mpito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chachu Ombara

    Balozi Sefue: Tunashauri Serikali itoe muda wa mpito wa mwaka kutolipa kodi ya mapato ya biashara mpya

    Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
  2. Dalton elijah

    MPYA Ni kweli John Heche ameomba serikali ya Mpito?

    Picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, ikidai kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche, ameiomba serikali kuanzisha serikali ya mpito ni ya uongo na inapotosha.
  3. Dalton elijah

    Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa

    Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, katika kile maafisa walichoeleza kuwa ni ishara ya nia njema. Wizara ya mambo ya nje ya Uhispania ilisema raia wake watano, akiwemo raia mmoja aliye na...
  4. Ritz

    Rais wa mpito aapishwa Venezueala

    Wanaukumbi. Delcy Rodríguez ameapishwa kuwa rais wa mpito wa Venezuela katika kikao cha bunge kilichoanza kwa wito wa kuachiliwa kwa rais aliyeondolewa na kuzuiliwa nchini Marekani Nicolás Maduro. Rodríguez, 56, makamu wa rais tangu 2018, alisema aliumizwa na kile alichokiita "kutekwa nyara"...
  5. R

    UVCCM Manzese wamvaa Heche kauli ya kuundwa kwa serikali ya mpito na kuongozwa na wageni ni uhaini

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Manzese wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam, wamekosoa vikali kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuhusu madai ya kutaka Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29 urudiwe wakisema kauli hiyo inapaswa kupuuzwa kwani hakuna...
  6. DuaZaMama

    PostGE2025 CHADEMA: Tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia

    "Chadema na watanzania tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia itakayowekwa chini ya uangalizi wa taasisi huru za kimataifa kwa kuwa serikali haina uhalali wowote CHADEMA inataka kuanzishwa kwa serikali ya mpito " Mh. John Heche akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 11,2025...
  7. R

    Guinea-Bissau yapitisha katiba inayomzuia Rais wa mpito kugombea uchaguzi

    Utawala wa kijeshi wa Guinea-Bissau, umepitisha Katiba ya mpito ya miezi 12 ambayo inawazuia Rais wa mpito na Waziri Mkuu kugombea katika uchaguzi ujao, wiki mbili baada ya maafisa wa Jeshi kufanya Mapinduzi ambayo yaliisimamisha Katiba. Kwa mujibu wa Shirika la habari la Reuters, hati hiyo...
  8. The Palm Beach

    PostGE2025 Kuelekea Maandamano ya D9: GenZ watoa waraka wa utaratibu wa kuundwa kwa Serikali ya mpito Tanzania

    PRESS RELEASE ‼️UTARATIBU WA SERIKALI YA MPITO‼️ Tumetafakari kwa umakini na tumeazimia ✊🏽 👉🏽 Sisi Wananchi wa Tanzania tunasisitiza kwamba hakukuwa na uchaguzi uliofanyika nchini Tanzania tarehe 29 Oktoba 2025 hivyo hadi sasa hakuna utawala wa serikali halali iliyowekwa na wananchi kwa...
  9. DuaZaMama

    Jenerali Horta Nta Na Man aapishwa kuwa kiongozi wa mpito Guinea-Bissau

    Wanajeshi wa Guinea-Bissau wamemuapisha, Jenerali Horta Nta Na Man kuwa kiongozi mpya wa mpito wa nchi hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja leo Alhamisi, Novemba 27, 2025, , siku moja baada ya mapinduzi na kukamatwa Rais Umaro Sissoco Embalo wa nchi hiyo, wakati matokeo ya uchaguzi wa kisiasa...
  10. Q

    PostGE2025 Gen Z Tanzania: Tunataka Serikali ya Mpito kabla ya Maridhiano

    Taarifa Kwa Umma na Vyombo vya Habari. - Maridhiano hayawezi kuongozwa na watu ambao hawafahamu na/au wamegoma kutambua kiini cha machafuko yanayoendelea Tanganyika, nchini Tanzania. - Tunawaonya watu binafsi, makundi, na wengine wanaojitokeza kushiriki katika kiinimacho cha maridhiano...
  11. uhuruborn

    Wakati wa Mabadiliko: Wito wa Serikali ya Mpito kwa Ajili ya Tanzania Mpya

    Ili Tanzania irudi tulipokuwa nchi ya amani, utu na heshima tunahitaji kwanza kuwa na Serikali ya Mpito (Interim Government). Hii ni kwa sababu kile kinachoitwa serikali ya sasa kimekuwa chanzo kikuu cha migogoro, mateso na maumivu makubwa kwa wananchi. Kwa muda mrefu tumeona na kushuhudia...
  12. Nicolas J Clinton Gabone

    Serikali ya mpito Tanzania baada ya uchaguzi mkuu 2025

    TRANSITIONAL GOVERNANCE IN TANZANIA, FOLLOWING THE 2025 ELECTIONS WRITTEN BY Nicolas Jovin Clinton Gabone I do not claim the Authority to act, rather, these are my Personal views as a Tanzanian who is deeply dissatisfied with the arrogance, indifference and disregard shown by the Government...
  13. Lord Denning

    JWTZ, kwa huu Ufisadi unaoendelea nchini, tukubaliane tu muongoze kipindi cha mpito kulipatia Taifa Katiba Mpya

    Kampuni yenye mahusiano na mtoto wa Rais Abdul inapewa tenda za kuchimba Maliasili za Taifa kwenye moja ya mkoa masikini zaidi Tanzania. Kampuni hii inachimba madini ya Makaa ya Mawe kwa kiwango cha kutisha na kuyasafirisha nje ya nchi. Kampuni nyingine ya swahiba wa Rais Rostam Aziz inapewa...
  14. Mshana Jr

    Kipindi cha mpito hupita na mengi

    Wenye hekima hutafutwa.. Hukutana.. Hukutanishwa Wenye ugomvi na walioumizwa huombwa radhi Tafakuri hufanyika wapi palipokosewa ... wapi palipoharibiwa.. Wali palipofubazwa... Safu hupangwa upya Wakuonywa huonywa Wakukemewa hukemewa Wakutemwa hutemwa Wa kuwekwa ghalani hutupwa huko Vya...
  15. Genius Man

    Samia wakati anaingia madarakani alitupa tumaini la kidemokrasia na alisema ataongoza tu awamu moja sasa hivi amebadilika

    Samia wakati anaingia madarakani kama rais alitupa tumaini la kidemokrasia na alisema ataongoza tu awamu moja sasa hivi amebadilika. Samia wa sasa hivi sio yule tunaye mjua aliyesema atatuvusha tu wakati huu wa majonzi kwa kumpoteza JPM lakini badala yake amebadilika amekuwa tofauti anaminya...
  16. Nyafwili

    Enai Na Abes Life

    Sasa Enai anarudi duniani kama binadamu tena, akiwa na jukumu moja kuu la kukusanya vipande 7 vya roho yake kabla ya siku 50 kuisha. . Kijana anayeitwa Enai anafariki ghafla. Kabla ya kuenda moja kwa moja peponi au kuzimu, anakwama katika hali iitwayo "Abes Life" – sehemu ya mpito ambapo roho...
Back
Top Bottom