moshi

Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Moshi: Diwani aahidi kutoa donge nono kwa watakaofanikisha kujua mtuhumiwa wa mauaji ya wanandoa

    Vilio na simanzi vimetawala katika mazishi ya wanandoa Geofrey Motta (60) na Blandina Ngowi(53) wakati miili yao ikizikwa katika makaburi ya familia yaliyopo eneo la Kariwa chini, kata ya Rau, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Wanandoa hao ambao ni wakazi wa Msufuni, Msaranga, wanadaiwa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Second Press : Leo moshi moto unafuka, Tujiandae

    Wandugu Kama alivyosema, leo moshi unafuka. Tujiandae kwa press kubwa kuwahi kutokea chini ya ardhi ya Tanzania Nakushauri urekodi, tupatie kideo, live press haitaishi ushavamiwa. Kila la kheri
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waliofaulu usaili Jeshi la Polisi kuripoti Moshi Juni 12–14 kwa Mafunzo

    Jeshi la Polisi Tanzania limewataka vijana waliochaguliwa kujiunga nalo kuripoti katika Shule ya Polisi Moshi kuanzia Juni 12 hadi 14, 2025 kwa ajili ya kuhudhuria mafunzo. Vijana hao, ni wale waliofanya maombi na kufaulu katika usaili uliofanyika katika maeneo mbalimbali nchini. Taarifa ya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Moshi Mweupe Wafuka Juu Ya Bendera Ya Tanzania Geneva Uswisi. Tanzania na Professa Mohammedi Janabi Kuibuka Kidedea

    Ndugu zangu Watanzania, Moshi Mweupe Wafuka Juu ya Bendera Yetu ya Tanzania Geneva Uswisi. Yatabiliwa Tanzania na Professa Mohammedi Janabi Kuibuka Kidedea kwa mara nyingine tena katika kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika. Hii ni kutokana na uungwaji mkono mkubwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pisi Kali kwa hapa Moshi - Maeneo ya KCMC zinapatikana wapi??

    Wakuu heshima zenu, Nipo Moshi kwa muda usiopungua wiki kadha.Kwa uwepo wangu hapa bado sijapata kuona maeneo yenye pisi Kali. Naomba uelekeo wenu wakuu na kama yupo humu ambaye yupo serious kidogo aje PM tuyajenge chap.
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania VIongozi wa Ulaya waenda Kyiv kwa gari moshi kuiomba Urusi isitishe Vita na Ukraine

    Vita vya miaka mitatu vimetoa funzo kubwa kwa mataifa makubwa duniani pamoja na Ulaya. Wakiwakilisha wenzao,viongozi watano wa mataifa ya Ulaya walifika mjini Kyiv hapo juzi na kukushanyika kwa pamoja na raisi Zelenky kwa madhumuni ya kuitaka Urusi iongeze muda wa usitishwaji vita kutoka siku 3...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji chumba cha kupanga Moshi

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Naomba msaada wa chumba cha kupanga master au master sebule sawa, bei isizidi 130,000/= Maeneo ya mitaa ya Mbuyuni, Dar Es Salaam hadi Soweto na maeneo mengine jirani na hiyo mitaa. Natanguliza shukrani.
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenezi CCM Moshi Vijijini anavyobeba watia nia majimbo ya Moshi Vijijini na Vunjo

    Wakati CCM kupitia viongozi wake wakuu wanakemea kampeni za mapema na viongozi kubeba wagombea/watia nia hali huko wilaya ya Moshi Vijijini ni tofauti. Mwenezi wa CCM wilaya hiyo aitwaye Huseni Abduli eikei mwenyekiti anayeishi mji wa Himo amekuwa kinara wa kubeba wasaka ubunge wakiwemo Nicolas...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Huu moshi mweupe ama mweusi kuchagua pope unatokea wapi..nani anawasha moto wake

    NILikuwa naangalia wapiga kura wa kuchagua pope mpya Kabla ya yotre ealieleza tukiona moshi mweupe ujue papa amekuja Mweusi mjue shuhuli pevu Sada nawaza huu moshi hutokea wapi Na kama ni sababu ya moto anayewasha n nani?? Kila la kheri mtoa moshi embu kwa walivyochoka wapiga kura njoo na...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa yafunika/yasomba Watu na nyumba Moshi

    Watu watatu katika kijiji cha Mbokomu, wilayani Moshi wamefariki dunia kwa kufunikwa na kifusi baada ya maporomoko ya udongo yaliyotokea usiku wa kuamkia leo kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini. Mbunge wa Moshi vijijini Profesa Patrick Ndakidemi amesema mbali na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Kiboroloni Moshi, maji yaja kwa vishindo

