mpya

  1. JamiiForums Tanzania Mtazamo;Unapoingia mwaka mpya na kutimiza miaka kadhaa unatakiwa usikitike na kutafakari nyakati zako na sio kusherekea......

    Habari za muda huu waungwana..... Mimi nadhani maisha ya kiumbe mwanadamu hapa duniani yamekuja mfano wa simu iliyojaa chaji na kutolewa kwenye chaji pindi anapozaliwa kutoka tumboni kwa mama yake....... Na chaji hutumika na kupungua kwa kadri anavyoziiishi nyakati zake hapa duniani.....na...
  2. JamiiForums Tanzania Mwaka mpya uswazi

    Leo mimi na mke wangu mkubwa,tuliamua kuupokea mwaka 2025 kwenye baa moja hapa mwanza uswazi,kwakuwa hatukuwa na kipato cha kutosha.Tumekunywa bia za Tanzania na kuku wa kienyeji na tumefurahi sana,tukampigia simu mke wangu mdogo ambae yuko nje ya nchi na watoto wetu pia wote tukaongea...
  3. JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya 2025

    Wapendwa Wana Jukwaa letu pendwa, salaam. Sisi familia ya Advocate Gwajima, tunawashukuru sana kwa ushirikiano wenu na upendo wenu kipindi chote cha mwaka 2024. Tunawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2025 na Baraka tele mwanzo hadi mwisho wa mwaka huu. Tunawaombea na kuwatakia Upendo, Furaha na Amani...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mliozaliwa 1965, 1975, 1985, 1995, 2005 huu ndio mwaka wenu wa kupanda ghorofa / floor mpya

    2005 - second floor, mmekuwa teenagers tangu 13 (thir-teen) hadi 19 (nine-teen), karibuni 20s 1995 - karibu ghorofa ya tatu, najua umestuka sana jinsi miaka ilivyoenda speed, 1985 - 4 th Floor, ujana kwaheri japo mtaufosi 1975 - 5th floor, hongera umeishi nusu karne 1965 - 6 th Floor, Anza...
  5. JamiiForums Tanzania Dakika 13 za kwanza za mwaka mpya kwa ajili ya Maombi ya ushindi kwa Tundu Lissu

    Mungu aifanye roho ya Freeman Mbowe kuwa yenye kuridhika - Mungu anapomuinua Tundu Lissu aifanye njia yake ya uongozi kuzingatia:- * Kutozidisha miaka 10 katika uongozi huo; * Kuamini kuwa mbali yake wapo wafuasi wengi wenye uwezo wa kuongoza taasisi hiyo; * Afahamu kuwa taasisi hiyo siyo ya...
  6. JamiiForums Tanzania Heri ya mwaka mpya 2025

    πŸŽ‡πŸŽ†πŸŽ‡πŸŽ† Heri ya mwaka mpya, Napenda kuwatakia heri ya mwaka mpya 2025 kwa uongozi wote wa JamiiForums na members wote wa JamiiForums mkawe na mafanikio mema 2025, Mungu awajazie pale palipo pungua. Mapambano lazima yaendelee πŸ›‘οΈβš”οΈ. Muwe na mafanikio mema 2025. πŸŽ†πŸŽ‰β™₯️🧨🎈β™₯οΈπŸŽŠπŸŽ‡ πŸŽ‡πŸŽŠβ™₯️KARIBUβ™₯οΈπŸŽ‰πŸŽ† πŸŽ†πŸŽ‰β™₯️ 2025...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo sitaki nifanye mwaka huu mpya (baadhi nilihaidi sitafanya ila nikafanya)

    1.punyeto 2.uvivu 3.kutoa bikra 4.mademu chuma ulete 5.stress i will live the way i want 6.pombe 7.kucare watu N.k Sema yako
  8. JamiiForums Tanzania Sisi Wasabato tunasherehekea Mwaka Mpya saa kumi na mbili jioni

    Sisi tunaangalia mwaka wa Biblia sio mwaka wa kidunia. Ikawa asubuhi ikawa jioni siku mpya. Kwenye biblia hamna ikawa asububi ikawa usiku siku mpya. Hayo ya Usiku ni mambo ya Kidunia Heri ya Mwaka mpya 2025
  9. JamiiForums Tanzania FANYENI MAPENZI SALAMA LEO MWISHO WA MWAKA HUU2024 , ILI KUANZA MWAKA MPYA 2025 KESHO BILA UTI, GONORRHEA, KASWENDE AU UKIMWI.

    Anza mwaka mpya 2025 ukiwa na furaha ya afya njema na sio kuchota maradhi kwa ngono zembe. Jizuie na ngono nzembe kuepuka magonjwa ya zinaa ya fedheha kama vile UTI Sugu, gono, kaswende au ukimwi. kwa wewe mwenye UTI au gono, jitibu kwanza na umalize dozi, acha kuambukiza wengine kwa tamaa na...
  10. JamiiForums Tanzania Nawatakia wana JamiiForums heri na baraka ya mwaka mpya 2025!

