mshana

Mshana was an entertainment magazine based in Cape Town (with an editorial office in Sandton) aimed at South African urban youth.

View More On Wikipedia.org
  1. Barua ya wazi kwa Mshana Jr na Bill Lugano

    Shikamoo bro Mimi ni kijana wa miaka 22 Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu ananifanya naishi Kwa maumivu makali sana Jamaa ni mshkaji wangu anakuja home tunaenda Bandaumiza pamoja ila anatoka na dada yangu ninayemfata Badala afanye Siri anayanya makusudi akiwa na washkaji zangu wengine...
  2. Mzee Mshana jr msaidie jamaa yetu

    Jamaa yangu juzi kafunga 40yrs old, Analalama ameanza kuumwa viungo vya mwili vibaya mno, anadai miguu yake imekufa ganzi Muda MREFU unyayoni, Analalama mwili wake wote kuwa Kuna vitu vinamchoma choma km sindano anaishia kujikuna Kuna. Ngozi yake aina ushirikiano na mwili miguu imempauka km...
  3. Mzee wa Nature Mshana jr hii ni nini na inapatikana wapi?

    Nimeitoa fb huko kwakweli sijaelewa kama ni uyoga au sijui nn😂😂 Mshana Jr
  4. Chumbani kwa Mshana Jr, comments ziwe fupifupi tafaadhali.

    Haa ndipo Mshana Jr anapojipimzisha baada ya KAZI ngumu ya tunguri na manyanga
  5. Hizi ndio kauli zangu pendwa kutoka kwa mshana Jr

    Kupitia post na mazungumzo na Mr IQ intelligence mshana Jr The platinum nimejifunza haya hapa. 01.Waganga wanafanya KAZI kwa kumuomba Mungu, na wewe usimuombe Mungu kupitia mganga(Muombe Mungu moja kwa moja utafamikiwa) 02.Sema sana ongea sana ila Usiombe yakukute. 03.kwenye maisha Kuna...
  6. JIBU KWA MSHANA JR:Hii Ndio Plan B Ya Walio(WANAO) Mchafua SASHA

    Siku kadhaa nyuma member mwenzetu Mshana Jr aliibua hoja nzito akiuliza kwa namna gani wataweza kumsafisha??sababu kaharibu pakubwa sana, image yake imeharibiwa vibaya.mikataba,ukatili,Mauaji,uhuru wa kutoa maoni,ugomvi na viongozi wa dini,matumizi mabaya ya serikali,Kesi ya Lissu n.k,. Mambo...
  7. Mshana Jr badilika, rudi kwenye asili Yako

    Huyu mwamba ni legend kabisa wa masuala ya ushauri, biashara fedha na uchawi. Kwa upande wangu ndio role model wangu hapa JF Ila kwasasa ndugu yetu amebadilika sana. Haanzishi tena nyuzi za ukombozi wa vijana, uchawi na mambo ya nyota sikuhizi anahangaika na na nyuzi za ubunifu wa vifuu vya...
  8. Nasikitika, Mshana Jr amepoteza mvuto

    Huyu jamaa kwa kweli ni Guru, Ila siku za karibuni amepoteza kabisa mvuto na content pia. Nyuzi anazotuma zinakosa kabisa wachangiaji, kiasi kwamba kuanzia post ya kwanza hadi ya ishirini ni yeye mwenyewe amekuwa akizituma. Tangu ameacha uchawi, mambo yake mtandaoni yamemwendea mrama. Mzee...
  9. Mshana JR kuhusu ombi langu kwako

    Japo ni mida ya wanga na wengi wamelala ila walio macho shikamoonii Mshana Jr pengine muda huu umelala ila sio mbaya kutakucha na utaamka(uamke salama kabisa) Anyway nakumbuka niliomba mazungumzo binafsi nacwewe mkuu mshana(PM) na kwakuwa umefunga PM basi uliniahidi utanicheki na nimekuwa...
  10. Ubunifu wa ukumbi wa sherehe msituni;Tumuunge mkono mshana jr kwenye topics zake za ubunifu

    Huyu mshana ni kichwa sana mwisho wa mwaka akija kupewa tuzo ya content bora za ubunifu msije kuona kapendelewa tusimnyanyase tumpe maua yake aiseee. Kitambo sana sijapost kwa mwezi wote wa pili nilikuwa busy sana kuwabembeleza kuku wangu wanitagie na kutonoa mayai na kweli wamefanya hivohivo...
  11. JE ? MSHANA jr ALIACHA ULOZI KWA HIALI??

    Heri ya jumapili: Jana juzi bhn Kuna jamaa yangu alipata kesi kubwa hapa dsm sasa katika kuhangaika jamaa wakashauri twende Kwa msisi tanga tukaroge tuokoe jahazi safari ya watu watatu ukaanza tumefika handeni tunaelekezwa Kwa msisi kumbe ni ndani ndani kabsa...
  12. Picha hii ni special dedication kwa Mshana Jr, mwana JF nguli asiye na mfanowe

    Mr. Warthog is untouchable.
  13. B

    Nina shida na mshana jr

    Habar , naomba mshana jr uonapo uzi huu ni dm plz plz
  14. Je, Mshana yuko wapi?

    Ametoweka nyumbani toka mwezi wa pili tumetoa taarifa polisi ya hapa Los Angeles atakaemuona atoe taarifa kwenye mamlaka husika. Asanteni.
  15. Johnson Mshana ahukumiwa miaka 25 kifungo cha nje kwa kujaribu kuvunja gereza la Halden nchini Norway ili aingie ndani

    Johnson Mshana (28) amehukumiwa miaka 25 kifungo cha nje kwa kujaribu kuvunja gereza la Halden nchini Norway ili aingie ndani. Mshana ambaye aliachiwa huru mwezi mmoja ulipita kutoka gereza hilo baada ya kutumikia kifungo cha miaka mitatu kwa kosa la uharibifu wa mali kwa makusudi na pia kabla...
  16. Mshana Jr in Sweden

    Nigerian guy living in Sweden smartly married a Swedish lady, so as to be legally certified with resident permit, but the lady was not aware of this. He lied to the lady that he is from Kenya because of the bad reputation of Nigerians in that part of Sweden. After their wedding, the lady...
  17. W

    Namtafuta jamaa anaitwa Mshana Jr

    Namtafuta Sana Mshana Jr, nimejaribu kumcheki PM ila haikubali kutuma
  18. N

    Nani apewe maua yake kwa review kali za magari: Abel Shoo wa east cars, Dr. Mechanics, Mshana Jr au Samatimes

    Nani apewe maua yake kwa review kali za magari: Abel Shoo wa East cars, dr.Mechanics, Mshana jr, Samatimes
  19. Je, Geita ina fursa gani?

    Wakuu nataka kuja Geita vipi wakuu naweza pata mwangaza kidogo chocjote mtu anafamu? Aidha lodge bei nafuu, mishe nknk
  20. Vile ninavyohisi kuhusu member Mshana Jr

    1. Nahisi Mshana Jr ni huyo wa kwenye avatar. 2. Nahisi anafanya kazi ya kuhifadhi miili ya marehemu kwenye hospitali moja hapa mjini. 3. Nahisi ni mtu katili sana kwa maiti yaani kuna muda anazipiga makofi huku anafoka. 4. Sidhani kama panya wanakatiza karibu yake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…