mpira

  1. JamiiForums Tanzania Waangalia mpira bar wana kelele sana

    Usiombe uende bar siku ambayo kuna mechi kama hii ya leo ukutane na jeshi la waangalia mpira,siku hiyo lazima urudi nyumbani masikio yanafanya nziiii jamaa wana kelele sana imagine wapo watu kama 50 na kila mmoja anaongea
  2. I

    JamiiForums Tanzania Historia ya mpira wa miguu

    Historia ya Mpira wa Soka (Football) Mpira wa soka ni moja ya michezo maarufu zaidi duniani, lakini historia yake ni ndefu na inajumuisha maendeleo mbalimbali kutoka kwa michezo ya zamani hadi kubuniwa kwa sheria za kisasa. 1. Asili ya Soka: Asili ya soka inatokana na michezo ya zamani kutoka...
  3. JamiiForums Tanzania Ushabiki wa mpira umekuongezea au kukupunguzia nini?

    Weekend hii nimeamua kumuacha mpenzi wangu kwa sababu ya ushabiki wa mpira uliopitiliza ambao ulikuja na ulevi kupindukia na marafiki wasiofaa. Mashabiki wa mpira, muje muniambie huwa mpira unawapa faida gani?
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndumbaro aipiga kijembe 'No refoms No electon' asema waliopanga kuweka mpira kwapani waweke tu ila mechi haiahirishwi

    Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia, Waziri Ndumbaro amewataa wananchi wamuombee Rais Samia apate ushindi wa kishindo 2025 na kwa waliopanga kweka mpira kwa kwapani waweke ila mechi haiahirishwi (Uchaguzi).
  5. JamiiForums Tanzania Kama unapenda mpira fatilia mechi za Pamba Jiji

    Hii team tangu mzunguko wa pili uanze na aichukue baba isaya inapiga mpira jihadi sana ni Raha kuitazama hasa Leo itakapoumana na fountain gate
  6. JamiiForums Tanzania Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo

    Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu poleni na majukumu, nimekutana na hasara kwenye hii biashara yangu ya kuonyesha mpira

    Naombeni ushauri Tv zangu zote mbili zimepata changamoto kwa wakat mmoja Ni TV za Hisense 55inches zote!! Moja fundi anasema motherboard imekufa (hii muda wa warranty umeisha) Ya pili.. ni mpya hata mwaka haina...imepasuka kioo Nmejitokeza hapa kuomba ushauri wa namna ya kupata kioo kwaajili...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mchangamdogo senta yapania kuwa wa mfano kwenye mchezo wa mpira wa pete.

    Dharau, kejeli na majina mabaya kwa timu ya Mchangamdogo Senta ni moja ya changamoto inayorejesha nyuma juhudi za maendeleo kwenye timu hiyo. Ameyasema hayo Kocha na Kepteni wa timu Bimkubwa Maulid Othman Wakati wakati akizungumza na mwandishi wa habari hizi na kuongeza kua, kutokana na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, igeni mfano wa Jeshi la Polisi katika kushughulika na wahuni kwenye mpira wetu

    Mimi nilitaka kushangaa mtu anasimama mbele ya halaiki, tena mtoto mdogo tu anatamba eti atachacha, where do you get that arrogance? Kwamba Yanga ni kubwa kuliko authority? Unaongea as if unayemuongelea ni mtu mdogo sana halafu umetegwa omba radhi unajibu tena kwa kejeli. Hongereni Jeshi la...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanza isipate Uwanja mzuri wa mpira?

    KWANINI Mwanza isipatiwe kiwanja cha mpira kizuri kama jiji la Dar, Arusha na Dodoma. 1.Mwanza ni jiji la pili Tanzania kwa watu wengi 2.Mwanza inatoa vipaji vya mpira vingi sanaa kama Aisha masaka,mrisho ngasa na wengine wengi. 3.Mwanza pia ni jiji lenye vivutio vya utalii pia na ni...
  11. JamiiForums Tanzania Mpira wa Amerika Kusini huwa ni vita vita muraaa

    Hapa ni Peru, yasemekana kwenye Peru Cup refaree usipojilinda hatima yako ni hospitali ama kufa kabisa Hapo refa alikuwa ametoa red kwa mchezaji, mbeba vifaa wa timu akaona usitutanie kaokota chupa sema kakutana na refa nae chizi kama wa kwenye mieleka
  12. JamiiForums Tanzania Msaada tafadhalini wapenzi wa soka na mpira kwa ujumla