    O6 May 2025 Kiboroloni Mto wafurika na kuleta maafa mjini Moshi https://m.youtube.com/watch?v=kmQ_Uwh_r-g Mkazi wa Kiboroloni rastaman Kimambo aomba serikali inyooshe mto ili eneo hilo liwe kama la Majengo kwa Mtei ambapo kona za mto zilichongwa na kunyooshwa hivyo kuepusha matatizo ya...
  12. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii, namtoa mwanangu kule Moshi- CCP

    Hii kada ndio ilikuwa chaguo No.1 kwa mwanangu nyuma ya TPA na Jeshi la Wananchi kwa pass ya Division 2 ya Point 19, Intake ya mwaka 2023 Ila kwa hali ya nchi inakoelekea sihitaji mwanangu atengwe na ndugu zake kisa kusomea hii kozi. Majibu ya awali yametoka na "najua ataenda tu Chuo cha...
  13. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Rangi za moshi hutokeaje baada ya Papa (Pope) mpya kuchaguliwa?

    Vatikan huweka kemikali ya inayotoa moshi mweupe au mweusi wakati wa kuchoma karatasi za kura katika uchaguzi wa Papa mpya. Mfano: MOSHI MWEUSI (ishara kwamba hakuna Papa mpya amechaguliwa bado) hutokana na kuchoma karatasi za kura zilizochanganywa na kemikali kama perchlorate, potassium...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya jiji la Mbeya jifunzeni kutoka Halmashauri ya jiji la Arusha na Manispaa ya Moshi kukataa jimbo kugawanywa

    Nitamshangaa Rais Samia akikubali kugawa eneo lolote la nchi kiutawala, aendelee na msimamo wa mtangulizi wake JPM, Magufuli aliapa asingegawa eneo lolote na akafa na msimamo wake. Kitu muhimu ni kujenga miundo mbinu imara na ya kisasa. Jifunzeni kutoka madiwani wa jiji la Arusha na wa Manispaa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania KERO Ni aibu kwa mji wa Himo toka Halmashauri ya Moshi kukosa Taa barabarani, ili hali wananchi wanalipa kodi

    Hallo. Kama title inavyojipambanua. Kati ya miji midogo inayokuwa ndani ya Halmashauri ya Mji wa Moshi, ni pamoja na Mji wa Himo ambao uko karibu na Mpaka maarufu wa Kenya na Tanzania(Holili). Mji huu umekuwa na viashiria vingi kuonyesha kuwa unakua kutokana na shughuli mbali mbali za kiuchumi...
  16. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kosa la wizi wa mita za maji Moshi

    Mahakama ya mwanzo Wilaya ya Moshi Mjini imemuhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela Shafii Kondo (56) mkazi wa mtaa wa Kiusa kwa kosa la kuiba mita za maji za Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA). Akitoa hukumu hiyo leo tarehe 26/03/2025 Hakimu A.A Mkao amesema anamuhukumu...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji chumba Moshi mjini

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosomeka,nahitaji chumba single self. Bajeti yangu ni 50k hadi 120k. Ikipatikana haya maeneo itakuwa vizuri zaidi: Town/mjini, rau, kcmc hadi kule ushirika wa neema.... Au kama kuna mtu mwenye kufahamu kama kuna nyumba za shirika la nyumba la taifa, NHC...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kilio cha Wananchi: Hatari ya Malori Mazito zaidi ya tani 40 kuingia kati kati ya Mji wa Moshi, Kilimanjaro

    Katika mji wa Moshi, kumekuwa na hali inayotia wasiwasi kutokana na kuingia kwa malori mazito yenye uzito wa zaidi ya tani 10 hadi 40 katikati ya manispaa. Hali hii imesababisha uharibifu mkubwa wa barabara na miundo mbinu ya maji taka, ambapo mji umejaa mashimo na hali mbaya ya miundombinu...
  19. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Kada CCM amvaa Mkurugenzi Moshi DC uuzwaji shamba la Shule,ni Deo Mushi

    Deo Mushi kada was CCM na Diwani wa zamani wa Kata ya Kibosho Magharibi amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Moshi Vijijini kuacha mzaha juu ya uuzwaji wa shamba la Shule ya msingi WERENI. Shamba hilo ambalo miaka mingi limekuwa likitumiwa kwa ajili ya kulima mahindi kwa ajili ya wanafunzi wa...
  20. Pfizer

    JamiiForums Tanzania MOSHI:Kilele cha maadhimisho ya wiki ya maji duniani

    KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI DUNIANI Moshi. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi imefanya zoezi la kupanda miti kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Maji. Mamlaka imekuwa na utaratibu wa kupanda miti rafiki ya maji kwenye maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na maeneo ya...
Back
Top Bottom