mpira

  1. JamiiForums Tanzania Ni lini ukarabati na ujenzi wa viwanja vya kisasa vya mpira utaanza chini ya Serikali hii?

    Ndugu Watanzania, umekuwa ni wimbo usiokuwa na mwisho,kila siku ni maneno tu,"tutakarabati,tutajenga uwanja Dodoma wa KISASA " lakini wapi. Wimbo huu toka mwaka 2020 Hadi sasa unaimbwa tu. Watanzania wamegeuzwa wajinga,wanabebeshwa mabango kwenye mechi za Yanga na Simba eti anaupiga mwingi...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kweli timu ya Taifa ya mpira wa kikapu ya Walemavu jezi zao zimeandikwa na maker pen?

    Hivi ni kweli timu ya taifa ya mpira wa kikapu(basketball) ya walemavu jezi zao zimeandikwa na maker pen hamuoni mnaaibisha taifa?
  3. P

    JamiiForums Tanzania FT| NBC | Namungo 1-1 Simba Sc | Majaliwa Stadium | Mei 3, 2023

    Mechi ni saa 1 usiku Kuna mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha leo na kile cha mwisho kilichocheza kule Morroco Pamoja na hoja ya kuwapumzisha wachezaji lakini mtu kama Moses Phiri kukosekana hata benchi kunaongeza maswali. Kibu D naye mechi hii kaikosa. LIGI KUU: SIMBA YASHIKWA, YAZUIWA...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ijali Watanzania kama inavojali mchezo wa mpira

    Kama watendaji wa hovyo kwenye usimamizi wa uwanja wa Benjamin William Mkapa wamesimamisha ,vipi kuhusu waliohusika na ubadhirifu wa Mabillion kutokana na Ripoti ya CAG ni wazi Basi serikali haioni umuhimu kwenye masuala yanayogusa Rasimali za Watanzania maskini na wanyonge. May Mosi Njema kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa mpira ambao Yanga wamecheza leo, nampongeza sana Nabi, lazima tujue umuhimu wa akiba

    Mpira wa leo ama kwa hakika ulikuwa wa hesabu za kutotumia akiba yote, Nabi alifunga full busta ugenini ili kumaliza kazi mapema na hesabu zake zimemlipa leo. Leo hii Yanga wamecheza mpira wa kupata matokeo ya kuwapeleka tu nusu fainali tena bila kukamia kukwepa majeraha na kuchezesha wachezaji...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania yote sio Simba na Yanga au Mamipira yenu, mtuache na makelele yenu

    Jamani Tanzania yote sio Simba na Yanga au Mamipira yenu so mtuache na makelele yenu na matarumbeta, filimbo cjui manini tena. Mnakera sio wote tunapenda mpira so tuheshimiane coz wote tukianza kupiga kelele kwa tunachokipenda kila mtu atachukia.
  7. JamiiForums Tanzania Ukiujua vyema Mpira Kiufundi hutomshangaa Kocha Robertino kutomuingiza jana Kipa Kakolanya katika Penati

    Baada ya Kumsoma vyema Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera nimegundua kuwa Kocha Mwerevu ( Genius ) sana. Kiufundi hakutaka Kumuingiza Kipa Beno Kakolanya aliyekuwa Nje ( Sub ) kama ambavyo Wengi tulitaka afanye hivyo kwa sababu Kuu hizi Mbili tu.. 1. Kocha Robertino anataka Kumtengeneza...
  8. JamiiForums Tanzania CAF wanasema simba haijawah fika nusu fainal ya CAF Championship-ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika

    Ukisoma hapa huyu admin anasema first ever akimaanisha kwamba hawajawah fika, ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika 1974 sasa tumwamin nani kati ya CAF au wachambuzi lia lia wa Tanzania Mashabiki wa simba matusi yenu pelekeni tu CAF mim tu nimeleta habari nikiambatanisha na...
  9. JamiiForums Tanzania Nilipoona tu Jana Filimbi ya Mpira kuanza na Mpira Kupigwa Nje Makusudi nilijua Rivers United FC wameshakufa

    Kwa wale tu mliocheza Mpira ngazi za Ligi za chini, kati na hata Kubwa na mliokuwa / mlioko Ligi Kuu sasa mtakubaliana nami kuwa aina hii ya Uchawi umetumika na unatumika mno Mipirani. Kitu pekee tu ninachokijua katika aina hii ya Uchawi ni kwamba Ukitumika Timu iliyoutumia kwa 100% hushinda...
  10. JamiiForums Tanzania Asilimia 90% ya wanawake na wanaume wanaoshabikia Simba na Yanga hawajui mpira

    Mashabiki wengi wa Soka la Tanzania especially kwa mashabiki wa Simba hawajui mpira. Wameijua Simba kipindi cha mafanikio ukiwauliza mwaka 2017,2016 nk, Simba ilikuwaje au Ina kikosi gani mtu hafahamu. Kuna shabiki mmoja Simba tumebishana sana hajui kama Azam ashawahi kuwa bingwa wa ligi...
  11. JamiiForums Tanzania TRA mnawaibia TFF na timu za mpira kwa kuwakata VAT badala ya kusubiri iletwe kwenye ritani za mwezi husika

