Anasema Bajeti ni sh trilioni 62.3, na bajeti inajitegemea kwa mapato yote ya ndani kwa 74.2% sawa na sh trilioni 46.24, utata ni pale anaposisitiza kuwa tutakopa sh bilioni 500 tu.
Je sh trilioni 15 zitapatikana wapi?
Wataalam wa bajeti tafadhali mtueleweshe hapa.