msichana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza wa kuoa Morogoro

    Habari wakuu? Umri unakwenda sana. 39 yrs now. Dada ambae unapatikana hapa morogoro au mkoa wowote lakini una uhitaji wa kuoelewa mwezi ujao, naomba tuwasiliane inbox. Binti mzuri, uwe mkristo. Umri 25-33. Urefu wastani. Hatuna pesa mama ndo tunaanza kutafuta. Karibuni sana wahitaji.
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana Apoteza Mguu Baada ya Kudaiwa Kupigwa na Mwalimu Ruai

    Msichana mmoja anadaiwa kupoteza mguu baada ya kudaiwa kupigwa na mwalimu katika shule ya msingi ya umma eneo la Ruai, Nairobi, takribani miaka minne iliyopita. Kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari, jeraha lake lilizidi kuwa baya licha ya kupata matibabu, na hatimaye madaktari wakaamua...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kakamega: OCS akamatwa kwa tuhuma za kumbaka Msichana wa miaka 16

    Afisa mkuu wa Polisi katika Kaunti ya Kakamega amekamatwa na kuwekwa kizuizini baada ya kutuhumiwa kumuingilia kingono msichana mwenye umri wa miaka 16. Kwa mujibu wa taarifa za Polisi, OCS wa Kituo cha Polisi cha Lumakanda, Wycliff Kwendo, alidaiwa kuwaambia Wazazi wa msichana huyo kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kuwa naye

    Andika umri wako na mahali ulipo. N.b usizidi miaka 22 N.b kama single mother uwe mzuri N.b ujue nahitaji nini kwenye mahusiano N.b ujue kupenda N.b nitakupenda na kukujali
  5. JamiiForums Tanzania Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi?

    Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima. Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi…
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi msichana kuvaa nguo za ndani za kiume(boxers)

    Kumekua na tabia ya baadhi ya wadada kuvaa nguo za ndani za kiume boxers na wameamua kunormalize kabisaa kiukweli hiki kitu upande wangu sikipendi na hata ikitokea nimeingia faragha na msichana nikimkuta na uvaaji huu huwa inanikata mood mno
  7. JamiiForums Tanzania Msichana, kubali kuwa wewe ni M-TAMISEMI, itakupunguzia maumivu kidogo

    Msichana Kubali Tu 😅 Afu weka Mikakati Yako Sawa 🥂 Mtaani kuna mengi yanazungumzwa kuhusu Watumishi wa Umma hasa hawa ndugu zetu wa Ajira Mpya ambao kila siku tunawaona wakilia kuhusu mazingira ya kazi na wengine wakiwemo wale wa Fedha za Kujikimu. Huyu dada Missywear amepost hii kitu huko...
  8. O

    JamiiForums Kenya Je, ni lazima msichana kutolewa mahari?

    Je ni lazima msichana kutolewa mahari???
  9. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta Msichana mzuri wa kuoa

    Kwakweli ukiwa hujaoa bado hujakamilika unakuwa upo nusu, duniani kuna jinsia mbili kwa maksudi kabisa, na ili maisha yaende yalivyopaswa ni lazima mwanaume aungane na mwanamke wawe kitu kimoja. sote tumeumbwa ili kutengemeana, ni kama ilivyokua ngumu kuvaa kiatu mguu moja huku mwingine upo...
  10. JamiiForums Tanzania Msichana anaomba kazi yoyote halali

    Habar wapendwa Kuna huyu dada angu ana miaka 25 Elimu kidato cha one Amesomea utalii ngazi ya certificate Anaomba muamsaidie kazi yoyote halali ambayo anaweza kujiingizia kipato Anapatikana moshi kilimanjaro Anaweza kufanya kazi mahali popote yupo tayar Mawasiliano+255760119470
  11. JamiiForums Tanzania Tanga: Watu wawili wahukumiwa jela maisha kwa kumlawiti msichana

