya Marekani vinapaswa kufungwa mara moja katika eneo hilo, vituo hivyo vitashambuliwa” 2.“Tutapata...
  15. JamiiForums Tanzania Msimamo Wangu kuhusu Pascal Mayalla

    Wana-JF na Wanahabari wenzangu, Leo nimeguswa kutoa neno baada ya kuona barua ya Bodi ya Ithibati (JAB) ya tarehe 03 Machi 2026, ikitoa onyo kwa mwandishi mwandamizi Pascal Mayalla na mwenzake Wilberforce Ngoto. Kama mwanahabari mdogo kwa Senior Mayalla, siwezi kukaa kimya wakati misingi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Iran yatishia kuilipua Al Kaaba Endapo Saudi Arabia Itaendelea na Msimamo wake

    Kumekucha naona Iran wametishia kulipua makazi ya Allah endapo Saudi Arabia itafanya shambulizi lolote dhidi yake. Sijui Allah atapona na kama akipona sijui atahamia wapi, au iran watajenga Al Kaaba nyingine kwao?
  17. JamiiForums Tanzania Kuna vitu flani ukishakuwa 35+ unapaswa kuwa na majibu yao, huu sio tena umri wa kujiuliza uliza na kutokuwa na msimamo wa kile unachokiamini

    Unapaswa uwe na jibu binafsi la kama unamiini Mungu yupo na unamtumainia au lah. Unapaswa kuwa na malengo tayari unayoyaamini na unaya pambania kwa jasho na damu ili upige hatua zaidi ya ulipoyafikia. Huu sio umri tena wa kuwaza kama kijana wa miaka 22 "hivi nifanye kitu gani" Ni umri ambao...
  18. JamiiForums Tanzania Brenda Rupia: CHADEMA hatuitambui Tume. Haiwezekani Mwenyekiti wa CCM awe kiongozi alafu aliowachagua watoe msimamo tofauti na alioutarajia

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo na wanahabari Mkurugenzi wa Mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia amesema kuwa CHADEMA hawaitambui tume ya kuchunguza yaliyotokea Oktoba 29 kwani imejaa CCM na hata aliowachagua hao walioko kwenye tume ni Mwenyekiti wa CCM
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaiangukia EU/ Umoja wa Ulaya ibadilishe msimamo wa kuinyima misaada

    Brussels, Belgium Makao Makuu ya Umoja wa Ulaya / EU KOMBO ATUMWA BELGIUM KUOMBA WASIKILIZWE KUHUSU VIKWAZO, TANZANIA YAPIGA MAGOTI NA KUIANGUKIA MIGUUNI EU / UMOJA WA ULAYA, CHONDE CHONDE ... NYIE SIYO MABEBERU BALI NI WADAU WETU ... Picha : Waziri wa mambo ya nje Mahmoud Thabit Kombo...
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu msimamo ni ule ule labda kifo ndio kitatutenganisha samia na gange lake na wakuu wa majeshi lazima wakanyee debe kwa matendo yao

    Wakuu msimamo ni ule ule labda kifo ndio kitatutenganisha samia na gange lake na wakuu wa majeshi lazima wakanyee debe kwa matendo yao. Hatutawaacha wala kukubali upumbavu wowote kwa naman yoyote ile.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…