moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi; kwanini jina la Mkoa linamaana tofauti kiutawala na kwenye taasisi wana maana nyingine wakati serikali yetu ni moja?

    Habari wadau! Jana nilitumia siku yangu ya kumbukizi kuongea na watoto wadogo! Moja ya maswali waliyotaka ufafanuzi ni hili! Serikali ina mipaka ya kiutawala ngazi za mikoa na wilaya! Kwa mfano; Mkoa wa Dar es salam ni moja ya sehemu ya utawala wa kiserikali nactaasisi zake! Sasa kwanini...
  2. JamiiForums Tanzania Kiwanja Kibaha maili moja kwa bajeti ya milioni 7!

    Wakuu habari, nina bajeti ya milioni 7 nahitaji kiwanja maeneo ya Kibaha mail moja Kiwe at list KM3 mpaka tano kutoka stendi, naamini humu kuna wenyeji na wenye viwanja maeneo naweza pata surveyed plot kwa bajeti hiyo?
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni maamuzi yapi anatakiwa Kuya fanya Kati ya kumuacha moja kwa moja au kurudiana nae Tena?

    Habari wakuu, Kuna urafiki yangu toka mkoani kwetu, alifunga ndoa na binti jirani pale mkoani mwaka 2022. Kiufupi jamaa alikuwa anajimudu kiuchumi, Lakin gafla baada ya ndoa yao mambo yalienda kombo. Jamaa aliepoteza karibu Kila kitu wakawa chakarii. Mwaka Jana mwezi wa tisa aliamua...
  4. JamiiForums Tanzania Umejiuliza ingekuwaje kama vidole vingekuwa na urefu mmoja

    Ikiwa vidole vyote vitakuwa na urefu sawa, hutaweza kushikilia kitu chochote. Jinsi vidole vina urefu tofauti hupelekea kuwa ngumi wakati vidole vyote vimekunjwa. Hii ndiyo sababu kuu kwa nini vidole vyote vitano vina urefu tofauti. Ndiyo maana, “Vidole vyote havifanani
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ni halali kwa katiba ya CCM kuchapisha fomu moja tu kwa ajili ya Samia kugombea urais 2025?

    Katiba ya CCM inaruhusu ubakwaji huu wa demokrasia ndani ya chama? Kama Samia anaupiga na kuutwanga mwingi, anaogopa nini kushindana na wanachama wenzake?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba na sebule maeneo ya upanga. Ofa laki mbili kwa mwezi

    Habari wadau. Nimehatika kupata kazi hospital ya muhimbili hivyo nahitaji chumba na sebule maeneo ya upanga ofa yangu ni laki mbili kwa mwezi
  7. JamiiForums Tanzania Muda huo kuna goli la mama, ila maisha!

    Sio huyu tu wapo wengi wenye shida zaidi ya huyu Mzee nikwamba hamjakutana nao tu ila Mungu atupe akili sisi wa Africa. Kuna post moja niliisoma inasema Tanzania ni nchi pekee ambayo unaenda kufanya kazi ukipata pesa pesa yote inaishia kwenye madeni Kila siku kwasababu pesa imekosa thamani
  8. JamiiForums Tanzania MJADALA HURU: Chupa elfu moja za mafuta ya watoto zilizokutwa nyumbani kwa PDiddy zilikua na matumizi gani

    Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni Hatukatai PDiddy anao watoto na pengine wanatumia sana mafuta Siyo vibaya pia ata yeye kama anayatumia na ata akijipaka makalioni Swala la msingi la kuuliza hayo mafuta yote chupa 1000 alikua anatumia kwaaajili gani AU TUMUULIZE...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Iran ijipange upya. Walichoweza ni kuua Mpalestina moja wakati Israel inalipua viongozi, maghala ya silaha, pagers zikiwa mifukoni n.k

    Seriously !! Iran walichoweza hadi sasa ni kuua mplestina 1, Kupania kote kule kurusha makombora 200+ wameua mpalestina moja ? Israel Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi, wataalam wabobezi wa Iran na Uturuki walihangaika sana kuitafuta siku nzima wakaja kuipata usiku wa...
  10. JamiiForums Tanzania Chagua Hybrid Moja hapa: Toyota Prius vs Honda Insight!

    Wakuu. Bila kupepesa macho, kuna izi hybrid mbili kutoka Japan (Toyota Prius na Honda Insight) ambazo zinafanana na kutofautiana mambo mengi sana. Kwa kuanza zote naomba tutumie za mwaka mmoja, 2009 ambapo kwa Prius ndio alikua anaanza generation ya tatu na Insight yeye anaanza generation ya...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Watu milioni moja wakimbia makazi yao kufuatia mashambulizi makali ya Israel dhidi ya magaidi ya Hezbollah nchini Lebanon

    1 hr 53 min ago Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: 1 million people displaced in Lebanon, prime minister says One million people in Lebanon have “moved from place to place in just a few days,” the country’s caretaker Prime Minister Najib Mikati said on Monday as...
  12. JamiiForums Tanzania Bakita iandae utaratibu wa kutoa taarifa kwa Wananchi walau mara moja kwa mwaka.

