msamaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna mahali nimeharibu vibaya mno :( , sijui nifanyaje?

    Umeshawahi kufanya kosa na ukajishtukia mwenyewe kwamba hapa ulizingua? Ulideal vipi na hiyo hisia ya kuwa mkosaji na nafsi kukusuta baada ya kujua umemuumiza mtu unayempenda? Mwisho kabisa, ulifanya nini mpaka uliyemkosea akakusamehe na akasahau ule ubaya? Wajuaji msimalize pumzi zenu ...
  2. Ninawataka NIDA na INEC kuwaomba watanzania MSAMAHA

    Inawezekana Tulikua tunahisia tu lakini Sasa Mambo yako Wazi, Mambo yako Wazi. Polepole Leo amekiri na Hivo MADAI YA LISSU DHIDI YA WIZI WA KURA kupitia Servers za Tume ni ya KWELI NA YANA MASHIKO NA CHADEMA WAKO SAHIHI 100% KUZUIA UCHAGUZI BILA MABADILIKO. NIDA mmetukosea sana Watanzania...
  3. Mvumbuzi wa matangazo ya (Pop up ads) awaomba msamaha. " Sikuwa na lengo baya!".

    Ethan Zuckerman, mvumbuzi wa matangazo yanayoibuka (pop-up ads), hivi karibuni alieleza majuto yake kwa kubuni kipengele hiki kinachochukiwa sana tangu mwishoni mwa miaka ya 1990. Lengo lake lilikuwa kuwawezesha watangazaji kutangaza chapa zao bila kuhusiana moja kwa moja na maudhui ya kurasa...
  4. Mpenzi Wako Wa Zamani kaja kukuomba msamaha Utamsamehe?

    Ex wako kaja kuomba radhi juu ya Yale yote aliyokufanyia je utakuwa tayari kumsamehe na kumfungulia ukurasa mpya Ata kama utakuwa umeoa/kuolewa?
  5. S

    Kama Mungu yupo anapaswa kuniomba msamaha haraka sana.

    Milango bado ipo wazi kwake.
  6. Rais Mpya Ataomba Msamaha kwa Taifa – Kwa Moyo wa Toba na Upendo wa Kweli

    Great Thinkers Katika siku zijazo, historia ya taifa letu Tanzania itakumbwa na upepo wa toba na maridhiano ya kweli. Rais ajaye baada ya Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuomba msamaha wa hadhara kwa Wakristo na taifa zima, akianza na tukio zito lililotikisa dhamira ya uhuru wa...
  7. Kenya:Hivi polisi wanafikiria kuomba msamaha ni jambo rahisi wakishatenda

    Sio Kenya tu hata Tanzania ni jambo rahisi kukanusha mpaka waziri leo wa fedha kusema yale magunia yaliyo wekwa watu yenye chapa ya tanzania kuwa yalitupwa baharini. Hivi unawezaje kujibu majibu rahisi kama hayo. Sasa Kenya baada ya kuona mada imekuwa ngumu polisi anaomba msamahaa yani kesi...
  8. PreGE2025 POTOSHI Gazeti la Mwananchi limeandika 'Gwajima aomba rasmi msamaha'

  9. Wagonjwa 268,224 wapata msamaha wa matibabu wenye thamani ya shilingi bilioni 34 .7

    Kati ya Kipindi cha Mwezi Julai 2024 hadi Machi 2025, Serikali imetoa misahama ya matibabu ya afya yenye thamani ya Shilingi 34,720,233,085.28 kwa wagonjwa 268,224 wasio na uwezo wa kumudu gharama za matibabu. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama alipokuwa akiwasilisha...
  10. Baadae akishaacha Urais, Naye atakujaa na Kitabu chake cha maisha , Ndani ya Kitabu Ataomba MSAMAHA Kwa Matendo yake !!

    Et naye ataonyesha kujutia sana!!. Baadae akishaacha Urais, Naye atakujaa na Kitabu chake cha maisha , Ndani ya Kitabu Ataomba MSAMAHA Kwa Matendo yake !!
  11. Rais Museveni awaomba rasmi msamaha Waganda. Bado nyie CCM!

