moshi mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Habarini wapenzi. Naombeni msaada wa Mwanasheria wa Moshi mjini. Ni dharura sana naombeni msaada wa haraka.

    Natanguliza shukrani🙏🙏
  2. R

    GE2025 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini kupitia CCM, Priscus Tarimo, ameibuka mshindi katika kura za maoni

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Priscus Tarimo, ameibuka mshindi katika kura za maoni za chama hicho kwa kupata kura 1,539 kati ya kura halali 3,288 zilizopigwa, na hivyo kutetea nafasi yake ya kuwania tena ubunge. Matokeo hayo yametangazwa leo...
  3. peno hasegawa

    GE2025 Mtia nia ubunge Moshi Mjini ashikwa pabaya ,ashindwa kujibu maana ya 4R za Rais Samia

    Msikilizeni, mtatambua mnapeleka wabunge wa aina Gani Dodoma. Elimu ya mgombea ubunge isipozingatiwa,nchi inaangamia. Siasa sio ugomvi siasa ni upendo kama Simba na Yanga kwahiyo naomba maswali ambayo yatatupa maendeleo 4R za Rais Samia mimi mfanyabiashara nizijuwe kwa sababu ya nini, nipe...
  4. peno hasegawa

    Utoaji wa misaada makanisani na misikitini ni kigezo cha kuteulia kugombea ubunge kupitia CCM Moshi Mjini?

    Ibra Line, ambaye ni mtia nia kupitia CCM, anajulikana sana kwenye mitandao ya kijamii akitoa mamilioni ya fedha kama michango katika makanisa na misikiti huko Moshi Mjini. Hii inakuja wakati ambapo amejaza fomu ya kugombea ubunge katika eneo hilo. Swali langu kwa wanamoshi ni hili: Je...
  5. shamzugi

    Mamlaka za usimamizi wa usafiri wa abiria kutoka Moshi mjini kwenda wilaya jirani mko wapi abiria wananyanyasika

    Habari za muda huu wakuu?? Jumamosi ya tarehe 5/7/2025 nilisafiri kuelekea mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai mjini wa Bomang'ombe. Nilifika Moshi mjini majira ya saa Moja usiku. Pale stendi ndogo nilikuta magari machache ya abiria yanayoelekea maeneo mbalimbali ya jirani. Gari za kuelekea...
  6. Just Pray

    GE2025 Aliyekuwa mbunge wa Moshi Mjini, Kilimanjaro, Priscus Tarimo achukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea tena

    Aliyekuwa mbunge wa Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro, Priscus Tarimo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika jimbo hilo. Tarimo amechukua fomu hiyo leo Jumapili Juni 29,2025 katika ofisi za CCM Moshi Mjini na kukakabidhiwa na kaimu Katibu wa CCM wilayani humo, Hilary Kipingi.
  7. C

    DOKEZO PreGE2025 Mbunge wa jimbo la Moshi Mjini agawa sh. 50,000/= na majiko ya gesi kwa wajumbe kiubaguzi huku akiwaomba wampigie kura za maoni

    Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kata za Jimbo la Moshi Mjini wamealikwa na Mbunge wa jimbo hilo Mhe. Priscus Tarimo katika ukumbi wa CCP uliopo Chuo cha Polisi Moshi leo 19.6.2025 kwa ajili ya kugawiwa majiko ya gesi pamoja na fedha Tsh.50,000/= ambayo aliitoa kwa mafungu mawili ya...
  8. M

    Nahitaji chumba cha kupanga Moshi

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Naomba msaada wa chumba cha kupanga master au master sebule sawa, bei isizidi 130,000/= Maeneo ya mitaa ya Mbuyuni, Dar Es Salaam hadi Soweto na maeneo mengine jirani na hiyo mitaa. Natanguliza shukrani.
  9. B

    Kundi kubwa liloshindwa kabla ya ushindani limeteleza kwenye Upotoshaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya Jimbo Moshi mjini....