    Mimi sielewi kabisa yaani timu inakusanya mashabiki wake hadi uwanja wa taifa kwenda kupiga zogo HATUCHEZI HATUCHEZI Halafu wanafunguliwa geti kuingia ndani ya uwanja kupiga kelele hawachezi. Upande wa pili timu inakusanya wachezaji wake kukwea pipa kwenda egypt kuiwakilisha nchi kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traoré akionesha ufundi kwenye Soka akiwa na Jay-Jay Okocha na Adebayor

    Rais wa Burkina Faso 🇧🇫Ibrahim Traoré ni mtu wa boli kweli kweli, hapa akiwa anacheza na wakongwe wa boli kwenye mchezo wa kirafiki akiwemo fundi wa Mpira kutoka Nigeria Jay-Jay Okocha, Emmanuel Adebayor na wengine.
  14. JamiiForums Tanzania Mpira ushetani,??tulimlazimisha dereva wa gari yenye maiti apaki Mombo ili tuangalie mechi ya Simba vs Nkana

    Mwaka 2018 tulisafirisha maiti ya dogo mmoja shabiki wa Simba kwenda kwao upareni Lengo ilikuwa tuzike Kesho yake yaanu tarehe 24 siku moja kabla ya Xmas Coincidence Simba ikawa inacheza na Nkana tarehe 23 kumuenzi marehemu tulimlazimisha dereva asimamishe gari maeneo ya Mombo tuangalie...
  15. JamiiForums Tanzania Mwalimu adaiwa kumbaka mwanafunzi akitazama mpira nyumbani kwake

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia walimu wawili kwa tuhuma za ubakaji wa wanafunzi wao katika matukio mawili tofauti, yaliyotokea wilayani Sengerema. Akizungumza na wanahabari siku ya Jumatano Machi 19, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wibroad Mutafungwa, amesema katika...
  16. JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba ndiyo mlango wa ustaarabu katika mpira wa Tanzania

    Labda hawa watoto wa 2000 ndiyo hawajui ila embu tuwape darsa kidogo kuhusu historia iliyotukuka na isiyoweza kufutwa na yeyote ya kuingiza na kukuza ustaarabu katika mpira wa Tanzania. Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa jezi nchi hii. Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa viatu vya...
  17. JamiiForums Tanzania Sakata la Kuahirishwa Yanga vs Simba,Mbona waandishi mashabiki wa Yanga wanaukosea Mpira?

    Baada ya Bodi ya Ligi kuu Tanzania TPLB Kutangaza kuahirishwa kwa mechi ya watani wa Jadi Yanga vs Simba waandishi wa habari na wachambuzi wa maswala ya Kabumbu wameendelea kuukosea adabu mpira wa nchi hii kwa kuchambua kwa kutumia hisia zitokanazo na mapenzi yao juu ya Yanga badala ya kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Lamine Yamal anajua mpira kuliko Vinjr

    Hili halina kipengele kabisa dogo kwa umri wake na mambo yake 🙌
  19. JamiiForums Tanzania Msilete siasa kwenye mpira wa miguu

    Nasikia huko watu wakijifariji et ooh, mechi ya simba na Yanga ikipangwa hafu mgeni rasmi awe "MAMA" yanga wataogopa na kukubali kucheza. nimeshindwa kujua huyo mMama ni nani, na wanaiongelea mMama gani, yupi. ameikuta Yanga au Yanga imemkuta? sijajua huyo mmama ni nani. Mpira wa miguu...
  20. JamiiForums Tanzania TFF yavifungia Viwanja vya Jamhuri (Dodoma), CCM Kirumba (Mwanza) na Liti (Singida)

    Nimekutana na hii barua kutoka kwa Kaka yangu Cliford Ndimbo kuwa imevifungia viwanja vya Jamhuri, Kirumba, pamoja na Liti kwa kukosa vigezo vya ubora wa kuchezesha michezo ya ligi kuu. Ni suala zuri na bora kutoa taarifa kwa umma kuwa kuna viwanja ambavyo vimekosa vigezo muhimu kikanuni ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…