    Mahakama Kuu Kanda ya Tanga imewahukumu kifungo cha maisha Hamisi Jamali Mkufya (22) na Abdallah Sebo (20), wakazi wa Mbugani, kwa kosa la kumlawiti msichana mwenye umri wa miaka 16 mkazi wa Mikanjuni, Wilaya ya Tanga. Tukio hilo lilitokea Desemba 26, 2023 katika eneo la Mikanjuni, Wilaya ya...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume wa kikristo walipieni wasichana mahari na siyo kuwalipia wanawake mahari kama mnavyofanya sasa

    Ndugu zangu. Mahari iliwekwa kwaajili ya kulipia wasichana na siyo kulipia wanawake pindi unapotaka kuoa. Ila cha kushangaza utakuta wanaume wengi wa kikristo wanakomaa kulipia wanawake mahari badala ya kulipia wasicha(binti) huku wazazi wa wanawake hao wanakaza kichwa na kutamka mapesa makubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa zama hizi kupata msichana bikra ni kubahatisha

    Sababu ni hizi ☆ Tamthilia za kimapenzi zinachoche watoto wa kike kuanza kujiingiza kwenye mapenzi wakiwa kwenye umwili mdogo. ☆ Miziki ya kizazi kipya hii ya kinazuchu😁 na nyingine kibao unakuta mziki unascene za chumbani chumbani unafiki mtoto wa kike akiona atashindwa kutamani? ☆ Social...
  14. JamiiForums Tanzania Msichana ukifika miaka 27 haujaolewa tafakari juu ya tabia zako wala sio riziki kama mnavyojidanganya

    Wewe msichana uliyefikisha miaka 27 bado haujaolewa, em kaa chini jitathmini juu ya mwenendo na tabia zako, Lazima utajikuta una matatizo yanayokimbiza wachumba, kwasababu msichana yoyote mwenye mwenendo na tabia nzuri huwa anaolewa mapema sana kuanzia miaka 18 mpaka 25. Ikiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Msichana anavyokuomba vocha au hela punde baada ya kumtongoza humaanisha nini?

    kuna binti nimemsaundisha jana,akanigea namba yake ya whatsaap,leo tumeanza kuchat whatsaap ghafla bin vuu ananiomba vocha,nikamtumia ya book,hii jioni nakuta anasema kama nna elfu tano nimuazime annunue umeme. WAKUU hivi ni mbinu ya kunifukuza au ndo ananipima au?
  16. JamiiForums Tanzania Msichana aliyeishi na wanaume zaidi ya 100 bila kujulikana jinsia yake

    Msichana mdogo mwenye tabia kama za kiume anafanya jambo la kushangaza baada ya kutaka kujiunga na jeshi ili haweze kuikoa nchi yake dhidi ya maadui hatari wa kichawi. Shida kubwa mdada huyo nj mwanamke na wanaohitajika ni wanaume je hatafanikiwa ?? Angalia video full 🔋...
  17. JamiiForums Tanzania Huyu msichana kaniaibisha sana sikutegemea

    Binafsi huwa sipendi kutongoza tongoza na hata nikivutiwa na msichana huwa sikurupuki kumtongoza hadi nione light flag kuwa nayeye anavutiwa na mimi lengo ni kuondoa kero na aibu za kutangazwa kwa watu Sasa huyu msichana nimesoma nae o-level na kiukweli nilikuwa navutiwa nae ila sikuwahi...
  18. JamiiForums Tanzania Kama una date msichana wa Kichaga, kuna ujumbe wako hapa

    Habari za wakati huu wakubwa Niende kwenye maada lengwa, mimi nina miaka 35 kwa sasa na katika mahusiano yangu nime date nao kwa 80% ni wachaga hata wale wa hit and run ..wengi ni wachaga. Wadada wa kichaga upstairs wako vizuri na wako sharp sana. Kimsingi kama wewe ni ndezi tu huwezi dumu naye...
  19. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Arusha amchoma mfanyakazi wake na pasi

    MFANYABIASHARA Maarufu anayemiliki vituo vya mafuta jijini Arusha, Maganga Lago anatuhumiwa kumfanyia ukatili wa kutisha mfanyakazi wake wa ndani aliyetajwa kwa jina Moja la Teleza raia wa nchi Jirani kwa kumpiga na kisha kumchoma na pasi ya moto akimtaka kimapenzi. Tukio hilo ambalo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…