Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.
Akiongea na waandishi wa Habari, Msemaji wa Serikali amesema idadi ya waliofariki na kujeruhiwa inatakiwa kutolewa na vyanzo rasmi vyenye mamlaka ambavyo vimefanya tathmini, kwa sasa wanaotoa takwimu hizo ni uchochezi.
Utamwelezaje MTU kwa maneno mazuri ambapo askari anampiga 'mwanamke' anayekimbia risasi. Je, huyo ni Askari aliyepitia mafunzo?
Ukumbuke familia zao zipo.
Msigwa alisema serikali inachunguza video kisha itatoa ufafanuzi lakini imekuja na malalamiko ya kutangazwa kimataifa tu na sio ufafanuzi wa video.
Aidha vyombo vya kimataifa vili itafuta serikali kabla ya kuripoti ili kutoa ushirikiano lakini serikali iliingia mitini kwa siku takribani 25 sawa...
"Kumejitokeza wimbi kubwa la vyombo vya habari hasa vyombo vya habari vya nje kuchapisha na kutangaza habari ambazo ni za upande mmoja na wakati mwingine kufanya upotoshaji wa taarifa wenye mrengo wa kuchochea chuki kwa watanzania dhidi ya Serikali, kuwagombanisha Watanzania wenyewe kwa wenyewe...
Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema:
Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari.
Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo...
al jazeera
bbc
cnn
documentary
documentary ya cnn
hadhi
kuandaa
maana
makala
mauaji
mmoja
msigwa
namna
nyingine
post
post election
ripoti
ripoti ya cnn
sana
serikali
tanzania
uandishi
ujinga
upande
uthibitisho
wako
Akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kwamba kutokana na matukio yaliyotokea kwa hali ya usalama wa nchi shwari na kuwa Vyombo vya ulinzi vinaendelea kuhakikisha wananchi pamoja na mali zao wanabakia kuwa salama na matishio yote ya...
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza leo Novemba 23, 2025 na vyombo vya Habari amesema kwamba Serikali ipo tayari kusikiliza wote wenye madukuduku, wenye ushauri na wenye maswali yote yatapokelewa na kufannyiwa kazi hivyo hakuna sababu ya kuharibu nchi yetu
Msigwa anasema wote wanaofanya chokochoko mtandaoni na kupitia kwenye vyombo vya habari lengo ni kuharibu uchumi wetu ili wao wafanikiwe.
Ni sababu wanaona Tanzania inaendelea kiuchumi ndio maana wanafanya hayo yote, kutokana na maendeleo tuliyopiga kiuchumi kuna mpaka nchi zinakuja kujifunza...
Msemaji Mkuu wa Serikali amedai kuwa Vyombo vya habari vya nje vimeandika habari ya upande mmoja kuhusu machafuko wakati wa uchaguzi
"Kumejitokeza wimbi kubwa la vyombo vya habari hasa vyombo vya habari vya nje kuchapisha na kutangaza habari ambazo ni za upande mmoja na wakati mwingine kufanya...
Serikali yatoa wito kwa vyombo vya habari vya nje kufuata maadili ya uandiahi wa habari kwa kuchapisha habari ambazo aio za upande mmoja, serikali ipo tauari kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ndani na nje ya nchi pale watakapohitajika.
Msigwa amesema sio sawa kilichofanywa na CNN, Al Jazeera na...
Waswahili waliposema ukivuliwa nguo chutama hawakuwa wamekosea kabisa.
Muda mchache ujao Msemaji wa Serikali anaenda kuongea na Waandishi. tena baada ya CNN kutoa habari ya kutisha kuhusu mauaji yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama wakati na baada ya Uchaguzi wa mwaka huu.
Tuhuma...
Tunaweza kutofautiana kwenye masuala mengi ila linapokuja suala la uhai wa binadamu tunatakiwa kuongea lugha moja. Bado nazidi kuwashangaa waTanzania wenzangu waliokubali kuaminishwa na mfumo kwamba waTanzania waliuliwa barabani kama mbwa ni wahalifu na walistahili kuliwa kinyama...
Ni muda mrefu sijamsikia Peter Msigwa aliyetimkia CCM kuramba matapishi yake akaishia kutapikwa kwa aibu na bila huruma? Najua wapo wengi. Kwanini tusiwaorodheshe hapa lao wajione au waambiwe tunavyoachukulia chawa hawa wachafu waramba makalio ya muuaji.