mpenzi wake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MchezajÁngel Martín aweka picha ya mpenzi wake kifuani

    Katika ishara ya upendo pamoja na hisia kali ambayo imegusa mamilioni ya watu, mchezaji kandanda wa Uhispania Ángel Martín alivua tisheti yake na kuonesha tattoo ya kushangaza. Tatoo yenye uhalisia wa hali ya juu kifuani mwake akimheshimu marehemu mpenzi wake. Mchoro huo umebeba ujumbe mkubwa...
  2. Kijana avunjavunja gari hadharani baada ya kuvurugwa na mpenzi wake

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, hebu mtazame kijana huyu jinsi anavyoharibu gari alilonunua kwa mamilioni ya hela kwa sababu tu ya kutofautiana na laazizi wake: Je, wewe unaweza kuvunja gari yako kwa sababu tu ya kuvurugwa na mpenzi wako?
  3. Mwamba huko Tarime kajinyonga kisa mpenzi wake na barua yenyewe alioiacha ndio hii

  4. Mwanamke ashikiliwa kwa tuhuma za kuua mpenzi wake na wembe

    Mwanamke aitwaye Pendo Medusela (37), mkazi wa Manispaa ya Shinyanga, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake, Timithoy Magesa (35), kwa kumkata kwa wembe sehemu mbalimbali za mwili wake kutokana na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi...
  5. Mpenzi wako ana mpenzi wake wa kazini

    Na huo ndio ukweli na hakuna kitu utamfanya
  6. M

    50 cents ataja kuwa ndie mwanaume mchoyo sana kwa wanawake zake. Why wanaume wenye pesa wagumu kuhonga ?

    Aliyewahi Kuwa Mpenzi Wa #50Cent (Jamira) Amewashauri Wanawake Kukataa Kuwa Na Mwanaume Kama #50Cent Akidai Kuwa Mwanaume Huyo Alikuwa Mchoyo Sana. #Jamira Anasema Tangu Alipokuwa Kwenye Mahusiano Ya Miaka 2 Na #50Cent Hajawahi Kumpa Hata Shilingi 10, Na Zawadi Pekee Ambayo Aliwahi Kumpa...
  7. D

    Unayemwita mpenzi wako Kila mkimaliza kuchat anafuta chati zako ili asikamatwe na mpenzi wake

    Habari wakuu,kama heading inavyojieleza msijesema sjawajuza kiufupi nirudie tena "Unayemwita mpenzi wako Kila mkimaliza kuchat anafuta chati zako ili asikamatwe na mpenzi wake"Tukutane site
  8. Ruvuma: Erick Turuka (23) amuua kikatili mpenzi wake kisa amemkatalia kumuoa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia kijana Erick Turuka (23) maarufu kama Keneth, ambaye ni muuza bucha la nyama ya nguruwe, kwa tuhuma za kumuua kikatili msichana wa kazi aitwaye Shukrani Ajiliwa (19), mkazi wa Namihoro, Songea Vijijini. Akiongea na Waandishi wa Habari Kamanda wa...
  9. Mwanaume anapofanya mapenzi na side chick, huwa anahisi kama akiwa na mpenzi wake wa kweli?

    Wanaume wengi wanapokuwa na “side chick” huvaa full romantic mode — kumuwekea mto, kwenda “down”, kuhakikisha yupo comfortable… na wengine hadi wanacuddle baada ya tendo! Lakini huyu si wake halali, wala hamchukulii serious. Swali ni moja: Je, mwanaume akiwa na side chick, huwa anahisi kitu? Au...
  10. Mpenzi wake ni mweupe, hatoi hela na ana kibamia afanyaje?

    Haya haya sasa March ndio hii Swali kama mmeliona hapo Msaidieni mwenzenu Mpenzi wake ni mweupe, mwanaume Mbongo na mweupe sio mzungu Ila ana kibamia na hatoi hela Afanyaje?
  11. Nelly Kamwelu yupo muhimbili anadai kapigwa vibaya sana

    Duuuh hii domestic violence kwa mrembo Nelly ni balaa, mwenye taarifa kamili atupe tafadhali Nifah cocastic
  12. Binti miaka 19 afariki siku yake ya kuzaliwa akiwa geto kwa mpenzi wake

    Polisi huko Lang'ata, Kenya wanachunguza tukio ambalo Faith Momanyi, binti mwenye umri wa miaka 19 aliyemaliza kidato cha 4, alifariki kwa kutatanisha nyumbani kwa mpenzi wake baada ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa. Faith inaripotiwa kuwa aliondoka nyumbani kwa wazazi wake, na katika kundi...
  13. B

