msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa azomewe siku ya Mwananchi

    Kwa mashabiki wote wa Yanga mtakaojitokeza kwenye tamasha lenu la siku ya Mwananchi tarehe 12/09/2025 hakikisheni huyo mtu niliyemtaja hapo juu akivamia shughuli ya utambulisho wa wachezaji, viongozi, wadhamini, nk. kwenye siku ya Mwananchi, na kuanza kuleta siasa zake za kujipendekeza na...
  2. JamiiForums Tanzania Maxence Melo amshangaa Gerson Msigwa kusema waliovamia Ofisi za Jamiiforums ni Maafisa Usalama

  3. JamiiForums Tanzania Nilishawahi kuandika hapa kumhusu Gerson Msigwa kuwa ni Mtu mwenye Umasikini wa Akili wa Kudumu sikueleweka, ila sasa naamini mmeshanielewa

    Niseme tu kuwa Gerson Msigwa anahitaji miaka zaidi ya 200 kuwa na IQ kubwa aliyonayo JamiiForums Founder Maxence Melo
  4. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Hakuna uvamizi uliofanyika katika Ofisi za JamiiForums

    Hii ndo Tarifa yake "Gerson Msigwa " usiku huu. Hakuna uvamizi uliofanyika katika ofisi za Jamii Forums. Kilichotokea ni utaratibu wa kawaida wa mawasiliano kati ya Mamlaka za Serikali na wadau wake ambapo leo Maafisa wa Serikali walikwenda kuwasilisha barua ya wito kwa Jamii Forums. Ndugu...
  5. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Serikali inajua kila kitu kinachoendelea. Yoyote anayefanya makosa anaweza kufikiwa

    Akizungumza leo kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa alisema: "Nataka niseme kwamba serikali inajua kila kitu kinachoendelea na tunaweza kupata taarifa na tunaweza kumfikia mtu yoyote...
  6. JamiiForums Tanzania Msigwa anapwaya Serikali imchukue Ezekia Kamwaga kuwa msemaji wake

    Mpaka sasa ndo naona anajitutumua na kutamani apate teuzi ili aweze mtetea Samia vizuri. Wengine ni kama wamechoka. Tumsaidie Eze Kamwaga tumtie moyo huyu maana Mtandao kama tunaanza tengwa na sukuma gang
  7. JamiiForums Tanzania Kuanzishwa kwa "Sports Infrastructure Management Agency (SIMA)" ni Wazo zuri, heko Msigwa na Team yako

    Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Gerson Msigwa, amebainisha kuwa Serikali ipo katika hatua za kuanzisha Sports Infrastructure Management Agency (SIMA). Akizungumza katika kipindi cha Morning Trumpet cha Azam TV leo, Bw. Msigwa...
  8. JamiiForums Tanzania Msigwa: Tanzania imeanza maandalizi ya kuwa mwenyeji wa 'Miss World' 2027

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa "Tumeanza maandalizi ya kuwa mwenyeji wa 'Miss World' 2027, matarajio yetu ni kwamba juhudi hizi zikifanyika zitatusaidia kuongeza idadi ya Watalii na kuitangaza Tanzania.....''
  9. JamiiForums Tanzania Msigwa: Serikali kutenga Tsh. 450 Bilioni kwa ujenzi wa Arena ya Wasanii Kawe, Dar es Salaam

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa fedha za kujenga Arena ya kisasa kwa ajili ya kuwawezesha wasanii kupata maeneo rasmi na mahususi kwa ajili ya matukio yao ya kisanii tayari zimekwisha patikana. Akizungumza...
  10. JamiiForums Tanzania Vipi lile Disco la Msigwa la jana baada ya Taifa Stars kufungwa na kutolewa lilikuwepo?

    Mnijibu nijue.
  11. JamiiForums Tanzania Msigwa kama unashangaa waTanzania kutojaza uwanja ongea na mwana CCM mwenzako mwamposa aujaze uwanja.

