Msemaji wa kijeshi wa kundi la M23, Willy Ngoma, ameuawa kwenye shambulio la ndege zisizo na rubani, katika eneo la Rubaya, wilayani Masisi- Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
Kwa mujibu wa BBC, ofisa mmoja wa kidiplomasia na ofisa mwengine mwandamizi wa kundi hilo la M23...