moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mara paap unakutana na ex wako kama moja ya mabikra 72.

  2. JamiiForums Tanzania Taka zilizosambaa eneo la Kibaha Maili Moja Mkoa wa Pwani zaondolewa, usafi wafanyika

    Hali ilivyo Kibaha Maili Moja karibu na Kituo cha Maliasili ambapo taka zimeondolewa, pia chombo kinachotumika kuhifadhi taka kikiwa hakijajaa kama ilivyokuwa awali. Ikumbuke, Mdau wa JamiiForums.com alitoa ushauri kwa Uongozi wa Kibaha kuondoa uchafu uliokuwa umezagaa eneo hilo kiasi cha...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ni kama mpira hata Messi unahitaji pasi, familia / ndugu / ukoo wakiungana hufanikiwa zaidi kuliko jeshi la mtu moja

    Sio lazima wanafamilia / ndugu / wana ukoo wote wawe wamekusanyika sehemu moja, No !! Inaweza kuwa Mzazi, Dada, Kaka, Last born, Baba mkubwa na mtoto wake kila mtu ana biashara yake ila kuna baadhi ya mambo wanafanya na kufaidika pamoja 1. Ununuzi kwa Wingi Kundi la Familia / Ndugu / Ukoo: Kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Samia atajwa na Forbes kama moja ya wanawake wenye nguvu zaidi duniani kwenye mwaka 2024

    Wakuu, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametajwa kwenye orodha ya wanawake wenye nguvu zaidi duniani. Samia ambaye alitajwa pia mwaka 2023 amewekwa kwenye nafasi ya 91 katika list hiyo ambayo pia ilihusisha viongozi na wanawake mbalimbali maarufu duniani...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Bus kuwa VIP linatakiwa kuwaje maana kuna moja nimepanda hakuna tofauti kubwa na la kawaida

    Kuna bus moja huko kanda ya ziwa sitalitaja ila sipandi tena kutokana na kutuona abiria ni wajinga. Baada ya kukuta kampuni niliyoizoea kujaa nikaenda kampuni nyingine nikaambiwa imebaki VIP na nikatajiwa nauli ambapo inaongezeka elfu 15 kutoka ile ya kawaida. Nikawauliza kuna huduma gani za...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada gharama za ujenzi wa nyumba ya floor moja ikiwa boma bila finishing

    Nyumba Ina master bedrooms 2 cinema room kitchen dining , lounge na Stor kwa ground na floor ya juu Ina 3 master bedrooms office na stares kadhaa naomba wenyekua na expérience na ujenzi wanisaidie ili niingie mzigoni bila kua na wasiwasi … ni Makadirio ya boma tu bila finishing maana sijapata...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wale mnaowashambulia viongozi wetu mitandaoni Angalieni alichopost Elon Musk Tajiri Namba Moja Duniani

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi kila siku huwa naangalia na kusoma vitu anavyopost na kuandika mitandaoni Tajiri Nambari Moja Duniani Elon Musk kupitia mtandao wake wa Twitter maarufu X. Ambapo amekuwa akipost na kuandika vitu vya kawaida na vyepesi sana ambavyo huwezi kujifunza kitu chochote...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wacha niwafundishe dawa bora kabisa ya nguvu za kiume (Dawa namba moja ya nguvu za kiume)

    Hii inakuhusu zaidi wewe Mtanzania mwenye kipato cha chini ambae hauna uwezo wa kurudi gharama za matibabu ya nguvu za kiume. Nasema hivi kwa sababu matibabu ya ukweli na uhakika ya nguvu za kiume yapo hapa Tanzania, na watu wanatibiwa na kupona kabisa. Tatizo la nguvu za kiume linabaki...
  9. JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au kuwa winga wa bidhaa moja tu?

    Habari zenu wakuuu..! Hivi kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au ku-focus na bidhaa moja tu!? Naomba maoni yenu wakuu!
  10. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya uhuru wa Tanzania ni Moja ya sikukuu kubwa sana wananchi kwa nchi zingine tofauti na Tanzania inabaki kuwa sikukuu ya serikali

    Leo ni 9 December ni sikukuu ya uhuru wa nchi yetu Tanzania ni sikukuu ambayo tunakutana watu wote kwa dini zote na sio sikukuu ya kidini hii ni ya wananchi wote.tofauti kabisa na ilivyo unakuta kila mtu anaendelea na shughuli zake na inabaki kama mapumziko tu ni sio siku ya kufalia. Kwa wale...
  11. JamiiForums Tanzania Teknolojia itumikayo katika usafiri wa anga, imenakili pakubwa kutoka katika viumbe vya asili. Ndegehai ni moja ya sababu kubwa ya ndege kupaa leo.

