mpenzi wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Siwezi kumuita mpenzi wangu majina ya kimahaba

    Namuitaga tu jina lake mambo ya kumuita baby sijui mpenzi sijui honey naonaga ulimi mzito na iyo ni kwa mademu zangu ote niliokuwaga nao
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mpenzi wangu niliyemuacha baada ya kugundua aliwahi kutoa mimba akiwa chuo, amekuja nyumbani kunifanyia fujo akisema simtunzi mtoto

    Ndugu wanajamvi nawasalimu! Niliwahi kuleta uzi humu kuwa nilimuacha mchumba wangu nilipogundua aliwahi kutoa mimba. Mimba zaidi ya tatu akiwa chuo kikuu. Amefika kufanya fujo nyumbanu last week huku akizusha vitu ambavyo si vya kweli. Anasema nina mtoto naye wa miaka 2 kitu ambacho ni uongo...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimegundua penzi la mpenzi wangu kwangu limeshakufa

    Tofauti alivyokuwa mwanzo na sasa kiukweli kuna dalili nimegundua mahaba na penzi nililokuwa nakipata toka kwa mpenzi wangu limeshakufa yaani kuna dalili zinaonesha hapa tiyali nimechokwa lile vibe la treatiwa kama mpenzi limeshakufa yamebaki tuu mazoea tuu. Kuna time naamua kulianzisha lile...
  4. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu mbaya za mapenzi: Mpenzi wangu kuchumbiwa na Mwanaume mwingine

    Nikiwa sina hili wala lile kwa siku hii iliyoanza vyema kuliko ilivyokuwa kwa siku mbili nyuma ambazo kiukweli ni ngumu kuzielezea lakini itoshe kusema zilikuwa mbaya sana. Asbuhi ikakucha huku ikionesha utofauti si unafahamu kuwa siku njema uonekana asbuhi basi na mimi niliweza kuiona kuwa siku...
  5. JamiiForums Tanzania Nimeshidwa kumuelewa mpenzi wangu kwa kuwa na huzuni na msiba usiomuhusu wakati marehemu si ndugu yake

    Nina mpenzi wangu week mbili zilizopita aliniomba ruksa kuna msiba mtaani kwao ambako amezaliwa na amekulia kuna kijana mmoja alikuwa amefariki kwa ajari basi nikamruhusu akaenda nami pia akaniomba nimsindikize tukaenda wote. Sasa tangu huu msiba umalizike mpenzi wangu amekuwa ana huzuni sana...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake hulazimisha kulala na wapenzi wao hoteli za kifahari?

    Hivi inakuaje unaekeana appointment na mwanamke wewe upo kazini anakuambia ameshatangulia sehemu husika halafu hiyo ndio mara ya kwanza kukutana kwa ajili ya show. Manzi anakupa location unachukua usafiri wako unaibuka mara ghafla mtu kashatangulia reception kubook chumba alaf ni hotelini...
  7. JamiiForums Tanzania Nampenda ila mawasiliano ni changamoto

    ...
  8. JamiiForums Tanzania Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

    Habari za muda huu wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mnaelendea vyema na majukumu yenu. Nimekumbwa na msongo mkubwa sana wa mawazo baada ya kugundua mdogo wangu wa kiume Ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu ninayempenda kwa dhati Sana.Kwa hyo Naomba mnishauri vizuri baada ya kusoma...
  9. JamiiForums Tanzania Naombeni wenye kujua haya mambo, naona kama nina kitu Cha kipekee

    Wajuzi wa mambo haya, Naomba nirudi nyuma kidogo,nilikuwa mdogo bado nina kumbukumbu yapata miaka 29 nyuma. Nilikuwa na uwezo wa kuona vitu au kitu kibaya,au kujua ni lini tutapata wageni na nilikuwa nikimwambia mama, Mamangu ni mwana maombi sana na maombi yake juu yetu ni kama umetufunika na...
  10. JamiiForums Tanzania Zawadi niliyopewa na mpenzi wangu siku ya "Full Moon" 18.02.2022

    Bhanigini bhane, Mimi sio mdau wa mahaba licha ya kwamba nina mapenzi tele. Mahaba ndio chachandu ya mapenzi, mambo ya kuitana bebi, switi hati hayo kwangu ni matumizi mabaya ya sauti. Kunyonyana madenda na kubusubusu kwangu hizo ni kero. Mambo ya kukumbatiana ni kupakana tu taka sumu za...
  11. JamiiForums Tanzania Muhudumu wa 'lodge' ni pisi kali kumzidi mpenzi wangu niliyempeleka hapo mapumzikoni

