mpenzi

  1. Nataka kisingizio cha kuondoka kwa mpenzi wangu

    Nishaurini jamani wana JF nimfanyeje huyu mwanaume ili akasirike anipige nipate nafasi ya kuondoka, Nataka anipige nikimbie
  2. Mpenzi wangu nikimpa hela hataki

    Anasema anataka hela aliyotafuta kwa mikono yake 😅
  3. C

    Nimesalitiwa na mpenzi wangu ambaye ni mke wa mtu

    Duuh, kuchapiwa inauma sana aisee, nipo kwenye mahusiano na dada mmoja ambaye ni mke wa mtu kwa zaidi ya mwaka sasa. Nimekuwa nikimuhudumia vizuri tu yeye pamoja na mwanaye, kwani mume aliye naye ni mtu wa kusafiri hata miezi mitatu, bila kuacha matumizi, Wala hamjali huyo mtoto kwa sababu siyo...
  4. Daliliz za mchepuko😂

    KUPENDA KUTEMBEA NA MIPIRA YA KINGA Ukiona mpenzi wako ana tabia ya kubeba kondomu kwenye pochi yake au mfukoni kwa kisingizio kuwa anajali, elewa kwamba yuko katika mahusiano na mtu mwingine. UTATANISHI KATIKA MATUMIZI YA SIMU Ukiona simu zinamiminika mpaka usiku wa manane naye anapokea kwa...
  5. Hivi wanaume umeishawahi kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye labda ni mke wako au mpenzi wako?

    Katika pilika pilika za maisha kuna baadhi ya wanaume wamekuwa wakipitia msoto mkali, pengine labda ni kwasababu ya umaskini mwisho wanaishia kuishi kwenye nyumba za wapenzi wao au wake zao. Sasa hebu funguka hivi kuna wanaume humu washawai kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye...
  6. S

    Mpenzi wangu hajani-wish happy new year hadi muda huu! Kam-wish nani? Na mimi nimeuchuna tu nione mwisho wake

    Yaani mwaka umeanza saa sita usiku kakaa kimya mpk muda huu. Anasubiri mimi ndiyo nimuanze? Acha niuchune ili niijue rangi yake halisi.
  7. Mpenzi wangu kanipatia zawadi ya mtego wa kuogea

    Nimejikuta nikijiuliza maswali mengi sana. Mida ya asubuhi wakati tunaelekea kazini tumekutana na baba mmoja akiwa anauza madodoki ya kuogea. Mara nashangaa anaitwa na kuanza kuhojiwa ubora wa dodoki hilo. Kama masihara, huyo mwanamke kalinunua na kulitia kwenye kifuko cha shing'mia. Wakati wa...
  8. Unatarajia kumpa nini mpenzi wako Januari hii?

    Tayari January imefika, Unampa nini rafiki yako wa kike/kiume, mwezi huu wa kwanza ili ajisikie kuwa anachumbiana na mtu anayempenda, na pia ajisikie muhimu na maalum kwako, utampa nini? Ni pesa taslimu au zawadi?
  9. Kabla ya kunyonya sehemu za siri za mpenzi wako jiulize maswali haya

    Habari zenu Wakuu wangu, Kwenye ulimwengu wa sasa kumekuwa na tabia ya wapenzi kunyonyana tupu zao wawapo faragha. Kiukweli hii tabia imekuwa ni kama jambo la kawaida kwa vijana wengi wa hovyo including wazee wa hovyo pia. Leo Mjanja M1 ninakuletea maswali unayopaswa kujiuliza kabla ya...
  10. B

    Naomba ushauri kuhusu mpenzi wangu

    Habari ndugu zangu, mm Ni wa kiume (25). Nilipokuwa chuo nikipata na mdada ambaye mazingira ya chuo yalikuwa magumu kiasi kwamba ilibaki kidogo kudisco, ila nikapata huruma kunisaidia ktk kusaidiana mwaka wa mwisho ikabid tuishi pamoja km wapenzi. Maisha yalikuwa matamu sana sikuwahi kuona...
  11. Jinsi ya kumsahihisha mwenzi wako

    1. Usimsahihishe mwenzi wako hadharani mbele ya umma au kundi la watu, Inamfanya aone aibu. 2. Usimfokee au kumkaripia mwenzi wako unaporekebisha. 3. Usitumie maneno kama "Hautawai...", au "Wewe kila mara...". Kufanya hivyo ni kuchochea visa. Tumia maneno kama "Sidhani kama ilikuwa sawa...
  12. Je huyu mdada anafaa kuwa mke?

