Rais Samia, amesikitika kutangaza kifo cha William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) pamoja na Mbunge wa Jimbo la Isimani.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi, Lukuvi amefariki dunia leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa...
Wakuu,
Nauliza tu
Kwanini hawa viongozi wastaafu walivyotambulisshwa shangwe limekuwa kubwa mno
Hapo Pinda, Warioba na Majaliwa walivyotambulishwa shangwe lilikuwa kubwa mno lakini alivyotajwa Nchimbi vibe halikuwa kubwa hivyo
Wakuu,
Hii ni leo wakati Padri Kitima anatambulisho uwepo wa vyama vya siasa mbalimbali kwenye msiba wa Kardinali Pengo
Hapo kuna sehemu kataja kuna vyama 17
Msafara wa msiba wa Kadinali Pengo ni wa aina yake.
Kuna men in black, makarao wakiwa makini muda wote.
Tunajua Pengo alikuwa kiongozi mkubwa wa dini, lakini kwa huu uzito aliopewq na gavoo mbona kama alikuwa mserikali?
Hakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar.
Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja?
Nawaza sana.
Kuna video moja nimeona inasambaa ikionyesha mdau mmoja akisema CHADEMA wanaringa na msiba wao huku akiahidi kwamba na "wao" wanasubiri msiba wao ambao utafana zaidi ya msiba wa CHADEMA ili nao wapate kuringa.
Huyu mdau akaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa tena msiba "wao" utakaofana utatangazwa...
Kuna msiba uliotokea ila umeibua maswali mengi ya chinichini. Kwa jicho langu la kijasusi najiuliza maswali hapa ambayo bado yanakosa majibu.
Kwanza, huyo dada mkwe anaitwa nani, mbona taarifa nyingi za huo msiba hazitaji jina lake?
Pili, mbona hatujaonyeshwa picha ya marehemu wakati wa uhai...
Haya majitu ni ya ajabu ajabu sana, hivi zee kama wasira limeshindwa kwenda kumzika Mzee mwenzie?
Mtajitetea na UWEPO wa MWIGURU ilihali yeye aliiwasilisha serikali je macc yalishindwa Nini kutuma MWAKILISHI?
Au Samia na wasira waliwasilishwa na mrisho gambo😂🤣?
Haya majitu ni majitu ya ajabu...
MAMBO 7 YALIYOTAWALA HOTUBA ZA MSIBA WA MZEE MTEI NA DIVERSION STRATEGY YA MWIGULU NCHEMBA
Mwl. John Pambalu
Msiba wa Mzee Edwin Mtei haukuwa tu tukio la majonzi, bali pia jukwaa la hotuba nzito zilizobeba tafakuri ya kina juu ya historia ya taifa, hali ya siasa za sasa, na mwelekeo wa...
Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ambaye pia ni mwanafamilia wa marehemu Mzee Edwin Mtei, amejibu hoja mbalimbali zilizoibuliwa mitandaoni zikidai kuwa CHADEMA haijapewa nafasi na hadhi inayostahili katika taratibu za kumuenzi muasisi wa chama...
Nimeshuhudia mambo mengi katika misiba tofauti, lakini tukio hili nililoliona limevunja kabisa rekodi.
Mbwa aliruhusiwa kuisogelea maiti na akaanza kuinusa, kulikuwa na watu wachache na ni kabla maiti haijatolewa nje kwa watu wengi kwa ajili ya kuagwa na kisha kuanza safari ya mazishi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewapa pole wale waliofiwa na ndugu zao katika maandamano ya Oktoba 29, ingawa yeye ameeleza kuwa maandamano hayo yalijumuisha vurugu.
Rais Samia Suluhu Hassan aliyasema haya wakati akizungumza katika mkutano maalum...
Wadau naomba ushauri. Msiba wa mama yetu mwaka jana July na hadi muda wameshindwa kutimiza ahadi zao zote walizokuwa wameahidi kwangu na uwezo wanao. Ahadi wakitoa wao wenyewe baada ya maziko tena mbele ya Mjomba nduguye marehemu mama kunisaidia mimi ndugu yao kumbe ni bure
Nafurahia marehemu anavohangaika kuingia kaburini watu wamfukie. imebaki tu kufukia maana kama kufa kashakufa na kuaga tushaaga na sasa ndo tupo makaburini muda huu
Hatuondoki makaburini mpaka na mimi nihakikishe nimetupia chepe langu moja
Kuna moshi unafuka. Trust me. Gen-z kazeni hapo hapo na ongezeni umakini msikae kizembe.
Baada ya kudis-arm wajeshk nataarifiwa alternative imepatikana. Ni wao au sisi. Full stop.
Hata wazee sasa tumechoka na huu uk..da. Lakini bado wana mwezi mzima wa kujitafakari.
Mungu ni wetu sote...
A call for citizens to mourn a major national tragedy
We, members of different communities in Tanzania, with great sorrow and heavy hearts, acknowledge the tragic events that have occurred in Tanzania, where brutal killings have claimed the lives of 3,000 innocent people.
We announce that we...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.