msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Nitumie app gani kudownload video kutokaa YouTube?

    Habari Ni App gani au link gani naweza kutumia ku download video toka YouTube? Mana karibu siku ya pili sasa site nyingi zinanigomea ku download videos toka YouTube
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Tulia Ackson akusanya waandishi wa habari ili kutoa msaada wa tani mbili za chakula kwa wasiojiweza

    Wakuu, Hivi kuna ulazima gani wa Tulia kwenda na media kila sehemu anapoenda kutoa misaada? Kwenye hii video anasema anaita vyombo vya habari kila anapotoa misaada ili awape motisha mwingine. Hivi kweli kuna mtanzania wa kawaida unayemjua ambaye ataenda kutoa misaada kwa sababu ya motivation...
  3. JamiiForums Tanzania Wapi wanauza baiskeli za design hii?

    Salaam, nikienda direct kwenye point nilikua nahitaji baiskeli ya kuchaji design kama hii, sio lazima iwe ivo ivo kama kwenye picha ila iwe ni ya kuchaji na unaweza ukanyonga na pedeli , nipo dar kwa anae uza au anafahamu wanapo uza anisaidie
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Ofisi za wanaoshughulika na ajira portal zipo sehemu gani kwa Dar es Salaam?

    Habarini wakuu naomba kuelekezwa sehemu ilipo office inayoshughulika na maswala ya mfumo wa ajiraportal Kwa hapa Dar es salaam maana nilijaribu kuwapigia simu ila sikupata utatuzi nahitaji kwenda direct ,Kwa yeyote anaefahamu walipo naomba kuelekezwa tafadhali
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wa taasisi mbalimbali zinazotoa misaada

    Wadau habari.mm ni mwenyekiti WA kitongoji aliyeshinda juzi kwenye Uchaguzi WA serikali za mitaa. Naombeni wadau mnielekeze taadisi mbali mbali za ndani na nje ya nchi ambao wanatoa misaada mbalimbali kwenye jamii mfano watoto yatima,walemavu,wazeee,elimu ya ujasiriamali na vinginevyo.asane
  6. JamiiForums Tanzania Kuwa mwanga mahali penye giza, tumaini mahali penye shaka na nguvu mahali panapohitajika msaada kila hatua yako ina maana

    Kuwa mwanga mahali penye giza, tumaini mahali penye shaka na nguvu mahali panapohitajika msaada kila hatua yako ina maana.
  7. JamiiForums Tanzania uzi maalum kwa wale wenye shida mbalimbali wanaohitaji msaada au ushauri tunduizi

    nimefungua uzi huu kwa lengo la kutaka kusaidia watanzania wenzangu kwa namna moja au nyingine wale wanaopitia changamoto mbalimbali kwenye maisha na kwamba wanahitaji ushauri au msaada wa aina flani ili kuweza kutatua changamoto hizo. Kwa wale ambao wataguswa na changamoto za mtu yoyote pia...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Mbeya Vijijini kata ya Iwiji umeme unakatika mara kwa mara, mafundi wakija kutengeneza wanadai malipo kutoka kwa wananchi

    Mkoa wa Mbeya, wilaya ya Mbeya Vijijini, kata ya Iwiji baadhi ya vitongoji tuna tuna umeme wa REA, ambao umekuwa kero kubwa kwetu kwani hukatika mara kwa mara. Muda mwingine hata ndani ya dakika 5 unaweza kata na kurudi mara mbili, bila kuambiwa chanzo ni nini. Pia inapotokea kuna shida...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata changamoto kwenye simu yangu. Naombeni msaada wataalam

    Kuna hako ka Pembe tatu karibu na Bar za Network naomben Kujua zinamaanisha nn maana nimejaribu kuzitoa nimeahindwa Nina wasiwasi isijeikawa wameni track
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Sijalipwa malipo yangu ya Vita ya Kagera, kila nikifuatilia naambiwa hakuna anayedai

