mshangazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa kwenye Mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri "Mshangazi"? Nini kilikusukuma, ulifaidika/ulijutia nini kuwa nae? Check story yangu.

    Nikiwa mwaka wa mwisho chuo Mwaka 2018, life limenipiga sielewi na mzee ameachishwa kaz kama mwaka mzima uliopita, nilienda taasisi flani ya serikali hapo Dar kufuatilia mambo flani, huko nikahudumiwa na mwanamke na kwakuwa nilikuwa nashughulikia ishu kubwa kidogo yule mama alinipa namba yake...
  2. JamiiForums Tanzania Mdogo wetu kaacha ualimu kisa amepata mshangazi

    Dada habari, sisi kwenye familia yetu tume pata changamoto kubwa sana kiasi kwamba mama naona kabisa tuna enda kumpoteza Kwa Presha. Iko hivi, tuna mdogo wetu wa kiume ana miaka 25, aliajiriwa mwaka juzi Ualimu wa Sekondari, na alikuwa akilipwa mshahara mzuri tu bila shida yoyote. Kitu Cha...
  3. JamiiForums Tanzania Mshangazi wa Taifa, Janepher Sanga katoa onyo kali: Hajiuzi, yeye ni content creator tu

    Mshangazi wa taifa Janepher Sanga mwenye views na followers zaidi ya million 8 kwenye mitandao ya kijamii, katoa onyo kwa ukali kwa madalali wa wanawake ambao wana posti namba zake kwenye page zao yeye hajiuzi. Kitendo hicho kimemuudhi sana mshangazi huyo nakuendelea kusema yeye ni content...
  4. JamiiForums Tanzania Wapi ntapata mshangazi wa kizungu?

    Asee wakuu, Januari imeninyoosha kinyama. Wueeeh!!! Fanyeni wepesi!!! Hivi ni maeneo gani ntaweza pata mshangazi wa kizungu!?? Nimfanyie kilimo cha umwagiliaji haraka upesi. Au niingie mtandao gani nijiachie humo.
  5. JamiiForums Tanzania Shehe Adai Muhammad Alifanya kazi kwa Mshangazi

  6. JamiiForums Tanzania Ila wakuu penzi la mshangazi ni noumaaa! Wiki nzima sijarudi geto kupiga usafi

    👶🏻🍼
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepigwa na mshangazi wangu

    Wakuu, mshangazi wangu alifuma sms za pisi nyingine whatsapp, amenipa kichapo heavy yaani nyie acheni tuu
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta Mshangazi ama Mshangazi hamumtaki Kijana wa Kimasai?

    Kwani Mshangazi una sifa Zipi ? Jamii ya leo inazidi kushuhudia mahusiano yasiyo ya kawaida: vijana wa kiume wakiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanawake wakubwa kiumri — mara nyingi wakiwa sawa na mama au shangazi zao. Wengine huita "sugar love", wengine wanaita "upendo wa kipekee". Lakini...
  9. JamiiForums Tanzania Wanameke miaka 18-24 ndio hao ndio bonge la dada zaidi ya hapo we ni mshangazi

    Wanameke miaka 18-24 ndio hao ndio bonge la dada zaidi ya hapo we ni mshangazi Nadhani imeeleweka,msitusumbue huku mtaani.
  10. JamiiForums Tanzania Ila JF huwa kuna vituko sana, eti mtu wa miaka 35 anamuita demu wake wa miaka 39 eti mshangazi

    Hii nchi ina vituko na JF ndio studio yake🤣 Ni basi tu tunawaponda dada zetu walio 30+ ila Kijana wa kiume ukishafikisha 30+ wewe nae ni "LIJOMBA" hadhi ile ile ya lishangazi. Siku hizi wadada hawazeeki, kuna vipi vipi siku hizi, kuna serum za kuondoa makunyazi, etc
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

    Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19 Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi hizo story za mishangazi zipo kweli?

    Hivi hizo story za mishangazi zipo kweli au ni simulizi za kahawa na bar vaada ya kilevi Hebu tupe uzoefu wa mshangazi na ulipata vipi Lete ushuhuda uliwahi pata mpenzi wa kweli hapa Jf
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrema, Kileo, Kigaila, Salumu Mwalimu, Devotha Minja na G 55 wengine rasmi watua CHAUMMA. Walijifanya kukataa, kiko wapi!

    Wakuu, Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi. Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia. Pia, Soma: Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5%...
  14. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mshangazi basi ujue unasakwa kwa penzi matata

    Uwe mshangazi halisi sio wa kuchovya Uwe unajimudu mwenyewe na usiwe mtu wa nyeenyee sio kila siku wewe ni mtu wa kujiliza tu mara niongezee vocha mara gesi imeisha mara nchangie mjombaangu kafa kumbe mjomba ni mzima anadunda zake. Mengine tutachat bdae
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mshangazi njoo hapa

    Mimi ni kijana in early 30s, financially doing fine . Fantasy yangu ni kuwa in sexual entanglement na mshangazi( age 34- 54). No relationship only to fullfil each other’s sexual needs . Sihitaji kabisa pesa zake and I won’t be providing any financial assistance, just vibes and sex. Nahitaji wale...
  16. JamiiForums Tanzania Mshangazi wa Ilala alivyowasambaratisha kwa ugonjwa hatari wanamuziki wabendi kubwa nchini

    Kuna bendi moja kongwe ya muziki wa dansi, sitaitaja jina. Wanamuziki wake walipukutika kama Uyoga ndani ya miongo miwili ni kama walikwisha. Unajua sababu? Jimama la Kimanyema mixer Kiarabu shombeshombe, mshangazi white mkazi wa Ilala Sharifu Shamba ni kama alitumwa, aliwagawia dozi mmoja...
  17. JamiiForums Tanzania Mwaka jana niliponea chupuchupu kuupata Ukimwi, ila mwaka huu nimeangukia kwa Penzi la Mshangazi, nifanyaje kuoa

    Wadau, Napenda kupata tu ushauri, ninachotaka kufanya sifanyi na ninachofanya sio ninachotaka kufanya.. ... Nisikuchoshe ni hivi, mwaka jana nilishawahi kulala na mwanachuo fulani kumbe ni muathirika na baada ya kutumia PEP niliponea shimo la moto kwani mpaka wa leo mimi ni mzima wa...
  18. JamiiForums Tanzania Nisaidieni mshangazi kupungua kilo 10 chap!

    Jana nimemuona daktari akaniambia nipungue uzito. Wenye uzoefu, leteni ushauri nifanyaje nataka niondoshe kilo 10 mpaka 15. Leo nimeanza mazoezi na kula high protein diet. BMI yangu kama unavyoiona hapo👇, usiniulize kilo zangu fahamu tu niko overweight. Haya nishaurini nini cha kufanya...
  19. JamiiForums Tanzania Umri gani siyo poa kumzalisha mshangazi au jimama?

    Mishangazi na mijimama ina raha yake. Je, kuna umri siyo poa kupeana ujauzito? Kuna huyu kijana mcheza basketball ana miaka 22 ana uhusiano na amemzalisha mshangazi wa miaka 40. Vipi ingekutokea wewe, ungeelewekaje huko kwenu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…