    Teknolojia itumikayo katika usafiri wa anga, imenakili pakubwa kutoka katika viumbe vya asili. Ndegehai ni moja ya sababu kubwa ya ndege kupaa leo. Ukiacha mbinu za kimuundo na upaaji, sehemu ya tafiti za viumbehai zinaonesha jinsi baadhi ya ndegehai kama Bukini mara kadhaa hugeuza kiwiliwili...
  12. JamiiForums Tanzania Timu ambazo ziko kundi moja na Simba zimetokaje??

    Naulizia ili nipate namna ya kutathimini. Pia naulize je kwenye kundi hili Kuna timu inayocheza vizuri kuizidi Simba??
  13. JamiiForums Tanzania Rais wangu tupe utaratibu wa kuwasiliana na wewe Moja kwa Moja kabla mambo hayajaharibika zaidi nahisi watendaji wako Wanakupotosha hawakwambii ukweli

    Rais wangu ni vema utusaidie jinsi ya kukufikishia maoni ya mtaani kwetu ! Mtaani kwetu mambo yamechacha ! Nahisi watu wako wakaribu hawakwambii ukweli kabisa ! Ni wapi sisi vijana wa mtaani tutakupatia maoni yetu ?
  14. JamiiForums Tanzania Toto Afya Kadi imerejeshwa.

    Napata wakati mgumu kuelewa kwa nini baadhi ya watu na vyombo vya habari vinasema TOTO AFYA KADI imeboreshwa au kurudishwa. Inaonekana wengi hawajui nini kimetokea, labda acha niwakumbushe kidogo nini kimetokea. Tanzania kupitia sera ya bima ya afya, NHIF kama zilivyo bima nyingine wakaboresha...
  15. JamiiForums Tanzania Tangu tupate uhuru Mungu amejibu maombi ya watanzania mara moja tu mwaka 2021

    Kiranga anasemaje kuhusu Mungu.? Kuna kafir mmoja alidai shetani ndio mungu na mungu ndio shetani. Waluosomea Cuba watakubaluana nami kuwa Mungu wetu tangu uhuru amejibu maombi nara moja tu mwaka 2021
  16. JamiiForums Tanzania Mjadala Mzito: Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki (Leo Kwenye Space 04 Dec 2024 19:00 East Africa )

    Leo kuanzia saa moja kutakuwa na mjadala mzito utakaoendeshwa online kuhusu Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki Sote tunakaribishwa: https://x.com/i/spaces/1OwGWNkRORVKQ/peek Wazungumzaji nguli watakuwepo. Mnakaribishwa na kutakuwa na Live Update hap JF:
  17. JamiiForums Tanzania Lamu, Mombasa na Tanga toka miaka na miaka hii ni moja ya sifa zao

    Toka miaka ya 90 moja ya utani kwa mtu anayependa vitu vya bure aende Mombasa. Kuwa kwa Mombasa unaweza enda kula sehemu ukataka kulipa wakakuambia ushalipiwa wewe..... Ukaoneshwa mtu ambaye unaambiwa amekulipia unamwona anakuna ndevu zake akitabasamu. Hii hali na huu utani upo miaka nenda...
  18. JamiiForums Tanzania Nimeona sehemu tangazo la ualimu sekondari, mshahara laki moja nimetokwa na machozi

    Hivi laki moja hata uwe kijijini unatoboaje kwa mwezi?
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Udereva

    Habar za muda huu Asalem aleykum, Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hatakama ipo gari ya Uber. Niko tayari kufanya mana hiyo Kazi nimesha fanya na account zote ninazo za Kazi. Naomba...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Moja ya maziwa mtindi bora kabsa kwa sasa

    Kama wewe ni mtumiaji wa mtindi utakuwa shuhuda hawa jamaa hawana mpinzani. Maziwa bora kabsa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…