mpya

  1. JamiiForums Tanzania Mwezi Mpya, Nafasi Mpya za Kuimarika!

    Anza kidogo, lakini anza kwa akili. Kila hatua unayochukua leo inaweza kubadilisha kesho ya mradi wako wa kuku. Usifuge kwa kubahatisha tena - Fuga App inakupa taarifa sahihi, ratiba za lishe, gharama, na kumbusho za chanjo ili kufuga kwa faida. → Mwezi huu, fanya uamuzi wa kukuza mradi wako...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wimbo Mpya wa Nandy wafutwa Youtube na Mr. Tonge Nyama

    Staa wa Bongo Fleva Nandy ameeleza kwa uchungu kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya msanii anayejiita Mr Tonge Nyama kudai kuwa ametumiwa jina lake bila ridhaa kwenye kazi ya muziki ya Nandy na kuishusha YouTube Mr Tonge Nyama anadaiwa kutaka alipwe kiasi cha shilingi milioni 200 za...
  3. N

    JamiiForums Tanzania App mpya

    SETNET Sisi ni vijana wa Kitanzania tulioamua kuanzisha app ya kisasa kwa nia ya kuwa na jukwaa la kijamii, kibiashara, kielimu na kiburudani linalotoka Tanzania, kwa ajili ya Watanzania na dunia nzima. SETNET ni app ya kizalendo inayochanganya huduma nyingi maarufu kwenye app moja ili...
  4. JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa nahodha mpya Simba Sports Club?

    Kufuatia kuondoka kwa Mohamed Hussein Tshabalala pale Simba nafasi ya captain imebaki wazi. Taja jina la mchezaji anayefaa kuwa nahodha mpya wa Simba
  5. JamiiForums Tanzania LATRA yatangaza njia mpya za Daladala ikiwemo ya kupitia Makongo Juu

    Siku chache baada ya Mwananchi kutoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kuhusu njia ya Makongo Juu kuwa na uhaba wa Daladala mamlaka hiyo imetoa mwongozo ukiwataka Wadau kujitokeza kuongeza huduma ya usafiri katika njia hiyo. Taarifa ya LATRA imeeleza "Katika hatua ya...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi hapa ndizo jezi mpya za simba msimu huu unaoanza 2025

    Kazi kwenu wachawi toka utoporo
  7. D

    JamiiForums Tanzania Victor Tesha – Kiongozi Mpya Kwa Moshi Vijijini | Maono, Uaminifu na Uwezo

    UJUMBE: Wana-Moshi Vijijini, Mwaka huu tunakutana tena kwenye fursa ya kipekee ya kuchagua kiongozi atakayeliongoza jimbo letu kuelekea maendeleo ya kweli, ushirikishwaji wa wananchi, na uongozi wa kisasa usioegemea siasa za maneno matupu. Moja ya majina makubwa yanayosisimua mioyo ya vijana...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Yanayojiriri katika vita mpya ya Thailand na Cambodia

    Haya wabongo mnavyopenda vita za nchi nyingine Tumeletewa mgogoro mwingine mpya kati ya Thailand na Cambodia Tujuane sasa nani mthailandi wa bonyokwa na mkambodia wa kisesa....
  9. JamiiForums Tanzania Mmejiandaaje na bei mpya ya vifurushi vya Azam Tv?

    Wapenda kandanda na tamthilia za kutafsiri kutokea king’amuzi cha Azam Tv mmejiandaaje na bei mpya za vifurushi? Tetesi ni kuwa bei mpya zinakuja mwezi Septemba.
  10. JamiiForums Tanzania Angetulia, nahisi angekumbukwa na wengi kwa kutuletea Katiba Mpya na zile 4R zake (kama angetimiza)

    Sioni sababu ya kuwasalimia kinafki wakati maisha yamekuwa magumu sana. Hakuna haki wala hakuna uhuru wa kukosoa wala wakujieleza. Hivi kwani angepungukiwa na nini kama angetuachia katiba mpya,wakati hakuwa na deni lolote akiwa kama ndiye top kwa kukaimu nafasi ambayo hana deni nayo kwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Missile Mpya Ya Iran Harmshaher 5