    Nina mpenzi wangu kutoka kaskazini (mchaga) ambaye kwa sasa tumetimiza mwaka 1 katika mahusiano huyu dada ni mpambanaji haswaaa nimemkuta na biashara yake hivyo anajimudu SIFA ZA HUYU DADA 1. Si mtu wa vizinga nazani kwa sababu ana biashara yake kuna muda akija nitembelea gheto nikimaliza...
  13. Kuwa na mpenzi mmoja ni maamuzi na sio upendo

    Habari zenu Wakuu, Ukiona mtu ametulia kwenye mahusiano na hana michepuko wala kutoka nje basi tambua kuwa amefanya maamuzi na sio upendo. Kama ulikuwa hujui ni kwamba, unaweza kupenda na bado ukapenda kuwa na wengine zaidi (TAMAA). Ukiona mtu ametulia basi tambua kuwa amefanya maamuzi na...
  14. Marvel na Walt Disney zampiga chini Jonathan Majors kutokana na kesi ya Unyanyasaji dhidi ya aliyekuwa Mpenzi wake

    Hatua hiyo imefikiwa baada ya Mahakama kumkuta Mwigizaji huyo na hatia ya kumpiga na kumnyanyasa kimwili, Grace Jabbari, aliyekuwa mpenzi wake amnaye alimfungulia Kesi Majors Machi 2023. Katika mashtaka, Grace alidai alikuta Meseji za Mapenzi kwenye Simu ya Majors na alipojaribu kuchukua SImu...
  15. Natafuta mpenzi, baadaye mke

    Habari, Mimi ni mkazi wa Dar es salaam Umri - 33.6 Kazi - Ajira/biashara Dini - Mkristo Elimu - Masters Rangi - mweusi na mrefu kiasi Mtoto - Sina mtoto Natafuta binti Umri - 24 hadi 29 Kazi - Sio lazima Elimu - Form 4 na kuendelea Dini - Ikipendeza mkristo dhehebu lolote ila mcha Mungu sana...
  16. Saa zingine ukiona unagombana na mpenzi wako ni sauti ya Mungu, tii na uondoke haraka

    Hapo vipi? Kuna miaka fulani hivi, limwanaume mmoja tahira bora angekuwa mti wa mapera..yaani yeye kuna demu sijui anampenda sijui ndio kulogwa. Ipo hivi, kuna kuna siku huyo demu anampiga anamuambia toka kwangu sikutaki huyo jamaa kin'gang'anizi hatari, halafu jamaa anakopa mpaka pesa kwa...
  17. Je, uko tayari kuona mpenzi wako (mwanamke) anabeti?

    Pichani ni dada yuko ana bet katika moja ya websit za betting je, ni sawa kwako?
  18. Mke wa rafiki yangu ananitaka, nifanyeje?

    Naombeni msaada wa mawazo mke wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, nifanyeje?
  19. Mpenzi nimekuwa Kaka, kuweni nao kwa akili

    Habari JF, Juzi nmekutana na kitu kizito kwa mchepuko. Baada ya kuniomba a download whatsapp GB katika simu yangu na kuanza kuchati baadae alipotoka akaniachia simu yangu bila kufuta. Ikaingia txt na nikasema nifungue nikakutana na kitu kizito. UPDATES CHAT : Tunaendelea: Baada ya...
  20. Biashara ya matunda imemtandika mpenzi wangu vikali

    Kiufupi kala loss ya ajabu kuwahi kuwepo duniani Kadamkia matunda ya Tsh. 30k Mabibo, kayakata kata yote ili atengeneze dry fruti. Kafungasha take away 50, lakini hakupata wateja kabisa. Matunda yangeharibika. Kanipigia simu huku analia na kuniambia tayari keshawagawia majirani Other Cost...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…