Pumzika kwa amani mwadhama Kardinali Pengo. Tuonane mbinguni asubuhi iliyo njema.
=====
YAH: TANGAZO LA KIFO
Ninayo masikitiko makubwa kuwatangazieni kwamba leo tarehe 19/02/2026 saa 04:00 usiku huu mpendwa baba yetu Mwadhama Polycarp Cardinal Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es...
Msiba wa Mzee Edwin Mtei haukuwa tu tukio la kuaga mwili. Ulikuwa mahakama ya dhamiri ya taifa. Ilikuwa ni mahali ambapo historia, maumivu, hofu, na matumaini vilikutana uso kwa uso. Katika jukwaa hilo, Freeman Mbowe—mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA—alisema maneno yaliyotikisa mioyo ya wengi...
Kipindi kile CHADEMA ilikuwa na nguvu kiasi cha kukaribia kuchukua dola. Dk Slaa alikubalika sana watu walitaka ukombozi.
Lakini Zitto Kabwe akatumiwa kuisaliti Cdm akawa anapewa pesa kwenye magunia ili awahonge wanachama makini wa CHADEMA Warudi CCM.
Hakustahili kabisa kupewa nafasi kuongea...
Siku chache baada ya mahabusu Michael Rambau (18), kudaiwa kujinyonga ndani ya Kituo Cha Polisi Kati-Moshi, mkoani Kilimanjaro, waombolezaji waliokuwa wamekusanyika leo nyumbani kwa wazazi wa marehemu huko Rau, Manispaa ya Moshi ili kushiriki ibada ya maziko yake, wanadaiwa kumfukuza na kumzomea...
Kama familia inataka autopsy ni haki yao, kama vipi serikali hii haramu isigharamie mazishi ijitoe!
Alafu hawa TISS wa Mombo na Abdul ni wajinga sana - yaani mnapeleka watu wenu hadi vikao vya familia na wanawashtukieni haraka 🙄 mambo ya kizamani haya!.
Mi niliwaambia hiki kifo cha Jenista siyo...
Msibani kwa ndugu zetu marehemu ni Msabato hivyo mwili waombe wa na umewekwa mbele kabisa ndani ya jeneza. Mchungaji akadai hizo siyo Ibada bali ni huduma Akadai Ibada ni dhambi na huendeswa na wakatoliki. Akadai kwamba ni kweli mwili wa marehemu uko mbele lakini hawana Ibada bali wanatoa...
Jua lilikuwa limefichwa na mawingu mazito siku ile ya mazishi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. John Kijazi. Uwanja wa mazishi ulikuwa kimya, ukitawaliwa na sauti za ndege wachache waliokuwa wakiranda angani, kana kwamba nao walihisi huzuni ya siku hiyo. Viongozi na wananchi walikusanyika, wakivalia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waombolezaji kabla ya kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 10 Agosti, 2025.
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
=============
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akitoa pole kwa Dkt. Fatma Mganga, ambaye ni mjane wa Mhe. Job Yustino Ndugai, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipofika...
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna hii tabia ya misiba baada ya kuisha unakuta vitu kama vyakula , nguo au vyombo vimepotea baadhi wakati mwingine hata vyote tu.
Na hii tabia haswa ni wadada au wanawake wana hii michezo , sasa sijui ni tamaa au ni nini.
Msiba unapoisha suala kukuta mchele...
Hakika watanzania wameamka, wameona kampeni hiyo ni utapeli wa kisiasa wenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Baada ya kauli hiyo Heche na Golugwa walionekana kutahayari kama wanataka kukimbia
Hivi wenzetu tunaokutana misibani mkiwa mmevaa sunglasses siku za maziko mnaweza kutuambia sababu ya kuvaa ni nini?
Wengi ukiwauliza hawana sababu yoyote yenye mashiko ni kuiga iga tu mna ushamba mwingi sana.
Hata mkienda kugoogle bado sababu mtakazoleta hazina maana yoyote wapuuzi tu...
Rais Samia Suluhu ametangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya ambaye amefariki leo Mei 7, 2025 alipokuwa akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Mzena
https://www.youtube.com/watch?v=Y8LcWxXTdv8
=========================
Aliekaa kwenye kiti...
Jengo jipya hapa msibani zamani DDC wamejenga ngazi mpaka eneo la watembea kwa miguu hivyo kusababisha watembea kwa miguu kupita eneo la barabara jambo ambalo ni hatari.
Anonymous
Thread
barabara
eneo
jengo
kusababisha
miguu
mpaka
msibani
ngazi
watembea kwa miguu
zamani
Kuna mwenye uzoefu juu ya jambo hili my friends, ladies and gentlemen?
Au kuna mabadiliko ya kiutu na kibinadamu kwenye mambo haya siku hizi ?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Ameandika makamu wa rais Yanga SC Arafat Haji kupitia ukurasa wake wa Instagram.
“Wanaweza kusababisha kifo chako na bado wakaja msibani kujiliza sana, wanaweza kukusababishia matatizo na wakawa wa kwanza kukupa pole, wanaweza kukwambia tupo pamoja na wakakupa mkono ila pembeni yako wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.