mpox

Monkeypox, also known as mpox, is an infectious viral disease that can occur in humans and some other animals. Symptoms include fever, swollen lymph nodes, and a rash that forms blisters and then crusts over. The time from exposure to onset of symptoms ranges from five to twenty-one days. The duration of symptoms is typically two to four weeks. There may be mild symptoms, and it may occur without any symptoms being apparent. The classic presentation of fever and muscle pains, followed by swollen glands, with lesions all at the same stage, has not been found to be common to all outbreaks. Cases may be severe, especially in children, pregnant women or people with suppressed immune systems.The disease is caused by the monkeypox virus, a zoonotic virus in the genus Orthopoxvirus. The variola virus, the causative agent of smallpox, is also in this genus. Of the two types in humans, clade II (formerly West African clade) causes a less severe disease than the Central African (Congo basin) type. It may spread from infected animals by handling infected meat or via bites or scratches. Human-to-human transmission can occur through exposure to infected body fluids or contaminated objects, by small droplets, and possibly through the airborne route. People can spread the virus from the onset of symptoms until all the lesions have scabbed and fallen off; with some evidence of spread for more than a week after lesions have crusted. Diagnosis can be confirmed by testing a lesion for the virus's DNA.There is no known cure. A study in 1988 found that the smallpox vaccine was around 85% protective in preventing infection in close contacts and in lessening the severity of the disease. A newer smallpox and monkeypox vaccine based on modified vaccinia Ankara has been approved, but with limited availability. Other measures include regular hand washing and avoiding sick people and animals. Antiviral drugs, cidofovir and tecovirimat, vaccinia immune globulin and the smallpox vaccine may be used during outbreaks. The illness is usually mild and most of those infected will recover within a few weeks without treatment. Estimates of the risk of death vary from 1% to 10%, although few deaths as a consequence of monkeypox have been recorded since 2017.Several species of mammals are suspected to act as a natural reservoir of the virus. Although it was once thought to be uncommon in humans, the quantity and severity of outbreaks has significantly increased since the 1980s, possibly as a result of waning immunity since the stopping of routine smallpox vaccination. The first cases in humans were found in 1970 in the Democratic Republic of the Congo (DRC). There have been sporadic cases in Central and West Africa, and it is endemic in the DRC. The 2022 monkeypox outbreak represents the first incidence of widespread community transmission outside of Africa, which was initially identified in the United Kingdom in May 2022, with subsequent cases confirmed in at least 74 countries in all continents except Antarctica. On 23 July 2022, the World Health Organization (WHO) declared the outbreak a Public Health Emergency of International Concern (PHEIC) with more than 53,000 reported cases in 75 countries and territories.

View More On Wikipedia.org
  1. Hospitali ya Rufaa na Mafunzo ya Moi iliyoko Eldoret imethibitisha kisa kimoja cha ugonjwa wa mpox kwa mtoto mchanga

    Hospitali ya Rufaa na Mafunzo ya Moi iliyoko Eldoret imethibitisha kisa kimoja cha ugonjwa wa mpox kwa mtoto mchanga; imewashauri wafanyakazi wake kuwa waangalifu ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa huo. =================== Moi Teaching and Referral Hospital in Eldoret confirms one case of mpox from...
  2. Ugonjwa wa Mpox watua nchini Kenya. Kesi 226 zaripotiwa

    Wakuu, Ugonjwa wa Mpox wasambaa Magharibi mwa Kenya Kaunti za Busia, Bungoma na Kakamega zimeathiriwa na mlipuko wa ugonjwa wa Mpox, unaosababishwa na virusi. Busia ni ya pili kwa athari nchini Kenya, ikiwa na maambukizi 56 yaliyothibitishwa, wagonjwa wawili wamelazwa, wanane wanatibiwa...
  3. Gambia yaripoti mlipuko wa ugonjwa wa Mpox

    Gambia imeripoti mlipuko wa ugonjwa wa mpox baada ya kugunduliwa kisa kimoja kupitia mfumo wa uchunguzi wa kawaida. Ugonjwa huo, ambao ni dharura ya afya ya kimataifa, unazidi kuenea katika nchi za Afrika Magharibi. Wizara ya Afya ya Gambia imesema kuwa kugundulika kwa kisa hiki katika nchi...
  4. H