    Kwa kawaida mlipa kodi aliyesajiriwa kwenye VAT hutakiwa kulipa au kudai kurejeshewa tofauti ya kodi kwenye mauzo na kodi kwenye manunuzi kutegemeana na ukokotozi. Kwa taarifa hii ya TFF inaelekea TRA imechuka 18 % mapato yote ya mchezo wa siku husika. Kwa maoni yangu hii ni kinyume cha sheria...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya mpira wetu Tanzania, kombe la FA libebwe na Azam FC

    Naweza nisieleweke, ila kimantiki na kimahesabu Simba, Yanga na Singida big Stars wanacheza mashindano ya CAF next season. Wasiwasi wangu muwakilishi wa NNE itakuwa timu gani? Kwa haraka ukipiga hesabu za ukweli utagunduwa Azam ndio atakuwa mshindani mzuri wakipata nafasi hiyo. Hivyo Mimi...
  13. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Mpira ndiyo watu wenye uzalendo zaidi, huu ndo ukweli

    Toka nianze kujua maisha ni Nini nachoamini binafsi Hilo kundi Ndo yawezakuwa Ndo wazalendo zaidi ata kuliko wale mashabiki wa siasa maana wao huwa hawaendi na upepo kama ilivyo siasa. Ni ngumu sana kusikia kahama sehemu yake ya ushabiki. Na hii nahisi ni duniani kote. Yawezakuwa pia wana...
  14. JamiiForums Tanzania Sheria 13 za mpira wakati tukiwa watoto

    Duuuuuuuh SHERIA 13 ZA BOLI WAKATI TUKIWA WATOTO. 1. dogo mnene lazima awe Golikipa 2. Mwenye mpira ataamua nani acheze na nani asicheze. 3. Penati itatokea tu pale mchezaji akiumia sana na kutoka damu. 4. Mechi itaisha kama kila mchezaji atakua amechoka. 5. Hakuna free kick, kitu kama...
  15. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Songwe: Mchezaji afariki dunia Kwenye Derby ya Mashabiki wa Simba vs Yanga

    Chama cha mpira wa miguu wilaya ya songwe (Sorefa) kimetangaza kifo cha mchezaji wa timu ya Saza FC, Albat Andrea aliyefariki baada ya kugongana na mwenzake katika kuwania mpira. Tukio hilo limetokea katika mchezo wa kirafiki kati ya mashabiki wa Yanga na Simba wakichuana katika kusheherekea...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Siku nimebaki mimi na kipa tu na ghafla mpira ukugeuka sufuria la hela ndipo nilipoamini uchawi upo!

    Nilikuwa naupiga mwingi kiasi, kabla sijazeeka. Mtama, Lindi kilikuwa kituo changu cha kwanza cha kazi baada ya kuajiriwa. Kama kawaida ya ujana, nikajichanganya kitaa na kufahamika mitaa ile na vijiji vya jirani vyote kuhusu usakataji wangu wa kabumbu. Kule, kabumbu (ligi) linapigwa sana baada...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mzuka wa ushangiliaji wa Kocha Robertinho haukuanzia hapa Simba; alikuwa hivyo toka anacheza mpira wa miguu kwao nchini Brazil

    Kohh koooh... Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo, ukipenda unaweza kumuita Robertinho alikuwa mshambuliaji nguli aliyechezea vilabu vikubwa nchini brazil, mwisho mwa miaka ya 70 mpaka mwishoni mwa miaka ya 80. Kocha huyu anayewaonoa wekundu wa msimbazi kwa sasa, aliwahi kukipiga katika vilabu...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la simba ikizidiwa umiliki wa mpira linahitaji jawabu haraka

    Baada ya Simba kufika QF msimu huu kuna kitu kimoja nimekiona na Mchambuzi wa AZAM SPORTS amekiongelea sana Ndugu Ramadhan Mwaduke. SIMBA inatatizo hili kwa muda mrefu sasa at least YANGA wanauwezo wa kupambana nalo. SIMBA ikizidiwa umiliki wa mpira kwa asilimia 60 au 70 inapoteza mwelekeo wa...
  19. JamiiForums Tanzania Elimu muhimu kwa mashabiki na wapenda wa mpira

    Mpira ni ajira na burudani kama burudani nyingine. Mpira ni ajira kwa kuwa Kuna watu wanapata pesa kutokana na mpira kama mishahara ya moja kwa moja na wengine hupata pesa kwa kuwauzia bidhaa (jezi, vuvuzela, maji, pombe, juice, vyakula, tiketi, usafirishaji wa wanaoenda na kutoka kwenye mpira...
  20. JamiiForums Tanzania Kwenye chaki leo (Bitter Truth)

    Habarini Wananchi wote wa JF..! Bila kupoteza muda naomba nisiwachoshe tusichoshane..Ukweli huwa ni mchungu sana..hii imewafanya watanzania wengi wanapenda uongo wenye kufariji kuliko ukweli unaoumiza.. Awali nilikuwa nikitizama hizi timu za Bongo niliona zinachechemea sana hakuna Lolote Jipya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…