    Kundi kubwa liloshindwa kabla ya ushindani limeteleza kwenye Upotoshaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya Jimbo Moshi mjini.... Kundi Hilo limeathirika kwa kushindwa kujinadi nini watafanya na kwanini aliyekupo hajamaliza mnampiga vita na kutusi na kukejeli KAZI za kutekelezwa...
  10. B

    PreGE2025 Mbunge wa Moshi mjini, ⁨Priscus Tarimo amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini

    Mbunge wa Moshi mjini MH.PRISCUS TARIMO @⁨Priscus Tarimo B⁩ amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini... Haikuwa rahisi kwa chama kumpa ridhaa mtu ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa kada yoyote ndani ya CCM na ambaye walitazama sifa zake wakaona ni mbovu hazifai kuwa...
  11. milele amina

    KERO Kukithiri kwa uchafu,maji taka na takataka kwenye Stand Kuu ya Mabasi, Moshi Mjini, Kilimanjaro

    Utangulizi Moshi mjini, maarufu kwa mandhari yake ya kuvutia na utamaduni wa kipekee, sasa unakabiliwa na changamoto kubwa ya usafi. Kituo cha mabasi kilichoko katikati ya mji kimekuwa kielelezo cha hali ya uchafuzi inayohitaji jitihada za haraka na za ziada ili kurejesha heshima ya mji huu...
  12. milele amina

    PreGE2025 Kura za Maoni CCM: Mambo muhimu Mbunge wa Moshi Mjini anayohitajika kuyafanya na kuyamaliza kabla ya October 2025.

    Mpendwa Mbunge wa Moshi Mjini, Natumai uko salama na unaendelea vizuri. Kama mwananchi wa Moshi, na mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM, Moshi Mjini, naandika barua hii kukujulisha kuhusu vipaumbele muhimu vya maendeleo ya mji wetu, ambayo ni muhimu kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Ni...
  13. B

    Utekelezaji wa ilani ya ccm 99% imetiki nje ndani moshi mjini

    UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM 99% IMETIKI NJE NDANI MBUNGE WETU PRISCUS TARIMO AMEKUWA MSIMAMIZI IMARA WA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MDANI YA JIMBO LA MOSHI MJINI. MBUNGE WETU AMEPIKWA VEMA NA CCM KUANZIA UVCCM KISHA KUWA KIONGOZI WA KADA TOFAUTI NA HII IMEMFANYA MBUNGE WETU KUWA BORA. HATUNA...
  14. milele amina

    Pitia video hii, ili ujifunze taratibu na Sheria za kuingia na ukuli wa Moshi Mjini.

    Karibu!
  15. milele amina

    PreGE2025 Davis Mosha kugombea Ubunge Jimbo la Moshi Mjini kupitia tiketi ya CCM

    Utangulizi; Ninapenda kuwajulisha rasmi kwamba Davis Mosha, ambaye ni bilionea na mfanyabiashara maarufu, atagombea ubunge katika jimbo la Moshi Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba 2025 Hii ni hatua muhimu kwa ajili ya maendeleo ya jimbo letu...
  16. B

    PreGE2025 Priscus Tarimo mambo unayofanya tunayaona, tulia kwenye kiti chako cha ubunge mitano tena

    Wajumbe wa kamati ya fedha na uongozi na menejimenti ya manispaa ya moshi ikiongozwa na mkurugenzi wa manispaa Bi. Mwajuma Nasombe Leo wametembelea miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na ilani ya CCM kwa USIMAMIZI na UTEKELEZAJI wa mbunge wa Moshi mjini Mh.Priscus TARIMO @⁨Priscus Tarimo B⁩ ...
  17. milele amina

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini aweka historia Mitaa ya Kata ya Miembeni

    MBUNGE WA MOSHI AWA GUMZO MITAA YA MIEMBENI UTANGULIZI Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Moshi Mjini Mhe. Priscus Tarimo amekuwa gumzo katika mitaa mbalimbali ya Miembeni na Njoro baada ya kuhudhuria misiba miwili iliyokuwa jirani na kufanya jambo lililotafsiriwa kuwa sio la kiungwana...
  18. milele amina

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,msikilize Mkuu wa Mkoa wa Tabora! Chukua hatua Jimbo la Moshi Mjini Kuna shida mahali!

    Sitaongea mengi! Huu ni mwaka mpya! Sikiliza
  19. sonofobia

    Aliyekuwa Mbunge Moshi Mjini Japhari Michael: Genge la Mbowe limeumiza watu wengi ndani ya CHADEMA

    "Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe Freeman Mbowe amezungukwa na kundi la watu ambao wamejijengea umangi meza. Bahati mbaya ni kwamba Mweyekiti ni mwepesi wa kupokea fitina na majungu na wakati mwingine anayapokea kwenye vikao visivyo rasmi. Na akishaamua kukushughulikia lazima atakushinda. Hawa...
  20. Goodluck Boaz

    Nauza pikipiki npo moshi mjini, bei 1.5M maongez yapo kwa mawasiliano 0672901144

Back
Top Bottom