    Jambo muhimu ambalo sehemu kubwa ya jamaa haifahamu kuhusu ugonjwa wa MPOX

    Ugonjwa wa MPOX unaenezwa kwa njia ya ngono. Hii siyo njia pekee isipokuwa kwa kiasi kikubwa watu wazima wanapata ugonjwa huu katika mchakato wa ngono au tendo la ngono lenyewe. Vimelea hukaa katika majimaji ya mwili (ute wa mwanamke, mbegu za mwanaume, damu, mate n.k) wa binadamu au mnyama...
  5. Watu 17 wanadhaniwa kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya nyani (MPOX) mkoani Mara

    Watu 17 wanadhaniwa kuwa maambukizi ya ugonjwa wa homa ya nyani (MPOX) mkoani mara, Akizungumzia suala hilo Mganga Mkuu wa Mkoa Zabron Masatu, amesema tayari watu hao wako katika vituo vya afya kwa uangalizi pamoja na sampuli zao kuchukuliwa na kupelekwa kwa Mkemia Mkuu kwa ajili ya uchunguzi...
  6. UCHAMBUZI: G55 (Mpox) wana hoja dhaifu, mtazamo usioeleweka na mikakati ya duni dhidi ya CHADEMA

    Mwanzoni nilidhani labda ni hisia zangu lakini baada ya kuwasikiliza nikagundua nilikuwa sahihi kwa 100% kuhusu kundi la watia nia wa ubunge 55 kupitia CHADEMA maarufu kama G55 ama Mpox ambao wameamua kuja kinyume na msimamo wa Chama chao kuhusu agenda ya No reform, No election. Hapa chini ni...
  7. Afisa afya Makete: Wananchi acheni kula ngedere na nyani mtaambukizwa Mpox

    Wananchi wilayani Makete mkoani Njombe wametakiwa kuepuka tabia ya kusalimiana kwa kushikana mikono sambamba na kuacha kutumia vitoweo vya wanyama kama Nyani pamoja na Ngedere ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Mpox. Kauli hiyo imetolewa na Afisa afya halmashauri ya wilaya ya Makete na...
  8. PreGE2025 CHADEMA wadai kauli ya Makalla inafukuza Watalii, wataka gazeti la Habari Leo wafunguliwe kesi

    John Heche awa Mbogo kuhusu Makalla kudai CHADEMA italeta Mpox na Ebola, 'Ni mjinga na mhujumu uchumi' ataka Habari Leo wafunguliwe kesi Soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!
  9. P

    PreGE2025 Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!

    wakuu, hata kama ni ndio kuchafuana ili washinde uchaguzi this is too much. Makalla anatakiwa kuchuliwa hatua mara moja, hapa anaongelea usalama wa nchi, kurusha tuhuma nzito kama hizi kwa CHADEMA bila ushahidi ni hatari. Hili si jambo la kuchekewa kwa vyombo vya usalama wala msajili wa vyama...
  10. I

    PreGE2025 CHADEMA, Kuleta Mpox na EbolaUkweli, Propaganda au Vita vya Kisaikolojia?

    CHADEMA, Kuleta Mpox na Ebola Ukweli, Propaganda au Vita vya Kisaikolojia? Baada ya Kuisikia Kauli Ya Kiongozi katibu Itikadii Unezi wa @ccm_tanzania Taifa Dhidi ya @ChademaTz Kwamba CDM Wanampango wa kufanya Biological attack dhidi ya Watanzania. Niilijiuliza maswaliMengi sanaa Haswa Ya...
  11. Makalla unajidharaulisha sana na siasa zako za mwaka 47, Mpox na Ebola tena?