    Nikirejea tamko la Waziri wa Ulinzi katika Bunge la Tanzania tarehe 13 -06-2024, siku ya Alhamisi. Bunge la 12 kikao cha 15. Taarifa ya Waziri ya Ulinzi katika taarifa yake moja ni wanajeshi wote waliopigana katika vita vya Kagera wote wameishalipwa. CPL NGUSSA GULINJA 692 DET ni mmoja wa...
  11. JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kupata kazi kwa juhudi zangu. Naombeni msaada wenu

    Kiukweli nimepambana lakini naona pekee yangu siwezi naombeni msaada watanzania wenzangu. Elimu yangu ni kidato cha nne ninae jitambua na mpambanaji kweli. Licha ya hapo nina elimu ya heavy machine operator nimedeal hasa na excavator, wheelloader pamoja na lloler au compactor hizo fani nina...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wa vyuo vinavyotoa kozi fupi za komputa na ada zake

    Habari Wana JF, Ninaomba mnisaidie kwa anayejuwa VYUO VINAVYOTOA SHORT COURSE YA COMPUTER NA ADA ZAKE.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki wabichi kusafirisha mikoani kwa mwenyeji wa Kigoma ikoje ? Msaada wa mawazo

    Naomba kujuan changamoto za biashara ya samaki wabichi kuwatoa Kigoma kwenda mikoani ushauri zaidi jinsi ya kufanya hii biashara.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Tabora kwenda Mbeya Kuna lami?

    Natoka Mwanza kwenda Mbeya, Kwa private drive. Wenyeji wa njia ya Tabora kwenda Mbeya Kuna lami? Wanafamilia msaada kwenye tuta.
  15. JamiiForums Tanzania Msaada wa kunlock airtel zlt M30 pocket MiFi

    Mwenye kujua namna ya kunlock hiyo MiFi anisaidie
  16. L

    JamiiForums Tanzania Nipepo au ni uraibu? Anaomba msaada

    Salaam wanajukwaa. Jamaa yangu amepatwa na tatizo ambalo yeye mwenyewe halielewi na hata Mimi aliyenisimulia nimeshindwa kumuelewa ndomana nimelileta kwenu. Iko hivi, huyu rafiki ni mtumishi wa umma kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Pamoja na mshahara anaopata anajitahidi kupambana nje yakazi na...
  17. JamiiForums Tanzania Nani anajua nauli ya kutoka Kigamboni mpaka Kisiju

    Nimepata dhalura Kesho ahsubui natakiwa kwenda kisiju na alienipia maelekezo hapajui Ila nikifika bodaboda Toyote anapajua. Sasa nani anajua nauli ya kutoka pale mkuranga mpaka kisiju anisaidie Ni issue muhimu sana Nimefanikiwa
  18. JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Ushauri, Kazi, Mtaji, au Vifaa vya Kusikilizia

    Habari wanajamii, Naitwa Allen, Samahani Kwa usumbufu, natambua mna mambo mengi ya kufanya ila kwa MDA wako umeamua kupitia Uzi huu🙏🏿, Napitia changamoto ya Usikivu hafifu Kwa takribani miaka mitano (5) hali ambayo imeathiri sana maisha yangu ya kila siku. Nimezunguka HOSPITALI tatu (3)...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta lori linalosafirisha mizigo kutoka Masasi kwenda Dar

    Habari wakuu Naomba msaada wa lori linalosafirisha mizigo kutoka Masasi kwenda Dar. Nina mizigo ninahama nahitaji kuisafirisha, anayejua hayo malori naomba msaada kwa sasa mimi nipo Dodoma.
  20. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu fixed account

    Habari za muda huu wakuu, Mimi ni kijana kama vijana wengine wapambanaji,ila changamoto nayopata kuhusu uhifadhi wa pesa ni kubwa mno. Nimefungua akaunti benki kadhaa ila nikipata shida kidogo naenda kutoa pesa achilia mbali makato yao hii hali inanifanya pia nitimize malengo kwa muda mrefu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…