mpira

  1. JamiiForums Tanzania Sheria mpya ya mpira wa Miguu

    Wakuu kuanzia msimu ujao Goalkeeper akikaa na mpira wakati wa mechi kwa sekunde 8 au zaidi ili kupoteza muda Timu pinzani itapewa kona(cornerkick) na refa wa mchezo husika. Mnaonaje sheria mpya iliyopitishwa na International Football Association Board (IFAB) itakayoanza Rasmi msimu ujao...
  2. JamiiForums Tanzania UTAMBULISHO WA JUKWAA LA SAUTI YA MPIRA TANZANIA(SAMTA)

    Ndugu Wadau wa Soka Tanzania, Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha katika mchakato muhimu kuhusu maendeleo ya mpira wa miguu nchini Tanzania kupitia mradi wa SAMTA (Sauti ya Mpira Tanzania). UTAMBULISHO WA SAMTA SAMTA ni jukwaa linalokusudia kuwakutanisha wadau wote wa mpira wa miguu nchini...
  3. JamiiForums Tanzania Ni muendelezo wa utapeli wa soka bongo pamba jiji na yanga matokeo yamekwisha pangwa..hakuna mpira...

    Kama ulivyokuwa utapeli wa singida,kmc,mashujaa na leo tunakwenda shuhudia muendelezo ule ule wa mfadhili mkuu wa yanga kwenda kuweka fedha yake kwa klabu anayoidhamini eti bonasi ni upuuzi na matusi makubwa kwa mpira wa bongo na muuendelezo wa kuwaona watanzania hawana uwelewa..ujinga tu ndio...
  4. JamiiForums Tanzania Azam anatuharibia mpira: Unamiliki timu halafu unakuwa mdhamini wa ligi, hii haikubaliki

    Leo nimeumia sana, tumenyimwa penati 3 clear kabisa wakuu kisa timu ya mdhamini inacheza. Maumivu ni makali sana, tungefunga penati zote tungewakanda 5-2. GSM na Azam hatuwataki. Mo acha unyonge, dhamini nawewe timu mbili tatu. Simba Nguvu moja.
  5. JamiiForums Tanzania Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote. Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja

    unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana if we click we click if we don't we won't Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo...
  6. JamiiForums Tanzania Hawa Watangazaji Wa Azam TV Wanaotangaza Mpira Wa Ujerumani Wanakuwa Tanzania Ama Huko Huko Ujerumani?

    Msaada tutani
  7. JamiiForums Tanzania Aziz Ki kutoa mpira wake kwa sureboy anatuma ujumbe gani kwa nani?

    Je, ni rafiki yake?; je, anampa pole kwa kusugua benchi? je , anawalaumu makocha kwa kutompa nafasi Sureboy ya kucheza? Au ni nini alimaanisha?
  8. JamiiForums Tanzania Sawa Chasambi kakosea, ingekuaje Camara angeudaka mpira?

    Mpira ni mchezo wa makosa, hilo ni kawaida kwa wa mpenzi wa mpira tunakubaliana isipokua wapenzi wa Simba na Yanga. Ingekuaje Mussa Camara angeamua kuudaka ule mpira? Madhara yangekua yapi katika mechi?
  9. JamiiForums Tanzania We shabiki wa Simba unaemtukana Chasambi unakumbuka issue ya Gerrad 2014?

    Wanajukwaa la Sport habar, Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika? Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious? Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
  10. JamiiForums Tanzania We shabiki wa Simba unaemtukana Chasambi unakumbuka issue ya Gerrad 2014?

