Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe hailipi madeni kwa sisi ambao tumefanya zabuni nao, na ukifuatilia malipo unajibiwa vibaya. Pia wamejipa majukumu ya TRA kwa kuzuia malipo endapo unadaiwa TRA, jambo ambalo ni kinyume na sheria pamoja na taratibu.
Tunaziomba mamlaka za juu kuchukua hatua kwani...