moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. V

    JamiiForums Tanzania Karibu kikosi kazi Cha injili MBEYA kwa Mch Mbarikiwa Mwakipesile:siku moja tuwaone Hawa wapambanaji

  2. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania, Msipokee kila maelezo. Panadol overdose haiui siku moja

    Moja ya Dawa, iliyokuwepo ndani kwa Dereva wa Heche ni Panadol/Paracetamol Paracetamol haiui ndani ya siku moja na ni moja ya dawa ngumu kuoverdose, kwa sababu unaruhusiwa kutumia hadi vidonge nane kwa siku as long as hauchanganyi na aina zingine za paracetamol, jambo lingine paracetamol...
  3. JamiiForums Tanzania Lucas tulisha kwambia CCM wakishakutumia siku ukiguswa ndio utajua lugha moja

    Huyu jamaa kama angekuwa kitengo cha uchawa front tunge koma. kwa sasa kama kajitenga.
  4. JamiiForums Tanzania Neno moja kwa Jeshi la Polisi watuliza maandamano

    Nawapa neno moja kwa leo, Pindi polisi mnapokuwa Depo huwa kuna mtihani wa kulenga shabaha na kuna kuwa na maksi mnazowapa. Sasa niwaulize wale waliopata 0% kwenye shabaha huwa mnawapa silaha wazibebe wakatulize maandamano???? Bila shaka huyo akilenga mguu risasi itaenda tumboni mwa mwananchi...
  5. JamiiForums Tanzania Dada jitahidi sufuria lako lizoee mwiko mmoja tu na aina moja ya ugali. Sembe haiwafahai wanawake!

    Dada jitahidi sufuria lako lizoee mwiko mmoja tu na aina moja ya ugali. SEMBE HAIWAFAI WANAWAKE.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Wakristo na Waislam pendaneni kwani ni ndugu na lenu ni moja

    Huwa nashangaa chuki baina ya watoto wa kiarabu wa baba mmoja waitwao wakristo na waislamu. Ukiwaangalia walivyofanana kama mapacha, unashangaa ni kwanini wanabagazana kubaguana, na hata kuchukiana. Nitatoa mfananisho: Mosi, wote wametokea Mashariki ya Kati. Pili, wote wanaamini katika ngano...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa Heshima Kubwa, Dr. Leakey Tuna Ombi Moja Tu: Anzisha Podcast Yako

    Leo nilipita mitandaoni nikakutana na comment ya mtu mmoja, nadhani ni watoto walioanza kufatilia mpira juzi. Alikuwa anauliza, "Huyu Mzee Leakey ni nani?" Hakuwa anamfahamu. Kilichonivutia si swali lake, bali sababu iliyomfanya atake kumjua. Alisema amevutiwa na uwezo wa Dr. Leakey kuuchambua...
  8. C

    JamiiForums Tanzania SISI WOTE NI WABAYA KWA NAMNA MOJA AMA INGINE-WE ARE ALL EVIL

    Habari wanajf, Nimekuwa nikitazama mambo jicho la nini ni sahihi na sio nani ni sahihi? Na kufahamu sababu yeyote ile inayokufanya kuwa sahihi (in moral sense) ,ndio sababu hiyo hiyo inayokufanya usiwe sahihi. Kwa sababu ili jambo liwe Zuri kwako inabidi likufurahishe wewe? Lakini tunasahau...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Awa Mshauri wa Kanisa La Anglikana Tanzania Baada ya Kuridhishwa na Uchapakazi wake. Achangisha Zaidi ya Billion Moja.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba maarufu kama Mr Clean kama ambavyo watanzania wengi hupenda kumwita . Amepata na kupewa heshima ya kipekee kabisa ya kuwa Mshauri wa Kanisa la Anglikana Tanzania Baada ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kombe la dunia wenye elimu ya ujumbe kuwa timu zitakazo kutana finali na kama sio fainali basi moja wapo ni hii

    Kama unajisumbukia kuwasikiliza CCM utapata shida sana. Hapa na zungumzia dunia ambayo ina watu nyuma ya dunia wanaweza kukupa signal,habari ambazo kwa mwenye akili ndogo unaweza kusema yule kichaa. Afrika inarudishwa kwa wazungu tena. Na kombe la dunia finali kutakuwa Portuguese vs...
  11. JamiiForums Tanzania Nikiwekeza milion 20 kwenye soko la hisa leo ningekua na milion ngap faida kwa siku moja??