    Mwanadada ana masters logistics mpenzi wake ni form four failure Ila mwenye pesa anaona kama hawaendani

    Sitaki kutia chumvi yoyote, Maoni yenu ni yapi Huyu mwanadada msomi, kwa mujibu wake yeye ana elimu kubwa kuliko jamaa, ila jamaa ni form four failure mwenye pesa kuliko yeye na exposure kubwa ya biashara 👉Mwanadada anaona kama kipengele cha elimu kinapwaya 👉Now she is 27 👉Vipi amuache jamaa...
  14. Besigye, mwanaume anayeteswa na Museveni kwa sababu ya ugomvi wa mwanamke

    Biblia inapotukumbusha tuishi na wanawake kwa akili, siyo bahati mbaya, humaanisha. Wanawake ni viumbe hatari mno hapa Duniani! Chanzo cha ugomvi wa wawili hao ni mke wa Kiza dada Winnie ambaye awali alikuwa mpenzi wa Museveni wa ujanani. Museveni, kwa hiari yake mwenyewe, aliamua kuachana na...
  15. M

    Azizi Kii hataifunga Simba ili kumfurahisha Mpenzi wake

    Hamisa Mobeto ni Simba kindakindaki. Simba inapofungwa anakosa amani hadi kuugua na furaha yake ni pale Simba inaposhinda. Tofauti na ilivyo kwa Aziz Kii ambaye hana ushabiki kwa Yanga wala Simba, yeye yupo nchini kwa maslahi (ajira). Hivyo hata ifungwe Yanga yeye haitamuumiza, ataonyesha...
  16. M

    Mpenzi wake alidanganyika na plans za muongo wa mtandaoni akamwacha hustler, sasa anaomba ushauri

    was a happy family. Ikatokea mwanamke akakutana na mnaijeria akaanza kumsomesha kuhusu biashara za mtandaoni. Mwanamke akajaa kiburi akamwacha Mume wake tena kwa visa mbalimbali. Mwanamke kagundua zile plans ni utapeli anajitahidi kurudi kwa jamaa yake aliyekua anampa japo kidogo nako...
  17. Hamisa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake Aziz Ki wa Yanga

    Mwigizaji, Hamisa Mobetto, amtambulisha mpenzi wake Stephane Aziz Ki, mchezaji wa soka wa klabu ya Yanga SC. Mobetto ameachia picha na video akiwa pamoja na MVP wa Ligi ya NBC msimu wa 2023/24 wakiwa pamoja wakila maisha. Soma: Hamisa Mobetto yupo jukwaa bwana akimtazama Aziz Ki dhidi ya...
  18. Arusha: Auwawa kwa kupigwa na kitu kizito baada ya kuingilia ugomvi wa mtu na mpenzi wake

    Jamani wanaJukwaa. Huku kuingilia mapenzi ya watu na kujifanya mwema wakati mwingine tuangalie na kuwa makini ============== Mwananchi mmoja aliyefahamika kwa jina la Akwii ambaye ni mlinzi na mkazi wa Kimandolu mkoani Arusha ameuwawa kwa kupigwa na kitu kizito kilichodhaniwa kuwa nondo mara...
  19. Marekani: Sarah amfungia mpenzi wake kwenye begi na kuumua

    Kesi ya Mwanamke aitwae Sarah Boone (46) wa Florida Nchini Marekani anayetuhumiwa kwa kusababisha kifo cha Mpenzi wake ( Jorge Torres 42) kwa kumfungia kwenye sanduku la nguo na kumsababishia kukosa hewa kulikosababisha kifo chake mwaka 2020, inatarajiwa kusikilizwa wiki ijayo baada ya kusogezwa...
  20. Eti kwa sababu mpenzi wake ha-view status zake wala hamposti mitandaoni, ameamua kum-unfollow Instagram na maeneo mengine, ugomvi mkali umeibuka

    Ni ipi nafasi ya mitandao ya kijamii kwenye mahusiano, uchumba, na ndoa hata paibuke ugomvi, kutoelewana, kutengana, au vurugu baina ya wapenzi au wanandoa kwa sababu tu ya kuposti picha, ku-view status, au ku-unfollow? Je, migogoro hii ni matokeo ya utoto, kutokuelewa umuhimu, na matumizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…