    Wanajukwaa la Sport habar, Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika? Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious? Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
  11. JamiiForums Tanzania Kipa wa Simba anachezeshwa mpira kuliko straiker, winga na kiungo

    Hapo vip!! Katika pita pita mitandaoni nimekutana na andiko kama hili nikaona inaukweli mkubwa sana. Mimi nimshabiki wa Simba ila sijawahi kuelewa huu mpira wa kurudisha nyuma unaochezwa na Simba,ni mpira wa kipxmbavu na wa ovyo sana kwasababu imekuwa ikitugharibu mara nyingi. Yaani kipa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kisasi kimelipwa:Kuna yule mchezaji alinawa mpira dakika za nyongeza na kuwapa Simba ushindi

    Sikumbuki ilikuwa ni mechi baina ya Simba na timu ipi, ila nachokumbuka ni katika mechi ya msimu huu ambapo kuna mchezaji alinawa mpira kizembe dakika za jioni na kuwapa Simba penati iliyowafanya watoke na alama 3 na kuzua mjadala. Kama sio kuunawa mpira, basi alisababisha penati ya kizembe...
  13. JamiiForums Tanzania Camara nae apewe maua yake..Hili goli sawa na goli la Yanga alilorudiaha mpira ndani..Maua yako mpendwa

    Huyu kijana ninashauri apewe maua yake Anatusaidia sana wana yanga kwa kweli Wengi mnammpigia kelele chasambii hamjaona upuuzi wa kamara alioufanya. Hakuna tofauuti na goli la yanga Yeye yuko nyuma yle mpira angeuacha ulikuwa n kona Hakukuwa na haja ya kurudisha ndan mpira kama umeshajua...
  14. JamiiForums Tanzania Sijaangalia mpira leo Camara ni Clean sheet ya ngapi?

    Mtuambie mliotazama mechi
  15. JamiiForums Tanzania Anaandika mchambuzi nguli wa mpira, Geoff Lea kuhusu Kocha wa Singida kutua Yanga

    Viongozi wa Singida lazima waende peponi,hamna watu wana upendo wa mshumaa kuliko hawa katika soka kokote pale duniani,ukitaka mchezaji wanakupa ukitaka kocha wanakupa ushindwe wewe tu
  16. JamiiForums Tanzania Wanaotoa tuzo ya mchezaji Bora wa mchezo, hawajui mpira

    Imekuwa ikishangaza hawa watoa tuzo ya mchezaji Bora ni kilevi Gani hutumia Juzi hapa wamempa Max Nzengeli tuzo ya mchezaji Bora wa mchezo na Max aliingia dakika ya 77😂 Sawa Max Nzengeli ni mchezaji wangu lakini naona Kwa Muda alicheza haustahili angepewa Aucho Jana kapewa Ateba. Mchezaji...
  17. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA muungeni mkono Luhaga Mpina

    Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA mpya chini ya Mwenyekiti, Tundu Lissu. Nakumbuka makama wake, John Heche, siku Lissu anaingia ofisini kwa mara ya kwanza, aliahid kuwa wataanza kuanika madudu mbalimbali na alitoa mfano wa uagiza wa mabehewa ya treni(kama ni mapya, yamepigwa rangi, n.k)...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Side mnyamwezi awashauri vigogo wa timu nyuma mwiko kuhamia ligi ya south Africa baada ya kugundua NBC ligi ni dhaifu!

    Kocha mkuu side mnyamwezi ameushauri uongozi wa klabu ya gongowazi kuhamia south huko atapambana na timu ngumu kama mamelodi ,kaizer chief,Gallaxy na nyinginezo.....hivyo akipangwa tena makundi anapita moja kwa moja maana ligi ya NBC ni dhaifu yanga haiwezi kucheza robo kama itabaki ligi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga ni furahisha genge, mpira ni Sayansi na siyo taralila nyingi

    Huo ndiwo ukweli. Ukiwasikiliza hasa Idara ya Ali Kamwe, kutwa kujigamba na wazi unaona ni watu wanao penda sifa za kijinga na zisizo dhahili. Mpira wa miguu siyo rede ama kwaya, bali ni Sayansi iliyo bayana. Huwezi ukafanikiwa kufaulu mtihani wa Sayansi ya football kwa mbwembwe na mapambio ya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Watu wa Tanga wanapenda mpira, kweli nimeamini

    Kuna vijana 3 walikuwa wanafanya kazi kwa mtu leo hii. Ikafika sa 8, tajiri akasema kuna kazi nyingine hapa mkimaliza hiyo kuna laki yenu moja. Wakasema kuna Wananchi wanacheza hatuwezi, mzee tunakuomba iwe kesho. Tajiri anataka kesho waanze kujengea septic tank, lazima kazi hii imalizike...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…