    Nawatakia wana JamiiForums na Management, heri na baraka za mwaka mpya 2025! Mwaka huu uwe wa mafanikio, furaha, na amani kwa kila mmoja wetu. Ninawaomba uongozi wa JamiiForums iendelee kutunza siri za wateja. Ni muhimu kwa usalama na faragha yetu sote. Tafadhali hakikisheni kuwa taarifa...
  11. JamiiForums Tanzania Nawatakia wana JamiiForums wote heri ya mwaka mpya 2025

    Kwa heshima na taadhima, nichukue nafasi hii ya kipekee kuushukuru uongozi mzima wa jamii forums, wafanyakazi wake wote, na pia wana JamiiForums wenzangu kwa kuwa pamoja kwa mwaka wote huu wa 2024. Natambua fika tumepitia mengi ndani ya mwaka wote huu. Wako ndugu na jamaa zetu wengi kwa namna...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mwaka mpya na mambo mapya JF: Nitawa-unblock wote niliowa-block nikitegemea nao watabadilika na kuwa waungwana katika maandiko yao JF

    Nina list ndefu. Tuanze 2025 na UUNGWANA zaidi katika kuwasilisha mada zetu na kujibu mada za wengine kiungwana bila matusi, dharau and the like. 2025 MOTTO: USICHOPENDA KUTENDEWA USIMTENDEE MWENZAKO. BY THAT PRINCIPLE, KILA MMOJA WETU AKIISHIKA, TUTAKUWA WATU WEMA THROUGHT 2025. Nawatakia...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mpango wa mwaka mpya 2025 na afya Bora

    Habari Ndugu wa Jf, Chukua yatakayokufaa kuhusu Mpango wa mwaka mpya 2025 na afya Bora Utangulizi Msimu wa sikukuu ni wakati wa sherehe, lakini pia unaweza kusababisha kula kupita kiasi na kupata uzito Kupita kiasi. Tunapojiandaa kuukaribisha mwaka mpya 2025, azimio la kuweka afya na ustawi...
  14. JamiiForums Tanzania Waarabu weusi wapinga Sheria mpya ya Ndoa huko Nchini Morocco, wapandisha sukari

    Amani kwenu wana jukwaa Nchini Morocco kumetungwa Sheria mpya ya NDOA ambayo kwa waislam weusi wa TANZANIA wanadai inakinzana na utamadun wa kiarabu yaan wa kiislamu Bunge la Morocco limepiga marufuku Binti wa umri wa chin ya miaka 18 kuolewa na ukimuoa unafia jela Lakini pia ni marufuku...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nyota Mpya ya Tanzania: Rais Samia Hassan aongoza Mageuzi ya Kiuchumi

    Tanzania, ambayo kwa muda mrefu imeonekana kama moja ya nchi zenye viwango vya juu vya kiuchumi katika Afrika Mashariki, sasa inavuma kwa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Tangu kuchukua madaraka mnamo Machi 2021, Rais Samia amejitokeza kama mtu wa mageuzi, akiiongoza nchi kuelekea utulivu...
  16. JamiiForums Tanzania BOT wameacha Kutoa sarafu mpya Ili ziingie katika mzunguko hili linamaana gani kiuchumi?

    Wataalamu wa uchumi mkuje mutuelezee Kwa sababu gani Bank kuu wameacha Kutoa sarafu mpya Yani 50, 100 na 200 na kufanya ziadimike katika mzunguko wa biashara Ni kwamba Kuna ishu yoyote ya kiuchumi imewalazimu kufanya hivi au Kuna kigogo tu Fulani ameshiba ugali wake na maharage akasema sitaki...
  17. S

    JamiiForums Tanzania kwani TCRA hawawezi kuangalia namna ya kuzuia namba mpya kutuma ujumbe kwenye namba ambayo haijawahi kuwasiliana nayo??

    Kumekuwa na hili swala la kupokea sms mfululizo kutoka kwa namba zisizojulikana, yaani ukikaa kidogo utaona mara "iyo hela tuma kwa namba hii" mara "mzee nani nani anatibu mvuto, pete ya nini sijui" hujakaa sawa mara "jiunge na chama chetu" mara " mimi mwenye nyumba wako" na nyingine nyingi...
  18. JamiiForums Tanzania Pwani: CHADEMA waendelea na Ujenzi wa Ofisi mpya, watoa wito kwa Wanachama kuchangia

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Pwani kimeanza kwa kasi utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa ofisi ya chama hicho, ambao sasa uko katika hatua za msingi na unaendelea vizuri. Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi, Baraka Nandonde, amethibitisha kuwa mafundi wameshaingia eneo la mradi...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Shinyanga watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu kwenye Uchaguzi mkuu wa chama hicho

    Wakuu, Uchaguzi wa ndani ya CHADEMA umeendelea kupamba moto ======================================== Wajumbe wa mkutano mkuu wa taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mkoa wa Shinyanga wamesema watamuunga mkono Tundu Lisu ambaye ametangaza kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa...
  20. JamiiForums Tanzania Gharama za Dialisisi zapungua: Mashine mpya SWS 6000 zawezesha unafuu kwa wagonjwa wa Figo

    Ili kukabiliana na gharama kubwa ya huduma ya dialisisi kwa wagonjwa wa figo, Serikali imeingiza nchini mashine mpya aina ya SWS 6000 ambazo zimewezesha zishuke kutoka Sh250,000 mpaka Sh150,000. Mashine hizo moja ina thamani ya Sh31.76 milioni ambazo tayari zimefungwa katika hospitali za rufaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…