    Moja ya sifa ya lugha yoyote duniani ni pamoja na lugha hiyo kukua.Hujitokeza misamiati,nahau mpya au hata baadhi ya maneno kuchepushwa kutoka kwenye maana take ya asili.Sina utafiti rasmi ila naamini kwa kizazi kilichopo sasa hivi mambo ndio yanaenda kwa kasi Sana.Hivyo basi imekuwa ni ngumu...
  13. JamiiForums Tanzania Nina laki 1 nataka mashine moja ya kisasa ya kunyolea kampuni bora tafadhali.

    Sitaki hizi mashine za et 20k,25k,35k,sijui 50k hapana nimeona bora nichukue Mashine moja kali ambazo haipati moto kirahis. Nimeona fursa hapa mtaa ya saloon. Asanteni. Nielekeze kampuni bora ya mashine za kunyolea.
  14. JamiiForums Tanzania Kariakoo inakuwaje duka Moja la simu Kuna wauzaji zaidi ya 20

    Dar inashangaza Tunatoka mbali kuchukua mizigo Kariakoo ambapo tunaamini ndo kitovu cha biashara na bei zitakuwa nafuu. Ukifika inatakiwa bei kubwa sawa na hapa Ngara. Kumbe wenye maduka wameruhusu udalali wa kijinga hadi Kwa mteja aliyejileta dukani unamwekea watu wa kumpandilia bei, sio fair...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini watu wanaojitolea katika jambo fulani ndiyo wanaumia zaidi, hivi siku moja Mungu atatukumbuka kweli?

    Habari wana jf, husika na kichwa cha habari hapo juu. Binafsi nasikia uchungu kweli, kuna mdada mmoja nimempenda kweli sasa nilimwelekeza nikaona kama kakubali lakini roho ilikataa kabisa sijui hata kwanini, lakini moyo ukalazimisha. Sasa leo mchana, msichana kaja kununua mafuta kidogo...
  16. JamiiForums Tanzania Nataka niweke biashara tatu kwenye duka moja la Electronics? Naombeni ushauri!

    Habar wanajf naimani mko powa Sana Leo nataka tujadili kuhusuu hii idea siyo ngeni maana maduka kazaa nishawah ona so ntaka mnishauriii kidogo.. Nataka kufungua duka la vifaa vifaa vya electronics. Lakini ndanii nataka nichanganye niwekeee vifaaa vya simu. Pia niwekee vifaa vya umeme vile...
  17. JamiiForums Tanzania NBC, Hio Man of the Match Kwa Camara imetolewa Kwa kigezo Gani?

    Good morning. Naona mnaanza kutengeneza attention ya kushindanisha kati ya Diarra na Camara ila ki uhalisia Jana Camara hakustahili kua Man of the Match. Hivi unampa Man of the Match mtu kapigiwa Shoot Moja la kulenga goli!!! NBC hamfai kabisa...angefanya save hata 10 sasa si mngempa golikipa...
  18. JamiiForums Tanzania Kengold wangekamia SBS, KMC au Kagera Sugar kama walivyomkamia Yanga wangevuna walau alama moja

    Hizi timu za Ligi kuu zinasikitisha sana, kumfunga Yanga au kutoa sare haikufanyi upate alama tatu muhimu! Bali nguvu mbinu na mikakati mnayowekeza kukabiliana na Yanga mngewekeza kwenye vilabu vingine hakika mngevuna alama nyingi Sifahamu huwa wanafundishwa nini huko kambini, Ila laiti kama...
  19. JamiiForums Tanzania HIVI MTU UNAWAZAJE KUSHABIKIA TIMU MBILI KWENYE LIGI MOJA

    Huwa najiuliza hivi mtu unawezaje kushabikia mpira timu mbili kwenye ligi Moja Kuna jamaa Huku anashabikia Manchester united na arsenal hivi hiki kitu kinawezekanaje aisee maana jamaa na jeze za Kila msimu ananunua za man u na arsenal
  20. K

    JamiiForums Tanzania NINAISHAURI SERIKALI IKAE MEZA MOJA NA CHADEMA KABLA YA MAANDAMANO YA KESHO

    CHADEMA wameshikilia hoja yao ya kufanya maandamano kesho. Serikali pia imeshikilia msimamo wake pia kuwa kesho hakuna maandamano. Serikali ina hoja ya kwa kutokea uvunjifu wa amani na CHADEMA pia wana hoja ya kutaka vijana wao waliotekwa waachiliwe huru au warudishwe wakiwa wamekufa. Mfano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…