    Habari ya mjini ndio hio hio Missile inaitwa Harmshaher 5 inafika California bila wasi wasi wowote kwa hio USA asilete ujinga tena. Hio Missile Ina range ya 12,000 KM ni Intercontinental Missile. Warhead yake ni 2 ton na yenye speed of Mach 16 times faster than the speed of sound hakuna air...
  12. JamiiForums Tanzania Paradigm Mpya ya Uchumi: Kuibua Faida Kubwa Kutoka kwenye Mtaji Mdogo – Dhana, Mbinu na Hesabu za Kiuchumi za Mafanikio ya Kibiashara

    Katika ulimwengu wa biashara za kisasa, dhana kwamba "mtaji mdogo hauwezi kuzalisha faida kubwa" ni kasumba ya kifikra inayotakiwa kuondolewa. Katika tafsiri ya kiuchumi, mtaji (capital) si lazima uwe mkubwa ili kuzalisha thamani; bali ni uwekezaji wenye tija (productive allocation of resources)...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Neema mpya Arusha! Wananchi kicheko

    Mikopo ya 10% 👇🏽 Chini ya Rais Samia Mikopo ya 10% kwa vijana, wanawake na walemavu Arusha imeongezeka kutoka TZS 3.08bn (2021) hadi TZS 13.55bn (2025), ikinufaisha zaidi ya vikundi 1,380 na kuinua maisha yao kiuchumi. Arusha OKTOBA Tunatiki ✅
  14. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Jacobs amesema Sheria 2 mpya zimeketa mabadiliko. Ila naona bado hazijakaa sawa

    MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, amesema sheria mpya mbili za uchaguzi zimeanzisha mabadiliko muhimu, yakiwemo kuruhusu wapiga kura waliojiandikisha kupiga kura ya Rais nje ya vituo vyao vya kawaida, pamoja na kuweka utaratibu wa uchaguzi...
  15. JamiiForums Tanzania Huyu Kocha Mpya wa Yanga-Folz , hafikishi Christmas ya Mwaka huu 2025

    Huu uzi utunzwe. Sababu ni umri mdogo sana, sio rahisi aweze kuhimili pressure kubwa ya mpira wa Tanzania. Na hana mafanikio yoyote kimpira. Labda kama Uto wamemleta kwa majaribio. Hatoboi popote. Ibenge na Faldu watamnyoa mapema sana! Utopolo watamfukuza.
  16. JamiiForums Tanzania "Hiyo hela itume kwenye namba hii mpya: +252 799 80090011"

    "Hiyo hela itume kwenye namba hii mpya: +252 799 80090011, jina litakuja: Chaelmi Majuu. Simu yangu ya kawaida inadaiwa." Ukipokea meseji zenye ujumbe kama huo, usikasirike, usimtukane aliyekutumia, wala usifanye haraka kum-block. Mhubiri Injili. Mwambie: "Je, kuna faida gani ukiyapata mapesa...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Mkuu Masaju ndio atamuapisha Rais Dr SSH kuongoza tena 2025-2030

    Endeleen kupiga makelele ya Wagombea wawe watatu, Mmoja au wawili ila ni Mheshimiwa Jaji Mkuu Masaju atakayemuapusha Mheshimiwa Dr SSH kuwa Rais wa JMT 2025-2030 baada ya ushindi mnono. Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable FaizaFoxy Mpwayungu Village
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Story yangu na dem mpya wa msanii nusu nimle 2022

    Basi bwana mimi boss ashampoo 2022 nilikuwa napenda sana kutoka kila week kuanziia jmosi hadi jpili sometimes nikiwa na hela naanzia jpili Basi nilikuwa nakaa enzi hizo makumbusho apartment fulani sasa kuna hiyo company yangu fulani wao walikuwa wanakuja kwangu siku ya jumapili saa...
  19. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ndio sehemu pekee ambayo mwanaume anauziwa product used kwa bei ghali. Used corolla inauzwa bei ya benz mpya na mteja halalamiki

    Pia biblia imeandika Mungu aliwasamehe makahaba. Ila lilipokuja swala la kuchagua Mama wa mwanae alimchagua mwanamke bikira anaitwa Maria. Hakuchagua used
  20. JamiiForums Tanzania Jacob Massawe asaini mkataba mpya Namungo FC

    Jacob Massawe 33, nahodha wa Namungo Fc ya Ruangwa , Lindi amesaini mkataba wa mwaka mmoja kusalia klabuni hapo. Mkongwe huyu amehudumu kwa muda sasa kwenye ligi kuu huku akiwa na kiwango kilekile. Nahodha huyu wa Namungo ananikumbusha nahodha wa zamani wa Kagera Sugar, George Kavila ambaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…