    Wakuu nimeangalia trend ya NMB, Leo kuna change ya 300+ kwene share !! Nikawaza ningekua nimewekeza milion 20 leo ningetengeneza hela hii 1=15380 Tsh X=20,000,000 Kwaiyo milion 20 ingekua ni sawa na hisa 20000000/15380=1,300.39 Ningekua na hisa 1300 Kwa ongezeko la leo 300+ =1300+300=1,600...
  12. JamiiForums Tanzania Elon Musk kaongeza utajiri wake kwa USD 165 billions kwa siku moja tu zaidi ya Bill Gates

    Elon Musk na tajiri namba moja duniani kaongeza utajiri wake kwa USD 165 Billions kwa siku moja tu ambao umeupita utajiri wa Billi Gates ambao ni 103 billions. Sasa hivi utajiri wake Elon Musk ni 1.3 Trillions USD.
  13. JamiiForums Tanzania Umepitia changamoto week moja tu kwenye biashara yako toka uianzishe umeshakata tamaa

    Ndugu zangu, biashara ni mchakato mrefu sana, nina shuhuda za baadhi ya ndugu jamaa na marafiki kuanza biashara kwa pupa kisha kuangukia pua. Mtu ana m10 yote anaitia kwenye biashara, matarajio yanakuwa makubwa sana kwa kipindi kifupi, kwenye hiyo biashara ambayo bado ni changa sana, ndio...
  14. JamiiForums Tanzania Swala la umeme africa bado sana kama ili tena kampuni moja inataka umeme wa nchi nzima na bado inakudai.

    Kenya walishawai kupata dili la Microsoft wafungue data center ila kampuni ili hitaji gigawati 1 ya umeme.wakat Kenya kwa wakati huo ilikuwa na uwezo wa kuzalisha takribani MW 3,000–3,200 tu. Hapo ni kenya.
  15. JamiiForums Tanzania Wanaotafuta Urafiki na Magufuli akiwa Hayati ni wanafiki na maadui namba moja!

    Sisi wazalendo wa kweli tulimkubali John Joseph Pombe Magufuli mapema sana na tulimtetea kadri inavyowezekana dhidi ya kundi la wahuni.Yoyote anayejidai kumpenda Magufuli sasa ni mnafiki ,muongo,dhalimu na adui mkubwa wa Magufuli. RiP J.P.M
  16. JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Nikiona hoja za Wananchi najibu, nilijibu moja kwa moja kwenye JamiiForums

    https://www.youtube.com/watch?v=AnVvgfeCJ4M Uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya JKCI, Maabara ya Kisasa, Jengo la Utawala Hii ni Hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya JKCI, Maabara ya Kisasa, Jengo la Utawala na Uchunguzi wa Magonjwa ya Moyo na Kitabu cha safari ya Upandikizaji wa Moyo, leo...
  17. JamiiForums Tanzania LHRC: Wananchi zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi - Shinyanga waachiwe huru au wafikishwe Mahakamani

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imekuwa ikipokea na kufuatilia taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu zinazohusisha kushikiliwa kwa wananchi kwa muda mrefu bila dhamana au kufikishwa mahakamani katika maeneo mbalimbali nchini. Mkoani Shinyanga, zaidi ya Wananchi 200 kutoka Kata ya...
  18. JamiiForums Tanzania Hii Retro Tour inadhihirisha Diamond Plutnumz ni moja ya performers wakubwa sana Africa

    Huyu kijana asingejiingiza kwenye mambo ya uchaguzi kwa kauli zile mwaka jana basi angejaza sana kwenye hii retro tour yake. Perfomance nzuri sana, mziki unapigwa live yaani bila chenga wala auto tune. Vifaa sasa wamejitahidi sana, trombone, saxophone, na sauti iko swaafi sana, yaani murua au...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Taifa linaloutukuza ujinga na kuudharau maarifa hujichimbia kaburi lake lenyewe; mara nyingi uhai wake hauzidi karne moja.

    Mnakaribishwa!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…