Habarini wana JF?
Hatimaye nimenyoosha mikono, upweke unanikondesha hivyo nimeamua kufunguka.
Nahitaji kampani ya kike, sina ubaguzi sana ila yafuatayo yazingatiwe:
1. Uwe mchangamfu. Yaani uwe mdada ambaye unaweza kuwa huru kunitania, kunichokoza, uwe na stori za hapa na pale yaani kifupi...