mpelelezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mpelelezi: Daktari Kahyoza alikiri kumshambulia trafiki ajenti Andrew

    Mpelelezi wa kesi inayomkabili daktari wa binadamu, Conrad Kahyoza, ameiambia Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kuwa mshtakiwa huyo alikiri kumshambulia askari wa Usalama Barabarani, F.8886 Sajenti Andrew, katika mahojiano ya polisi. Koplo Samwel wa Kituo cha Polisi Oysterbay, ambaye ni shahidi...
  2. mirindimo

    JamiiForums Tanzania SAMIA : MPANDISHE CHEO IGP AWE WAZIRI WA MAMBO YA NDANI HALAFI WAZIRI AWE IGP AU MPELELEZI MAANA ANAFANYAKAZI ZA POLISI

    Yule Waziri anajia work descriptions zake kweli ? Ukute alimwagiza IGP kufanya anachokifanya akagomewa akaona sio kesi afanye hayo mahojiano mwenyewe
  3. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Lissu alivyomkaanga Mpelelezi Mkuu wa kesi yake

    Leo Agosti 11, 2026 katika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anayeshitakiwa kwa kesi ya uhaini, ameendelea kumhoji shahidi wa 16, Kamishna msaidizi wa Polisi (ACP), Amini Mahamba. Kesi hiyo inasikilizwa na majaji watatu, wakiongozwa na Jaji Dastan...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Marekani yamwekea vikwazo mpelelezi huru wa haki za binadamu wa Gaza, Francesca Albanese

    Utawala wa Trump umetangaza kwamba unamwekea vikwazo Francesca Albanese, mpelelezi huru aliyeteuliwa kuchunguza ukiukaji wa haki za binadamu katika maeneo ya Wapalestina, ikiwa ni juhudi ya hivi karibuni ya Marekani kuwaadhibu wakosoaji wa vita vya Israel ambavyo vimedumu vya miezi 21 sasa huko...
  5. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Sikujua kichaa anayelala nje ya jengo langu ni mpelelezi anayemtafuta gaidi wa Kizungu niliyemuoa bila mimi kujua ni gaidi

    SIKUJUA KICHAA ANAELALA NJE YA JENGO LANGU NI MPELELEZI ANAEMTAFUTA GAIDI WA KIZUNGU NILIYEMUOA BILA MIMI KUJUA NI GAIDI😳🔥 Sehemu ya Kwanza ( 1 ) *************** KILA Mtu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Ilikuwa takribani siku nne zimekatika tangu nianze kumuona mwanaume kichaa nje ya jumba langu akiwa...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mpelelezi wa kesi ya Thabo Bester “Mbakaji wa Facebook" akutwa amefariki

    Jeshi la Polisi la Afrika Kusini limethibitisha kutokea kifo cha mpelelezi huyo mkongwe anayefuatilia kesi ya Thabo Bester anayetuhumiwa kwa mauaji na ubakaji akijulikana kwa jina la “Mbakaji wa #Facebook" Muda mfupi kabla ya kufikwa n amauti, Brigedia Jackson Mkhaulesi (59) alihudhuria...
Back
Top Bottom