    WaTanzania wanaisusia timu ya Taifa, na wewe kama msemaji wa serikali unashangaa huelewi shida ni nini? Kama mmeshindwa kujaza uwanja ongea na mwana CCM mwenzenu mwamposa awasaidie kujaza huo uwanja mashabiki anao wa kujaza kwa mkapa na uhuru kwa mpigo Apereke kondoo wake wakaiombee timu ya...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Peter Msigwa ashindwa kura za maoni Iringa Mjini

    Alipokwenda Mbweni na kushauriwa na johnthebaptist agombee ubunge kupitia CCM hapa Iringa mjini, Peter Msigwa alidhani CCM wanampenda kumbe wanamtega.. Matokeo ya awali yanaonesha Msigwa hayumo kati ya wagombea watatu wa juu. Taarifa toka ndani ya CCM hapa mjini inaonesha Msigwa hawezi kuongoza...
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Msigwa: Nikikatwa jina nahama chama maana kuhama chama sio dhambi

    Wakuu kuna ukweli wa hizi taarifa?
  14. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Peter Msigwa akiomba kura kwa wajumbe

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mchungaji Peter Simon Msigwa, ameomba kura za maoni kutoka kwa wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kupata ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu. Mchungaji Msigwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Peter Msigwa apenya Iringa Mjini

    Aliyekuwa kada wa CHADEMA Peter Msigwa amepenya kwenye hatua ya awali katika jimbo la Iringa mjini. Miongoni mwa aliopita nao ni Jesca Msambatavangu mbunge anayemaliza muda wake hivi sasa.
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Pamoja na Mchungaji Msigwa kubeba picha ya Samia na kuukana Msalaba bado kakatwa

    Tunajua kwamba Mch Msigwa alichukua kozi ya week tatu kusomea uchungaji. Tunafahamu tena pasipo shaka elimu ya Msigwa juu ya theology ni ndogo sana na ikitokea akaenda katika makanisa ya kueleweka labda atapewa nafasi ya kufundisha watoto wadogo kuimba na kucheza. Kwa hakika Mch Msigwa hawezi...
  17. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Inachofanya JamiiCheck kinatakiwa kifanywe na Wanahabari Kitaaluma

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa wito kwa Wanahabari kuwa na kawaida ya kuhakiki taarifa kabla ya kusambaza kama ambavyo imekuwa ikifanywa na JamiiCheck.com Msigwa amezungumza hayo wakati akichangia mada katika...
  18. JamiiForums Tanzania Msigwa:Ni kosa la jinai mwandishi wa Habari kufoji cheti au kitambulisho cha kazi

    "Ni kosa la jinai mwandishi wa Habari kufoji cheti au kitambulisho cha kazi usipoteze muda wako kufanya hivyo maana tukikubaini tutakushughulikia Na waandishi na Habari msiyo na sifa nendeni shule mkasome tumeongea na uongozi wa vyuo mbalimbali watawapokea hatutaki kuwapoteza bali tunahitaji...
  19. JamiiForums Tanzania Mkeka wa mwisho wa mama umetoka bila jina la Mayalla, Msigwa na Lucas Mwashamba. Je hao chawa hawaaminiki?

    kKwenye dakika za jioni kabisa, mkeka wa mama umetoka bila majina ya chawa maarufu kupenya. Nimepitia ule mkeka zaidi ya mara tatu lakini sijaona jina la Pasco Mayalla, Mchungaji Peter Msigwa na Lucas Mwashamba. Sitaki kuamini kama mama hana taarifa zao, sijui inakuwaje watu wengine wa ajabu...
  20. JamiiForums Tanzania Msigwa anafinywa huko na Wananchi kwenye mitandao ya kijamii. Watanganyika wa sasa nimewavulia kofia. Finyaaaaaaaa

    Watanganyika mwaka huu wameamua kudadadeki!!! Muda mchache uliopita ITV wamepost kwenye page yao ya Facebook taarifa hii; Watangayika bila hofu yeyote, Vijana, Wazee, Wamama na Wababa, Wakristo na Waislamu wameamua kumpika na kumfinyaaaa kisawasawa Bw. Gerson Msigwa. Angalia mwenyewe kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…