    Kuna kipindi fulani nilienda Kahama kwa shughuli za kimiangaiko; kutokana na kuwa na marafiki wengi, nikaomba si vibaya kuomba 'appointment' na mwenyeji wangu mmoja anayeishi katika mji huo. Alipofika, tukabadilishana mawazo, kula kunywa na hatimaye tukaelekea mapumzikoni. kufika...
  12. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amekiri kunisaliti, ameomba msamaha natafakari maamuzi ya kufanya

    Nipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja. Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako wawili tu kati ya watu 30. Okay, alivyorudi niligundua alinisaliti akiwa huko site, aligoma kunambia...
  13. JamiiForums Tanzania Jifunze kuishi na watu wa aina zote

    Kuna Story nimeikumbuka ya miaka Saba iliyopita.. Ngoja niihadithie kidogo iwepo hapa kama ukumbusho wa safari yangu mm na huyu Dada ex wangu popote alipo. Anaitwa Teddy, nilikutana naye 2013 kanisani liitwalo KANISA LA YESU TANGA,( GLORY LAND CHURCH TANGA) Siku moja nilishinda naye ofcn...
  14. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane. Ameomba talaka kwa mumewe ambaye ni shoga! Ushauri wenu

    Salaam kwenu nyote! Aisee kuna wakati hapa duniani binadamu tunajikuta katika mazingira magumu sana. Hoja iko hivi, huyu binti (dada) tulikutana naye 2004 Novemba, tukapendana yeye wakati huo alikuwa anajiandaa kwenda A level, mimi nikaingia mitaani bongo kuzisaka. Baadae kulitokea mengine...
  15. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje?

    Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje? Kuna wakati anashituka mwili, na kuanza kunitafuta. Kuna wakati utakuta tu anaanza kuzidisha mapenzi kwangu. Wanasanyasi hebu tujadili hii condition inamaana gani? Najua kunikamata kuwa nachepuka ndio hawezi ila...
  16. JamiiForums Tanzania Nimempiga mpenzi wangu baada ya kukuta ujumbe wa kimapenzi kwenye simu yake

    Wanajamvi uzima upo? Ninaishi na mpenzi wangu, sijamuoa ila tunaishi wote, na wote tu wanachuo hapa DSM. Jana usiku nilifuma msg katika simu ya huyu mpenzi wangu ya mapenzi(ilikuwa msg chafu iliyodhihirisha kuwa alikuwa akiliwa na mwanaume mmoja mfanyakazi wa bank). Alikuwa bafuni, kwa kweli...
  17. JamiiForums Tanzania Nilivyofyeka shamba la jamaa aliyeniibia mpenzi wangu

    Katika harakati za maisha niliwahi kwenda kujaribu kilimo mkoa fulani kule nikapata binti mmoja mzuri sana, kumbe kuna mkulima mmoja wa zao fulani alikuwa ameanza kuvuna, hilo zao kwa wiki kuingiza milioni tatu ilikuwa kawaida na angeweza kuvuna kila wiki kwa miezi mitatu. Mimi zao langu...
  18. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anafika ila hamu haiishi

    Habari, Nimekua na mahusiano na huyu binti kwa muda wa miaka mitatu sasa ila jana ameniambia maneno ambayoa yamenifikirisha sana na kunifanya nisipate usingizi jana. Jana jmos asubuh tuliongea akanambia amenimiss ananihitaj niende kwake ila kutokana na majukumu ya kikazi nikamwambia sitoweza...
  19. JamiiForums Tanzania Najuta kuangalia SMS za mpenzi wangu

    Habari wakuu. Mimi ni mtu mkimya sana kitaa sina hata marafiki wengi. So mambo mengi yanayotokea huwa nasolve mwenyewe tu na mara nyingi yanaisha.. lakini hili naona limenikaa sana na sina wa kumwambia akanielewa. So naona ni bora niliweke hapa. Lengo sio kuomba ushauri wa mtu.. leo ni kushare...
  20. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda ngono sana, nashindwa kumhimili

    Ndugu zangu hali niliyonayo sasa naona sio nzuri, kama nilivyowaambia hapo kwenye juu kama kutakuwa kuna mwenye mbinu mpya anipe. Nimekuwa na mwanamke wangu ambaye kiukweli nilidhani mi napenda mapenzi lakini niligundua mimi sipendi mpaka nilipokutana naye huyo.Eeh bhana yule mwanamke anapenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…