Mwanamke aitwaye Joyce Emmanuel James Mkazi wa Mtaa wa National uliopo Ngudu Wilayani Kwimba Mkoani Mwanza ameelezea jinsi alivyopitia changamoto tangu akiwa mjamzito hadi kujifungua Watoto wawili mapacha kabla ya wakati na kupelekea pacha mmoja kufariki ambapo amesema umbali wa kutoka Kwimba...
DORIS MOLLEL FOUNDATION
Organization Overview
The Doris Mollel Foundation (DMF) is a Non-Profit Organization registered under the Laws of Tanzania (Registration No. 00NGO/R2/00079), dedicated to ending maternal and newborn deaths and advancing adolescent reproductive health in East Africa...
Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel akizungumza na Wananchi Mkoani Kilimanjaro amesema hakuna Rais aliyefanya makubwa ndani ya miaka minne kama alivyofanya Rais Samia.
Upande wa Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema Dkt. Mollel ambaye alikuwa Mbunge wa Jimbo la Siha...
Dkt Mollel ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo ameleleza kuwa watu wanaotaka kuvuruga Amani wanataka kutusahaulisha mambo matatu muhimu makubwa ikiwemo kazi kubwa iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu ndani ya miaka minne ya...
Joshua Loitu Mollel (Picha Kwa Hisani ya Maktaba)
Mabaki yaliyorejeshwa kutoka Gaza hadi Israel usiku kucha yalitambuliwa kuwa ya raia wa Tanzania Joshua Loitu Mollel, mamlaka ya Israel ilisema Alhamisi.
Wawakilishi wa Jeshi na Wizara ya Mambo ya Nje waliifahamisha familia ya Mollel kwamba...
Mwenyekiti wa Chama cha Watu wenye Ualbino Tanzania (TAS), Godson Mollel, amemsifu mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa namna alivyowajali watu wenye ulemavu katika kipindi cha karibu miaka mitano akiwa madarakani...
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Dkt. Godwin Mollel ambaye ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya anayemaliza muda wake ameandika ujumbe huu kuhusu Askofu Josephat Gwajima:
Hakuna aliyefunga Makanisa ya Gwajima ni yeye Mwenyewe Gwajima kafunga Kwa kuvunja Sheria alizo ridhia yeye mwenyewe na...
Mchakato wa Upigaji Kura Jimbo la Siha umeanza kuingia doa baada ya kudaiwa kuwa upigaji Kura umekamilika lakini imetokea hali ya kutoelewana kati ya Wasimamizi wa Mchakato na baadhi Mawakala.
Inadaiwa kuwa Katibu wa CCM Wilaya ametoa maelekezo kuwa msafara wa kubeba Kura uondoke bila kufuatwa...
Zikiwa zimebaki saa chache kabla ya wajumbe kufanya uchaguzi wa kupitisha jina moja la kuwania ubunge katika majimbo yote hapa nchini, katika jimbo la Siha mvutano umekua mkali baada ya mke wa aliyekua mbunge wa jimbo hilo kuvamiwa na kupigwa huku gari lake likivunjwa kioo.
Akizungumza leo na...
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, Ezekiel Mollel naye amechukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi.
Mollel ambaye pia ni mwalimu amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili Juni 29, 2025, na Katibu wa CCM Wilaya ya Arumeru, Kamila Kigosi.
Serikali kupitia Wizara ya Afya imejenga jumla ya wodi 165 za kuhudumia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) katika hospitali mbalimbali nchini, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha huduma za afya kwa watoto wachanga.
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa taarifa hiyo...
Binafsi nikiri ni mchangiaji mzuri wa arusi ingawa ni utamaduni wa hovyo sana kukubalika katika jamii wa watu maskini na wanaojitafuta.
Kusema kweli wengi tunaoshirikishwa tunajikuta tunalazimika kutoa ili tusiwakwaze ndugu na marafiki kwa kuwa jambo hili hakuna viongozi wa dini hususan...
Serikali imetoa wito kwa wananchi kubadilika na kuwekeza katika bima ya afya kama njia ya kujiandaa na changamoto za kiafya, ikiwemo gharama kubwa za matibabu ya magonjwa kama saratani.
Wito huo umetolewa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, alipokuwa akijibu swali...
Naibu Waziri Wa Afya, Dr. Mollel Amewaambia Wananchi Wa Jimbo Linaloongozwa Na Mbunge Profesa Mkenda Kuwa, Watu Wa Rombo Waendeleea Kumuunga Mkono Mbunge Huyo Lakini Amekumbushia Kwamba Aliondoka Chama Chake Cha Zamani Kwa Kuwa Aliona Anapoteza Muda Kwa Kuwa Walikuwa Wanaandamana Muda Mwingi.
Naibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.
Mbunge wa jimbo la Siha, pale Kilimanjaro Daktari Godwin Aloyce Mollel ambaye pia ni Naibu waziri wa wizara ya Afya amethibitisha mbinu anayotumia kuwalaghai wachaga pale jimboni Siha hili wamrudishe kama mbunge wa jimbo hilo. Ikumbukwe Godwin Mollel alikuwa Mwanachama wa Chadema na Mwaka 2020...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, ametoa muongozo akieleza kuridhishwa na majibu ya Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, kufuatia maswali ya nyongeza yaliyoulizwa na Mbunge wa Nanyumbu, George Mwenisongole, kuhusu utekelezaji wa Sera ya Afya ya Mwaka...
Mbunge wa Jimbo la Siha ambaye ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Sekta ya Afya imepiga hatua kubwa nchini kutokana na maendeleo mbalimbali yaliyofanyika kutokana na uwekezaji uliofanywa na Serikali.
Dkt. Godwin Mollel amesema Shilingi Trilioni 6.7 zilizotolewa na Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.