    CPA Makala anasema chadema wanakusanya pesa za kununua virusi🦠 vya ebola na MPOX Ili uchaguzi usifanyike. Sasa Makala hizo siasa zako nani anakuelewa? Unaongea na population ambayo nusu yake ni vijana wameenda shule na wanaweza ku reason properly. Ulichosema ni kujiaibisha, kukosa agenda na...
  12. Serikali Yatoa Onyo: Hakuna atakayevumiliwa kwa kuficha Mgonjwa wa Mpox, wakiwemo waganga wa kienyeji

    Mkoa wa Tabora umeanzisha oparesheni maalamu ya kukabiliana na ugonjwa wa mlipuko wa mpox kwa kuandaa vituo tengefu kwenye Hospitali za Wilaya zote za mkoa huo pamoja na vituo vya afya ili kuwahudumia kwa kina wagonjwa wa mlipuko huo endapo watabainika, huku wataalamu wa afya ngazi ya mkoa...
  13. Tupeane taarifa juu ya hali ya homa/ugonjwa wa pox, iwe taarfa ya kuuona mgonjwa au kama wew mgonjwa kuna watu bado wanazani ni tetesi

    Homa ya Mpox (Monkeypox) ni ugonjwa wa virusi unaosababishwa na virusi vya Monkeypox. Ugonjwa huu unafanana na smallpox, lakini kwa kawaida ni wa wastani na hujumuisha dalili kama vile homa, maumivu ya kichwa, uchovu, na vidonda kwenye ngozi. Virusi vya monkeypox vinaenezwa kupitia kwa kugusa...
  14. Daktari aonya madada poa hatarini kuwa na MPOX

    Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani nchini (mpox), Daktari Godfrey Mtunzi Kutoka Manispaa ya Iringa Amesema Makundi ya Watu waliopo hatarini kupata Ugonjwa wa Mpox Ni Madada Poa Wazee Watoto na Wasafiri na kushauri wawe makini kuweza kujikinga na ugonjwa Huu wa mpox.
  15. Iringa: Wawili wahofiwa kuwa na MPox, Daktari atoa tahadhari

    Wizara ya Afya Tanzania ingetoa takwimu za ukweli watu wakachukua tahadhari kuliko kusema kuna watu wawili halafu watu wanaibuka kutoka sehemu mbalimbali wakiwa wanaumwa na kupika kauli hiyo. == Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani nchini (mpox), Daktari Godfrey Mtunzi Kutoka Manispaa...
  16. Wizara ya Afya yathibitisha uwepo wa wagonjwa wawili wa Mpox nchini

    Wakuu, Ila kwenye ile video jamaa alisema wapo wengi hapo hospitali, serikali inasema watu 2!🤔🤔 Pia soma: Huu ni ugonjwa gani? Wizara ya Afya semeni kitu ===== TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UGONJWA WA MPOX NCHINI Tarehe: 10 Machi, 2025, DODOMA Mnamo tarehe 7 Machi, 2025 Wizara ya Afya kupitia...
  17. DOKEZO Responded Huu ni ugonjwa gani? Wizara ya Afya semeni kitu

    Wakuu, Kuna hii video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii, huyo jamaa anasema wako katika hospitali maeneo ya kipawa majani ya chai. Ambako yeye na wengine wanaumwa ugonjwa kama huo wametengwa, hawaruhusiwi kuonana na watu. Kuna ka ujumbe kanapita kanasema tuache kupeana mikono hovyo, maana...
  18. Vifo kutokana Mpox Vyafikia 10 Nchini Uganda

    Idadi ya vifo vilivyothibitishwa na maabara vya ugonjwa wa mpox nchini Uganda imepanda hadi 10 baada ya vifo vinne kusajiliwa katika siku tano zilizopita, kulingana na mamlaka. Katika ripoti ya sasisho la hali iliyotolewa siku ya Jumatatu, Wizara ya Afya ya Uganda ilisema angalau maambukizo...
  19. Maambukizi ya Mpox yafikia Visa 800 na Vifo 4 Nchini Uganda

    Ofisi ya Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) nchini Uganda imesema visa vya Mpox nchini humo vimezidi 800, ongezeko kutoka jumla ya visa 495 vilivyoripotiwa kufikia Novemba 20. The World Health Organisation (WHO) country office has said Mpox cases in Uganda have surpassed 800, an increase from a...
  20. W

    Marekani kutoa Chanjo 10,000 za MPox Nchini Nigeria

    Marekani imetoa dozi 10,000 za chanjo ya MPox kupitia Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ikiwa ni kundi la kwanza la chanjo hiyo kufikishwa baada ya visa 40 vya kuripotiwa nchini humo. Kwa mujibu wa taarifa ya USAID Serikali ya Nigeria imeamua kuyapa kipaumbele majimbo matano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…