    Huyu mzee atakuwa ameona siku zake za kuishi sio nyingi sana duniani. Atakuwa amejua atakapoondoka watakaobaki watakuwa kwenye hali mbaya sana. Jana kwenye ibada maalum yeye na mke wake wamesoma speech maalum ya kuwaomba radhi Waganda kwa madhira waliyowafanyia na Chama chao. Rai yangu kwa CCM...
  12. Kama hili la Wakenya kujipanga kuwaomba msamaha Watanzani ni kweli, basi hilo ni tusi kubwa sana kwetu

    Leo mapema tu nikiwa natoka zangu Nakuru to Nairobi along the A104 highway (Nairobi-Nakuru Highway), nilipofika pale Kayole pande za Naivasha nikaona ninunue some drink and bites za kunipa company kwenye kasafi hako ambako si karefu ni kama Kanakaribia umbali wa Dar mpaka Moro. Nikaingia...
  13. Serikali yasema inatekeleza mikakati ya msamaha ya Dawa kwa Wagonjwa wenye changamoto ya Akili

    Serikali imesema inaendelea kutekeleza mkakati mahsusi wa kuhakikisha wagonjwa wa afya ya akili wanapata dawa bure au kwa gharama nafuu, kwa kuzingatia Sera ya Afya ya Mwaka 2007, sura ya 5, sehemu ya 4, ibara ya 1 hadi 3, inayotoa mwongozo wa utoaji wa huduma kwa watu wenye magonjwa ya muda...
  14. Sikati Tamaa, naenda tena ukweni kumuomba mama mkwe aniombee msamaha kwa mpenzi wangu

    Wiki iliyopita nilienda kwao lakini sikumkuta mama yake, nilimkuta yeye niliongea nae ila hakunielewa.. Sasa nataka kumface mama yake juu ya hili mana hata barua ya uchumba nilipeleka. Sitaki tuachane kwasababu tulifanya maagano ya damu na amevunja... Naomba ushauri niende au nikaushe
  15. Msamaha wa ushuru wa gari kwa mtumishi wa umma ni lazima uagize au hata gari za yard?

    Wakuu habari za weekend? Naomba uzoefu wa mada tajwa hapo juu kutoka kwa mtumishi aliyewahi kupata msamaha wa import duty au kutoka kwa wakala wa forodha mwenye uzoefu au aliyewahi ku deal na kesi kama hizo au ushuhuda wa aliyewahi kushuhudia msamaha. Je? Kwa mtumishi akitaka kununua gari toka...
  16. Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 4,887

    Katika kuadhimisha Miaka 61 ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu ametoa msamaha kwa wafungwa 4,887, ambapo wafungwa 42 kati yao wanaachiliwa huru leo, na wafungwa 4,845 wanabaki gerezani kumalizia sehemu ya kifungo kilichobakia baada ya kupewa msamaha. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya...
  17. C

    Jifunze kusamehe ili upate amani ya nafsi ila husisahau jambo ulio tendwa( forgive but don't forget)

    Hakuna Familia Kamili Hatuna wazazi kamili, nawe pia si mkamilifu, Hatuoi mtu mkamilifu wala hatuna watoto wakamilifu. Tunalalamikiana. Hatuwezi kuishi pamoja bila kukoseana. Mara nyingi tunavunjika moyo. Ndiyo, kwa sababu nyingi tofauti na nyakati tofauti, tunakatishwa tamaa na wenzetu...
  18. Kwa hiyo Mrisho Gambo, kuomba kwako MSAMAHA unakiri kua Umetoa Taarifa za Uongo Bungeni zenye chuki na kisasi dhidi ya Makonda na Mchengerwa?.

    Duuhh Gambo Gambo Gambo !!
  19. Lissu omba msamaha yaishe!

    1. Kuwa mstaarabu, usishupaze shingo, kiri uliteleza, omba msamaha yesheee. Angalau upate wabunge wawili upewe na ruzuku. Upunguze njaa maana hizi kelele sijui reforms ni njaa tu. 2. Wananchi wamegoma kuibiwa kupitia tonetone, wamechagua maendeleo ya kweli
  20. Kama mkeo aliekukosea haombi msamaha na siku zaenda, waweza jisemesha mambo yaendelee?

    Kwa mfano mmepishana kauli, mkeo akakupandishia sauti hivyo, we ukakasirika, lakini soku zaenda, mkeo haoni kama amekosea na wala haombi msamaha, anakula buyu kama wewe. Je utajisemesha tu mambo yaendelee kama zaman? Au utamwambia akuombe msamaha alikukosea? Au na wewe utakausha tu hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…