mpira wa miguu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    PostGE2025 Samia atunukiwa Tuzo ya Maalum na CAF, kwa kutambua mchango wake katika mchezo wa soka

    Goli la mama limelipa ndio tuseme hivyo, na timu nne kwenda hatua ya makundi Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho =================== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Tuzo ya Maalum na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kwa kutambua mchango...
  2. figganigga

    Kenya na Uganda watakiwa kwenda Tanzania kujifunza Mpira wa miguu. Hongera Azam TV kwa Udhamini

    Wadau wa Mpira wa Afrika Mashariki, wamewataka Kenya na Uganda kwenda Tanzania kujifunza Mpira wa miguu. Wajifinze mbinu za Tanzania wameweza Timu zao zote Nne zikafaulu? Hongera TFF kwa ubora wa Mpira wa Tanzania. Hongera Azam na Ving'amzi vyennu. Azam uwekezaji wao kwenye mpira wa Tanzania...
  3. Vincenzo Jr

    Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

    Tukutane tarehe 16 Septemba ni Simba SC vs Yanga SC
  4. kavulata

    Je, FIFA inakataza chama cha siasa kuwa na timu ya mpira wa miguu?

    Hebu wananzengo tuongezeane uelewa kwenye nyanja ya football: Je, kuna kifungu kwenye katiba ya FIFA, CAF, CECAFA au TFF kinachokataza chama cha siasa kumiliki timu ya mpira wa miguu? Je, FIFA inakataza chama cha siasa kusaidia kifedha au usajili timu ya mpira wa miguu? je, FIFA na TFF katiba...
  5. Mwanga wa Jua

    Je, Wadau wa AFCON na CHAN mnajua kama Mama katoa TZS298bn kwaajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa “Samia Suluhu Arusha stadium"?

    Rais Samia ametoa TZS298bn kwaajili ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu “ Samia Suluhu Arusha stadium” sasa Mkoa wa Arusha kwenye ramani za AFCON rasmi. Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia, mkoa wa Arusha umefanikiwa kupata uwanja wa kisasa wa mpira ambao unajengwa katika...
  6. Dennis Robert Shughuru

    Ntaifanya Tanzania kuwa na better ecosystem ya mpira wa miguu Africa

    Nikiwa Rais wa Tanzania ntatengeneza mazingira ili mpira wa miguu uwe unachangia kodi ya sh Trillion 1, ntahakikisha mtoto aliyezaliwa uganda, kenya, Rwanda, Dr Congo, Zambia, n.k anakua na ndoto za kuja kucheza ligi ya mpira ya Tanzania, wote tunafahamu culture ya mpira wa miguu Tanzania ni...
  7. DuaZaMama

    Waandamanaji wakicheza mpira wa miguu katikati ya Moshi wa Gesi ya kutoa machozi

    Waandamanaji wakicheza mpira wa miguu katikati ya moshi wa gesi ya kutoa machozi katika mitaa ya Nairobi wakati wa maandamano ya kumbukumbu ya Juni 25. Tukio hilo lilitokea katikati ya maandamano ya kitaifa yaliyoongozwa na vijana, hasa kizazi cha Gen Z, waliokusanyika kuadhimisha mwaka mmoja...
  8. Ojuolegbha

    Waziri Kombo akutana na Rais wa shirikisho la mpira wa miguu la Kosovo

    WAZIRI KOMBO AKUTANA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU LA KOSOVO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Kosovo, Bw. Agim Ademi pembezoni mwa Mkutano wa Tatu wa Kimataifa kuhusu...
  9. B

    Tamko rasmi la mashabiki na wadau wa mpira wa miguu Tanzania

    TAMKO RASMI LA MASHABIKI NA WADAU WA MPIRA WA MIGUU TANZANIA Kuhusu Msimu wa 2024/2025 na Wito wa Mabadiliko ya Haraka TPLB Sisi kama mashabiki wa mpira wa miguu Tanzania, tunatoa tamko hili kutokana na kukithiri kwa dosari, vitendo visivyo vya kitaalamu, na uendeshaji mbovu wa Ligi Kuu...
  10. excel

    Wachezaji wa Mpira wa miguu wa kike Barani Afrika. Jionee Hazina ya Soka Upande wa Wanawake

    Naanza Na Tanzania
  11. I

    Historia ya mpira wa miguu

    Historia ya Mpira wa Soka (Football) Mpira wa soka ni moja ya michezo maarufu zaidi duniani, lakini historia yake ni ndefu na inajumuisha maendeleo mbalimbali kutoka kwa michezo ya zamani hadi kubuniwa kwa sheria za kisasa. kwa mujibu wa Kitabu cha Historia ya MichezoGoldblatt, David (2006)...
  12. I

    Historia ya mpira wa miguu

    Historia ya Mpira wa Soka (Football) Mpira wa soka ni moja ya michezo maarufu zaidi duniani, lakini historia yake ni ndefu na inajumuisha maendeleo mbalimbali kutoka kwa michezo ya zamani hadi kubuniwa kwa sheria za kisasa. 1. Asili ya Soka: Asili ya soka inatokana na michezo ya zamani kutoka...
  13. mdukuzi

    Sababu ipi wenye ulemavu wa miguu siku hizi hawaingii uwanjani bure?

    Miaka ya nyuma nikiwa mdogo,nilikuwa na rafiki yangu mlemavu akitumia baiskeli ya matairi matatu. Kwa maekezi yake yeye na walemavu wengine waluruhusiwa kuingia mpirani bure kuona mechi yoyote ile. Je ni kwa nini walemavu wa aina nyingine kama viziwi,mabubu,albino,vipofu nk hawakupewa hiyo...
  14. kingphisher

    Msilete siasa kwenye mpira wa miguu

    Nasikia huko watu wakijifariji et ooh, mechi ya simba na Yanga ikipangwa hafu mgeni rasmi awe "MAMA" yanga wataogopa na kukubali kucheza. nimeshindwa kujua huyo mMama ni nani, na wanaiongelea mMama gani, yupi. ameikuta Yanga au Yanga imemkuta? sijajua huyo mmama ni nani. Mpira wa miguu...
  15. OMOYOGWANE

    Wadau wote wa mpira wa miguu mnaotaka kuuelewa mpira wa miguu na kuuchambua. Karibuni tubadilishane ujuzi, vitabu na maarifa

    Habari wakuu, Huu ni uzi maalumu kwa wadau wote wa mpira wa miguu mnaotaka kuuelewa mpira na kuuchambua mnakaribishwa Pia wadau wote wenye hii taaluma mnakaribishwa kutoa somo na kubadilishana vitabu Binafsi nimesoma vitabu viwili mpaka sasa kimoja namalizia Jambo mbalo sikuwa nalijua ni...
  16. Nomadiq

    Kwanini hakuna special thread za timu za Tanzania?

    Tangu nijiunge JF naona special thread za timu za ulaya tu: Manchester City Manchester United Arsenal Real Madrid Barcelona Lakini sijaona special thread za Simba SC,Young Africans,Azam,Kagera Sugar, au timu yoyote ile ya Afrika! Zipo mimi ndio sijaziona hizo thread? Sheria na kanuni za...
  17. Mowwo

    Sheria mpya ya mpira wa Miguu

    Wakuu kuanzia msimu ujao Goalkeeper akikaa na mpira wakati wa mechi kwa sekunde 8 au zaidi ili kupoteza muda Timu pinzani itapewa kona(cornerkick) na refa wa mchezo husika. Mnaonaje sheria mpya iliyopitishwa na International Football Association Board (IFAB) itakayoanza Rasmi msimu ujao...
  18. Gudasta

    Serikali ipige marufuku vipindi vya michezo redioni kuanza asubuhi. Kipindi cha michezo ninachozidi robo saa kianze saa moja jioni

    Tunaishi katika taifa linalozungumziwa sana kwa michezo, hasa mpira wa miguu, ambapo timu zinazochambuliwa kila wakati ni Simba na Yanga. Hii imekuwa ni hali ya kawaida, na jua linapotoka hadi linapozama, vipindi vingi redioni vinakuwa ni vya uchambuzi wa michezo pekee. Hata hivyo, kazi...
  19. mjasiriamali mdogo

    Mjadala: Matatizo ya Makocha WA mpira wa miguu Tanzania

    Wanamichezo naomba tujadili Kwa kina Matatizo ya Makocha wetu WA mpira miguu hapa nchini. Kwanini Makocha wetu hawaendi kufundisha nje ya Tanzania. Wana udhaifu gani na ni changamoto zipi wanazokumbuna ambazo huwafanya washindwe kutekeleza majukumu yao Kwa ufasaha.
  20. Damaso

    Matangazo ya Mpira wa Miguu Tanzania: Uhitaji wa Tafsiri ya Lugha ya Ishara kwa Watu Wenye Ulemavu wa Kusikia

    Ligi Kuu ya Mpira wa Miguu Tanzania inatangazwa kupitia AzamTV, ikiwahudumia mashabiki wengi wa mchezo huu. Mechi kubwa kama vile Simba dhidi ya Yanga pamoja na na michezo ya kimataifa huvutia sana umati mkubwa na kutoa burudani ya kipekee. Hata hivyo, watu wenye ulemavu wa kusikia wananyimwa...
Back
Top Bottom